CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Status
Not open for further replies.
Wanachama wake wengi ni wahuni na viongozi wahuni pia.hii imetokana na uongozi dhaifu wa mbowe na timu yake ambao hawaruhusu uhuru wa mawazo. Viongozi wenye uwezo na ushawishi na ukubalikaji mkubwa kwa wananchi hawadumu chadema. Wale wanaoonekana kuchallenge uongozi wa mbowe wanashughulikiwa. Yanayobaki ni ndiyo mzee..wachekesha mfalme hao ndio wanadumu. Come 2015 election ndio itakuwa mwisho wa chadema katika siasa za nchi hii.
 
Nikweli mkuu kumpata kiongozi mweledi kama Makonda au lusinde ningumu sana mkuu hao wote wako ccm ongereni chama dhaifu
 
Wanachama wake wengi ni wahuni na viongozi wahuni pia.hii imetokana na uongozi dhaifu wa mbowe na timu yake ambao hawaruhusu uhuru wa mawazo. Viongozi wenye uwezo na ushawishi na ukubalikaji mkubwa kwa wananchi hawadumu chadema. Wale wanaoonekana kuchallenge uongozi wa mbowe wanashughulikiwa. Yanayobaki ni ndiyo mzee..wachekesha mfalme hao ndio wanadumu. Come 2015 election ndio itakuwa mwisho wa chadema katika siasa za nchi hii.

Wenzenu wanapiga hela za Maana mpaka mtu anatumia Millioni kumi kununulia mboga, nyie vijana mnakata viuno kwenye mtandao kwa ujira wa buku kumi tuu.
 
Mnatekenyana mnacheka wenyewe. Mtaendelea kutabiri kuwa CDM itakufa lakn sina uhakika kama mtafanikiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom