CHADEMA kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya

Kwa hiyo kwenda kanisani let's say kumwombea mgonjwa kwenye familia,kunaligeuza kanisa **** sehemu ya familia?
Hili lako jipya- nadhani ili unielewe soma hiyo taarifa ya gazeti chochezi la Mwananchi.
 
Mtahudhuria sana Makanisani, tunaona huo ni usanii tu kwni mnapewa air time huko makanisani ya kumuombea huyo Gaidi na hiyo Katiba yenu au mkienda na hayo mavazi yenu mkapiga nayo picha ndo tayari mmeombea hayo madubuasha yenu?
 
Sijawahi kuona mtu mwenye akili na maswali ya kitoto kama wewe,Magufuli au mbowe akienda kanisani au msikitini kusali ndiyo kwamba CCM au CDM vinageuka kuwa vyama vya kidini? what a foolish argument.

Nimemwona Katibu wa Kanda ya Viktoria akiwakisha chama. This is not an individual
 
Nimemwona Katibu wa Kanda ya Viktoria akiwakisha chama. This is not an individual
Hakuna jibu hata moja ulilolitoa kwa maswali ya msingi niliyouliza,to be fair-Haya unayoyaongea ni propaganda kuchafua watu na taasisi mbalimbali ikiwemo kuleta mambo ya udini.
 
Hakuna jibu hata moja ulilolitoa kwa maswali ya msingi niliyouliza,to be fair-Haya unayoyaongea ni propaganda kuchafua watu na taasisi mbalimbali ikiwemo kuleta mambo ya udini.

Unataka nikutafutie kifungu cha katiba ya nchi kinachokataza mamlaka za nchi kueneza dini?
 
Back
Top Bottom