.......kwanza Mr. Mak ingekuwa busara zaidi ungetuwekea hilo tangazo kama lilivyo maana gazeti la HOJA si maarufu au ungetupa idadi ya hao walinzi wanaotaka kuajiriwa-isije ikawa maafisa usalama wanne ukawa unawaka. Nikijibu hoja yako, CDM kama taasisi yoyote kubwa nchini inahitaji usalama wa mali na viongozi wake kati full capacity yao hivyo baada ya kufuata sheria inayosimamia auxillary Police then wana haki ya kuajiri wana usalama wao. Nakupa mifano ya taasisi zenye maafisa usalama wao CUF, UDSM, SUA, na CCM. Nakuhakikishia hata wewe ukipata go ahead ya kuajiri afisa usalama lazima utahitaji mtu mwenye pamoja na sifa zingine pia aliyepita JKT au JWTZ mstaafu. Sasa nini kinachokuwasha CDM wakiajiri maafisa usalama wao?? W. Slaa (PhD) alinusurika kuuwawa Arusha kama si ujasiri wa walinzi wake sasa nini kinakuwasha??? Hapa nahisi wewe ni mmoja wa wale snippers wa Arusha na umeumia roho kukuta ulinzi tight wa Slaa (PhD) so try next level or switch to your plan B!! Arusha tuliwachunia next time we hit you back!!