Chadema Kortini tena Arusha

Mara baada ya kesi kuahirishwa wandishi wa habari waliongea na Dr Slaa, cha kwanza kuzungumziwa ilikuwa ni zile siku 21 zilizo tolewa na kamati kuu...amesema siku 21 zimeshaisha ila serikali imezifanyia kazi na wako kwenye mazungumzo ila kwasasa hawezi kuzungumzia kinachoendelea....
 
Achana na Zungu la unga yaani nyani na sigara sijui ccm wana fikiri muda unawasubiria wanapoteza muda wao bure, change is coming na hawa akina makupa wasio na chembe za aibu watabadilika sema wanafaidika
 
kama ni ya ccm mnasemaje acheni kulalamika fanyeni kazi
jibu swali langu kama unaamini TBC ni ya CCM basi wewe ni mwehu...
watanzania wana haja ya kuhoji juu ya TBC kwa sababu ni mali ya watanzania siyo ya Chama Cha magamba
 
Imekuwa wimbo bagbo,misri,tunisia weka na yemen,syria,libya etc.Wenye nia ya kutenda huwa hawapayuki.Narudia hizi ni kelele za chura ndani ya tope kama hayo unayotamani yatokee,Watanzania wangekuwa na akili kama zako mapema wangetekeleza.

Sikiliza bwana mdogo,Watanzania nao ni binadam,hawapendi kupoteza maisha yao,viungo vyao(ulemavu),makazi yao na pengine kuwa wakimbizi kwa sababu ya hao unaowatetea ambao hawana kovu lolote zaidi ya kuanguka bafuni.Mifano tunaiona inavyozidi kuwa tata Libya na Syria ambapo maelfu ya watu yamepotea.

Mbona tunaangaika na wanasiasa hawa wasio na upako kwa Mungu(wengi chanzo cha machafuko),ningefurahi kama moyo huu ungekuwa nao katika imani yako Msikitini au Kanisani ukizidisha maombi ili uweze kuona pepo.
Hata Mubarak alikuwa na mawazo kama yako aliona ni ndoto kwa watu wa Misri kumtoa, walipokuwa pale Tahrir Square mwanzo aliwadhihaki kwa kuwaambia wakae milele wakitaka mkate atakuwa anawatumia, sijui unaweza kutuambia leo yuko wapi labda mnawasiliana.
 
huyu makupa ameingia janvini kwa makeke sana ..... janvi hili utalichoka tuu...majimshindo aliaga mwenyewe na kina MS na zomba walichemka
 
Achana na Zungu la unga yaani nyani na sigara sijui ccm wana fikiri muda unawasubiria wanapoteza muda wao bure, change is coming na hawa akina makupa wasio na chembe za aibu watabadilika sema wanafaidika

Kubadilika ni tabia ya Binadamu yoyote aliye hai,lakini mabadiliko yanayochochewa na CDM ni kama kuruka mkojo na kukanyaka mavi h=
 
huyu makupa ameingia janvini kwa makeke sana ..... janvi hili utalichoka tuu...majimshindo aliaga mwenyewe na kina MS na zomba walichemka
Hakuna mtu wa kuchemka hapa, ni lazima muelewe ya kwamba hata upande wa pili una haki ya KUTOA MAONI
 
jibu swali langu kama unaamini TBC ni ya CCM basi wewe ni mwehu...
watanzania wana haja ya kuhoji juu ya TBC kwa sababu ni mali ya watanzania siyo ya Chama Cha magamba
Ni mali ya watanzania na TBC kama chombo huru hakilazimiki kutoa taarifa yoyote inayohusu upuuzi wa CDM
 
acha wafungwe kwan cdm ndio itakufa acha ndoto za kijinga, watachaguliwa wengine, kama ww ndie mganga wa hiyo kesi bas madawa yako yanakuwazisha vibaya ni bora uyaache kuyatumia.
Ingekuwa ni vizuri sana kama mtakubali ya kwamba tupo watanzani wengi tu wenye mawazo tofauti na nyie wan CDM.Matusi na lugha chafu ni tabia isiyopendeza hata wewe mwenyewe
 
Hakuna mtu wa kuchemka hapa, ni lazima muelewe ya kwamba hata upande wa pili una haki ya KUTOA MAONI
Mimi nilifikiri wote tuko upande mmoja tunavuta kumbe kuna wengine mko upande wa pili mnavuta kazi kweli kweli ndiyo maana gurudumu halisogei.
 
Ingekuwa ni vizuri sana kama mtakubali ya kwamba tupo watanzani wengi tu wenye mawazo tofauti na nyie wan CDM.Matusi na lugha chafu ni tabia isiyopendeza hata wewe mwenyewe
Ni kweli kuna watanzania hawapo kati ya CDM na CCM, na matusi hayakubaliki kwenye jamii yetu laki uliem-quote matusi gani umeyaona ameandika na kama ni matusi mlipoti kwa mods.....
 
Mimi nilifikiri wote tuko upande mmoja tunavuta kumbe kuna wengine mko upande wa pili mnavuta kazi kweli kweli ndiyo maana gurudumu halisogei.

Upande mmoja upi?

Ukiona wote mko upande mmoja(whatever you mean) basi ujue uwezo wa kufikiri ni mdogo.
 
Ingekuwa ni vizuri sana kama mtakubali ya kwamba tupo watanzani wengi tu wenye mawazo tofauti na nyie wan CDM.Matusi na lugha chafu ni tabia isiyopendeza hata wewe mwenyewe

cdm hawana hata chombo cha habari hata jf ni ya watoto wa vigogo ccm halaf baba mtu ameikana sabab wajanja kama wana cdm ndio tunaoitumia sababu ccm hawana mpya zote zimeachwa na Nyerere.
 
Ni mali ya watanzania na TBC kama chombo huru hakilazimiki kutoa taarifa yoyote inayohusu upuuzi wa CDM
duh!,inamaana Chadema na uongozi wake wote pmj na wanachama wake ni "wapuuzi"Mbona unatukana badala ya kutetea hoja yako?.Jamani angalieni humu JF wapo vichaa na mkicheza nao wanaweza kuwapakaza kinyesi..
 
Si wapuuzi kidogo tena sana
 
TBC hawatutendei haki watanzania lakini ngoja tukoleze moto wana jamii ili wanywe dawa na ccm yao 2015,pia wakumbuke ya Bagbo,Misri na Tunisia

Mtoa mada anavishutumu vyombo vya habari kwa ujumla exception anaitoa kidogo kwa Channel ten. How do you coment on that?
Halafu ningependa kupata ufafanuzi kidogo unaposema "watanzania"
 
Back
Top Bottom