lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
HIYO BILLS unayosema ni ipi
kama ni hii ninayoijua mimi basi naona umeanza kuchonokoa
viota vya mkuu wa KAYA, wewe utafukuzwa kazi na msekwa sio muda
mrefu, bill ni moja ya sehemu mkubwa anakuja kucheck kama naweza kupata first lady
sema baada ya kuruka sarakasi pale jangwani wakati wa kamapeni wadada wamemshitukia

Hata FM nae jua kali tu ndio maana alihakikisha ya kuwa anakuwa kiongozi wa upinzani bungeni ili walau aweze kujazia anachopata pale bills[/QUOTE]