CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Status
Not open for further replies.
hapo nimeöngea ukweli, kwani the real meaning of NEPI ni nini?

mi nazungumzia NEPI kama wewe NAPE umekua NEPI basi kula Ban ni haki yangu.
 
kwani vyuoni chama cha magamba kinapendwa!? Sasa hapo ujue ndio chama cha magamba kinaelekea kufa!
 
hapo nimeöngea ukweli, kwani the real meaning of NEPI ni nini?mi nazungumzia NEPI kama wewe NAPE umekua NEPI basi kula Ban ni haki yangu.
Acha utetezi uliokosa mantiki. Kwani nani kajadili Nepi hapa?? Hata kama ulimaanisha Nepi hili sio jukwaa lake.!You were tried to abuse my name with unsound deductive argument. Sasa kwa kuwa umeona haki inataka kutendeka unajitetea kwa upuuzi uliofanya. MODs mpeni barn huyu msisikilize utetezi wake hauna mashiko.
 
hahahaaaah , ccm akili zao ni sawa na huyu kibarka wao
261283_159710027430772_100001753261190_374661_196962_n.jpg
 
ccm haina mtu timamu, ccm haina kiongozi, ni genge la watu wa hovyo, ni genge la watu wasio aminika hata kidogo
Nitajie mtu mmoja makini katika chama hiko, kuanzia Mwenyekiti wao hadi katibu wa mtaa
 
mods hawadanganyiki kama wajumbe wa kamati kuu Ya nec Watu wapo makini.

Embu waambie wanajamii waishi kwa bamkwe wako au umeshatafuta japo hata chumba cha kupanga?
 
nashukuru kwa kulliona hilo. Maana hawa ndugu yetu wa chadema hawajui kupingana na hoja, badala yake wanamshambulia mtoa hoja, halafu bila aibu wanajiita great thinkers (aibu).
Kwa hiyo kuisapoti CCM ndiyo ugreat thinker?,kama ni hivyo basi mimi siutaki huo ugreat thinker baki nao wewe!!
 
Acha utetezi uliokosa mantiki. Kwani nani kajadili Nepi hapa?? Hata kama ulimaanisha Nepi hili sio jukwaa lake.!You were tried to abuse my name with unsound deductive argument. Sasa kwa kuwa umeona haki inataka kutendeka unajitetea kwa upuuzi uliofanya. MODs mpeni barn huyu msisikilize utetezi wake hauna mashiko.

Mkuu penye red fanya malekebisho kabla waingereza wenyewe hawajaona,maana itakua aibu ya kufa mtu!!
 
Subiri basi wajivue gamba km mafisadi kikwete,lowasa,rostam,nape,chenge,ccm............................
 
utakufa ww ccm itadumu hata ukamilifu wa dahari!
vimekufa vyama vilivyotisha hapa duniani kama vile Bolshevicks(Lenin political party in Russia),Baathe(Saadam Hussein polical party in Irak),Nazi(Hilter political party in Germany) itakuwa CCCCCCCM chama cha mafisimaji!!Kitakuafa na kuoza kabla ya ukamilifu wa dahari!
 
umesema vyema, umesema vizuri ,
 
Subiri basi wajivue gamba km mafisadi kikwete,lowasa,rostam,nape,chenge,ccm............................
Kobe hawezi kujivua gamba akifanya hivyo hupoteza maisha kwani gamba ni sehemu muhimu sana ya mwili wake!!
 
SWALI:Chagua jibu lililo sahihi;
Kama siyo CHADEMA A) Kikwete asinge punguza safari za nje.
B) Jitihada za katiba mpya mngesikia wapi?!!!!
C) RAIA WANGE FUNGUAJE MACHO!!!!
D) A,B, na C NI SAHIHI
 
SWALI:Chagua jibu lililo sahihi; Kama siyo CHADEMA A) Kikwete asinge punguza safari za nje. B) Jitihada za katiba mpya mngesikia wapi?!!!! C) RAIA WANGE FUNGUAJE MACHO!!!! D) A,B, na C NI SAHIHI
Ndugu yangu MARCO elimu yako ni darasa la ngapi? Maana inaonekana ulipojua tu kusoma na kuandika ukakimbia shule.Hivi katika pumba ulizoandika hapo juu, lipi swali lipi jibu??
 
Mi nilifikiri shehe yahaya kafa na utabiri utatoweka kumbe kaacha vizuka?!
Yeah, ameacha vizuka, vinajitabiria ushindi wa mwaka 2015 bila kujua chama chao kitakufa before that time. Vizuka vyenyewe vinatumikishwa na wachagga. Maa hata chama chao ni cha wachagga. Kinaitwa Chagga Development Movement Association (CHADEMA). Hahahaaah! Poleni vizuka!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom