Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

Kaka hapa mwandishi wa gazeti la Hoja hakuzungumzia kampuni za ulinzi, hapa anazungumzia chama cha siasa, ndio hoja mkuu. niambie chama gani cha siasa kimeshatangaza kuajiri wanajeshi. Haya siyo mambo ya kushabikia

Nahisi there is something wrong in your head...plz make hurry babu is available at Loliondo.....
 
Inabidi kwanza Mr. Quick tujuwe umri wako manake inaoneka hata hujui ni lini JKT ilisitishwa katika taifa hili! CDM kama chama cha siasa kinahitaji walinzi wa Usalama wa viongozi wake hasa katika ulimwengu ambao watu wanatafuta madaraka kwa gharama za watu wengine! Watanzania ambao hawakwenda national service wakati ule walienda mgambo kwa lazima! again is important to know ur age if you real know what was happening in this country Na kwa taarifa yako mimi si mwanachama wa CDM
Kwa watu wazamani ambao kwa sasa most of them ni wazee au wapo kwenye age ambazo hawawezi kufanya kazi hizo tena ndio waliopita national Service na si watanzania wote, kwasentensi hiyo ninawasiswasi na utanzania wako.

Pili umezungumzia kampuni za ulinzi, swali Chadema ni kampuni ya ulinzi? Unajua Bro siasa isikuoe kwa masikio yako ukalainika mpaka akili yako isifanye kazi yake. Kuna masuala ya kufanyia ushabiki na mambo mengine hayatakiwi kushabikiwa. Kwa majibu uliyotype kwa red bado hujajibu hoja kwani unajua kabisa chadema siyo kampuni ya ulinzi. kampuni za ulinzi zote zinatambulika na masheriti yake yako wazi.Kama wewe ni mtu mzima nawasiwasi na maengi juu yako. Tafuta gazeti la Hoja la jana ulisome kisha utoe hoja
 
Ungeshangaa kama walikuwa wanataka maHR wakaweka sifa hizo zilizokutisha, ulitaka nafasi za ulinzi watangaze kwa watu wenye cpa au madaktari!!!
 
Kaka hapa mwandishi wa gazeti la Hoja hakuzungumzia kampuni za ulinzi, hapa anazungumzia chama cha siasa, ndio hoja mkuu. niambie chama gani cha siasa kimeshatangaza kuajiri wanajeshi. Haya siyo mambo ya kushabikia

Chama chenye askari wastaafu wengi zaidi ni kile ambacho mwenyekiti na katibu wake ni maofisa wa ngazi za juu wastaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania. Hata campaign manager wao naye ni ofisa mstaafu wa jeshi.Wao hawatangazi nafasi wanawaajiri kimyakimya. Nawapongeza CHADEMA kwa kutangaza nafasi hizo kwa uwazi.
 
Kaka hapa mwandishi wa gazeti la Hoja hakuzungumzia kampuni za ulinzi, hapa anazungumzia chama cha siasa, ndio hoja mkuu. niambie chama gani cha siasa kimeshatangaza kuajiri wanajeshi. Haya siyo mambo ya kushabikia

Acha usharobaro wako ktk jukwaa, mbona m.k.w.e.r.e naye ni mwanajeshi na mmemuajiri kuwa rais wa tanzania na hajaleta vita. Ndo matatizo ya akili finyu zako na mwandishi wa hiyo habari, yani kwa ufinyu wa mawazo mnataka CDM isilindwe kwa kuwa ni chama cha siasa na kama ikitaka kuajiri walinzi iajiri waliopitia upishi
 
Asanteni wana jamvi, kweli JF ni kiboko maana mtu akileta upupu kama huyu anayejiita Mak, anapewa vidonge vyake pale pale ! Kila ajira ina sifa zake na kwa walinzi sifa kubwa ni kupitia mafunzo ya kijeshi na ukakamavu.
 
mwajiri ana haki ya kutoa sifa za mtu anayetaka kumwajiri, kwa hiyo kama cdm wameona watu hao wawe wanajeshi sioni tatizo lolote
 
Washabiki wa chadema wanaboa sana!wanajiona wao ndo wanauchungu wa nchi kuliko mtu mwingine yeyote!kumbe ni wanafiki na mafisadi wakubwa,kama baba lao la uongo na TAPELI la kimataifa MBOWE!siwezi kufuata anachosema tapeli huyu hata nikiambiwa naenda kuzimu!!hana tofauti na KIBWETERE

Kama tunakuboa achana na sisi wewe tafuta watu wakushikiana nazuzu kama wewe kwa sababu kwako wewe ili tusikuboe tukubaliane na hoja zene za kijinga, sasa fanya mpango wa kutafuta mambumbumbu kama wewe lakini kwa chadema fans umenoa.
 
Nadhani umaarufu huo utaanzia kwa aliyetangaza hizo nafasi, kisha kwako wewe unayeshabikia ujinga tatu kwa chombo kilicholipoti na mwisho kabisa na kwa wanauzalendo wa dhati.

Kaka umehighlight sehemu tatu ila umeelezea moja kuonesha kuwa kumbukumbu yako haipo sawa. ungejibu mstari wa pili ningekuona wa maana katika kujibu hoja. halafu ungekuwa unajua nisivyompenda makamba hata usinge sema. Tatizo la washabiki wa chadema kila mnapokosolewa na wazalendo huwa mnawadhania kuwa niwanaCCM that is wrong? kama umeolewa na siasa ni wewe mkuu na pole sana.

Weka tangazo, maneno mengi ya nini?
 
Asanteni wana jamvi, kweli JF ni kiboko maana mtu akileta upupu kama huyu anayejiita Mak, anapewa vidonge vyake pale pale ! Kila ajira ina sifa zake na kwa walinzi sifa kubwa ni kupitia mafunzo ya kijeshi na ukakamavu.

Mr Mark, ungetulia kwanza ukajifunza pengine wana Jamvi wangekuvua suruali, ona sasa wameondoa daipa kabisa!
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

Nadhani una kasoro katika uwezo wako wa kuangalia mambo. Watu wanaojua kufanya kazi ya ulinzi ni lazima wawe wamepitia mafunzo ya ulinzi, ambayo hutolewa na jeshi la ulinzi. Sasa kama CHADEMA wanataka kupata ulinzi mzuri, kuna ubaya gani wakatafuta watu ambao wako trained katika shughuli hiyo? yaani waliopitia jeshini au polisi? Ulitaka watafute wavuvi wa samaki ndio wapewe kazi ya ulinzi?
 
CHADEMA kikitangaza nafasi za kazi tena kwa Wa-Tanzania wenzao ili wawe na uhakika wa usalama wa viongozi wake na mali za chama kote nchini wewe hili linakupa shida gani??????????
 
Haina ubaya, kwani uliambiwa sheria za Usajili wa Vyama zinazuia AJIRA za vyama kuajiri WANAJESHI, na si bora hao wanaoajiri wanajeshi kuliko wale waliojaza Green Guard wasio na mafunzi ambao kazi yao ni kupiga ovyo?
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

Kuumwa sirazima mtu arazwe nendakwababu unaoneshajinsigani haujanawauso kanaweusokwanzo ndouludi janvin
 
Hata mimi nilipoajiri mlinzi wa nyumbani kwangu niltafuta aliyepitia jeshini baada ya kuwachoka wamasai, labda tu kwa vile mimi sikutangaza gazetini. Halafu tu kwa kurekebishana si kweli kwamba waliopita JKT wote ni kwishney, mimi nimepita JKT na bado nina miaka zaidi ya 20 kwa mujibu wa sheria ya kufanya kazikabla ya retirement.
 
Haina ubaya, kwani uliambiwa sheria za Usajili wa Vyama zinazuia AJIRA za vyama kuajiri WANAJESHI, na si bora hao wanaoajiri wanajeshi kuliko wale waliojaza Green Guard wasio na mafunzi ambao kazi yao ni kupiga ovyo?

wewe naona umejibu kwa uzuri kabisa,na the way you reply inaonesha uko makini. Ama wengine wanachekesha ile mbaya. Yaani uwezo wa kuelezea jambo kwao ni mdogo mno.
 
tena chadema waongeze na hii kwneye tangazo lao" waliopitia mafunzo ya ukomandoo watepewa kipaumbele zaidi"

tena waongeze, wenye uzoefu wa kupambana na fujo, na wenye ufahamu wa AK47 ni direct employment
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

There is nothing wrong with the move instead something is wrong with U.

Ushauri wa bure! Acha unafiki na ushabiki wa kisiasa. For once jaribu kuwa objective na kufikiria mbali zaidi.

Ur common sense should tell U that mtu mwenye nia mbaya dhidi ya mwingine hawezi kuwa public. Is that so kwamba CDM ndio taasisi pekee iliyowahi kuajiri watu wenye military background.

In all wise hata watu wenye military background wanahitaji ajira pia.

Ndio maana nasema acha unafiki,vinginevyo ujieleze vizuri zaidi ni shida gani umeiona kwa hiyo move.
 
tena waongeze, wenye uzoefu wa kupambana na fujo, na wenye ufahamu wa AK47 ni direct employment

hapo umesomeka vizuri. Na hayo ndiyo malengo ya ajira hizo, kwani AK47 ni silaha ya kivita. Kwahiyo mnajiandaa na vita gani?
 
Back
Top Bottom