Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

Labda tangazo lilipaswa kuwa hivi: Chadema wanahitaji watanzania watakaofanya kazi ya kulinda mali na vifaa mbali mbali wenye sifa zifuatazo:
1. Awe amewahi kushiriki mashindano ya urembo
2. Awe na marafiki katika vyama vyote vya siasa
3. Awe na na huruma na mpole asiye na uwezo wa kuchokoza hata mbayu wayu
4. Asiwe na uzoefu wowote wa kijeshi
5. Mwenye sifa za wizi au uzushi atapewa nafasi ya kwanza
 
hata makamba na kikwete ni wanajeshi. acha ushabiki wa kiccm, huna tofauti na uvccm wanaotaka kushiba kama akina lowasa na sumae.
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi
Source: Gazeti la jana la Hoja

Mlinzi wangu kapitia jeshini na nafurahia kazi yake.
 
Hongera CDM kwa kufuata ethics za uajiri, professional jobs for professions, pole sana Mr.Mark kama wewe ni dereva na ulitegemea kuajiriwa kuwa mlinzi wa CDM umekosa jaribu CCM kwani sifa zao ni kuinama na kusema ndio mzee.
 
Labda tangazo lilipaswa kuwa hivi: Chadema wanahitaji watanzania watakaofanya kazi ya kulinda mali na vifaa mbali mbali wenye sifa zifuatazo:
1. Awe amewahi kushiriki mashindano ya urembo
2. Awe na marafiki katika vyama vyote vya siasa
3. Awe na na huruma na mpole asiye na uwezo wa kuchokoza hata mbayu wayu
4. Asiwe na uzoefu wowote wa kijeshi
5. Mwenye sifa za wizi au uzushi atapewa nafasi ya kwanza
6. Awe shoga
7.Awe anaweza fitna
8.Awe anachekacheka hovyo kama Rais
 
tena chadema waongeze na hii kwneye tangazo lao" waliopitia mafunzo ya ukomandoo watepewa kipaumbele zaidi"

Jamani tuonyesheni wapi nikajiandikishe!
tumetumikishwa jeshini as if mtu kanywa soda na ganda katupa huko halina faida!
 
Hivi wanahitaji na tuliokuwa polisi au ni wanajeshi tu Mr.Mak fuatilia na hili tafadhali utujuvye.
 
wote mliochangia mmesomeka vyema, japo wengi uzalendo ni mdogo na ushabiki upo juu sana kiasi kwamba hata wakiambiwa walipuke wako tayari japo kwa hesabu za harakaharaka wengi waliotype hapa wanaipenda dunia kuliko. katika michango iliyotolewa hakika tumeipitia na tumejua nani hawezi kujibu hoja na nani anauwezo gani katika kujibu swali.Na kwa wale waliotumia nguvu nyingi sana poleni kwahilo.

Nawaasa wanaojibu hoja kwa kutoa matusi siyo vizuri.
 
Kwa post hii ni bora ungekaa kimya kabisa maana naona umetuthibitishia kuwa huko sawa sawa.........UNAPIMA UZALENDO KWA WATU KUKUBALI THREAD UPUPU YAKO!!

..Bora ile ya asubuhi tungesema uliamka na ndoto mbaya ya kule ulikokuwa na Makamba na ukaanzia JF bila hata kupiga mswaki wala kunywa chai.....Ila hii ya mchana sasa ndio nagundua hukutoka kwenye usingizi wa ndoto mbaya bali hulka kama ya wanaoandaa tamasha la uzalendo wakati wenyewe magasho wa Uzandiki

Msalimie Makamba mwambie posho za ukatibu asimsahau yule binti mwanafunzi aliemtoa kwenye cadre ya ualimu......
 
wote mliochangia mmesomeka vyema, japo wengi uzalendo ni mdogo na ushabiki upo juu sana kiasi kwamba hata wakiambiwa walipuke wako tayari japo kwa hesabu za harakaharaka wengi waliotype hapa wanaipenda dunia kuliko. katika michango iliyotolewa hakika tumeipitia na tumejua nani hawezi kujibu hoja na nani anauwezo gani katika kujibu swali.Na kwa wale waliotumia nguvu nyingi sana poleni kwahilo.

Nawaasa wanaojibu hoja kwa kutoa matusi siyo vizuri.
Watu wamejibu ndivyo sivyo ulivyotaka, unaweza anzisha udaku mwingine labda utawapata.
 
Ina maana kwamba... Mwenyekiti awe kama KIKWETE ( Luten Kanari ) , Katibu awe kama MAKAMABA ( Luteni ), itikadi na uenezi awe kama CHILIGATI ( kepteni ) na MKUCHIKA......... mbona wewe hujauliza hawa wana maana gani???

Holly crap
...Ahaaa!

Kwa mfumo huo miaka michache ijayo TANZANIA ITATAWALIWA KIJESHI JUMLA!!!

Na huenda ikawa njia muafaka ya kumaliza UFISADI, maana wakishindwana wanatembeza KICHAPO!
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

wewe unawaogopa hao visible hutuogopi sisi tulioamua kujiari kuilinda invisibly na hivyo kuingia katika siri zenu za kifisadi kwa kutumia technology ya communication ambayo bado haipo kwenye world market? We unafikiri maendeleo ya ICT leo yangekuwa hivyo bila Jeshi la wamarekani ambao ndiyo wana dominate hii technology kwa asilimia zaidi ya 90? Basi ujue chama chetu kina ulinzi mpaka ambao wao hawawafahamu katika list yao ya ajira. Mbona CCM imemwajiri Shekhe Yahaya kulinda dola yake ambayo inatuhusu hata sisi na siyo mali ya chama hicho pekee? Sasa sisi tukitaka kuajiri walinzi kwaajili yetu na faida yetu ni nongwa?
 
...Ahaaa!

Kwa mfumo huo miaka michache ijayo TANZANIA ITATAWALIWA KIJESHI JUMLA!!!

Na huenda ikawa njia muafaka ya kumaliza UFISADI, maana wakishindwana wanatembeza KICHAPO!

Mkuu bora wangekuwa wale wa kutembezeana vichapa

Hawa wanatembezeana vicheko vya kinafiki wakilana visogoni.......ni wanajeshi walioshindwa maisha ya ujedani
 
Kwani Ujaona SUMA JKT??Mbona ndo walinzi wa ccm kama walivyo ultmate g4security??vigezo nivilevile??au unaona CDM hawatakiwi kuwa na ubunifu kwa ajiri yakuongeza kipato???Panuka na ufunguke!!
 
Nadhani umaarufu huo utaanzia kwa aliyetangaza hizo nafasi, kisha kwako wewe unayeshabikia ujinga tatu kwa chombo kilicholipoti na mwisho kabisa na kwa wanauzalendo wa dhati.

Kaka umehighlight sehemu tatu ila umeelezea moja kuonesha kuwa kumbukumbu yako haipo sawa. ungejibu mstari wa pili ningekuona wa maana katika kujibu hoja. halafu ungekuwa unajua nisivyompenda makamba hata usinge sema. Tatizo la washabiki wa chadema kila mnapokosolewa na wazalendo huwa mnawadhania kuwa niwanaCCM that is wrong? kama umeolewa na siasa ni wewe mkuu na pole sana.
Ndugu inaonekana umetumwa na EL kupambana na wanaJF kwa kauli zako chafu na hoja zisizo na mashiko. Jipange sawasawa kisha uje na hoja zinazojadilika kwenye forum hii.
 
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja

Sasa kuna tatizo gani hapo? Kila kazi ina ujuzi wake na ukitaka kupata ufanisi mzuri kwenye kazi husika unahitaji professionals. Kama tangazo linasema lazima wawe wamepitia jeshini inaweza kumaanisha JKT. Na hata wangekuwa wanajeshi tatizo liko wapi si wanai-marisha kitengo chao cha ulinzi? Kumbuka pia kwa sasa viongozi wa kitaifa wanakabiliwa na threat kutokana na msimamo wao wa kupinga uporaji wa rasilimali za nchi na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanya na serikali ya ******
 
..mbona CCM wako mpaka MAJENERALI?

..mmesahau kwamba Gen.Mboma, Brig.Gen.Ngwilizi, makamanda wastaafu wa Polisi kama IGP Mahita, RPC Tibaigana, wote wako ktk safu ya uongozi wa CCM??

..bila kusahau watu kama Col.Kinana, Cpt.Chiligati,Lt.Makamba etc etc.
 
Back
Top Bottom