Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,234
- 1,815
Makupa unataka nani apatikane na hatia?
makupa anaandika hashirikishi ubongo.
He might be empty in the head
Kauli za matusi hazijengi jibuni hoja
makupa unataka nani apatikane na hatia?
Kama hii kwako ni hoja, ukweli unatumia mkia kufikiri.
ukweli upi wakati tunasubiri wazee wazima (cdm top brass) wajue kwamba utawala wa sheria upo na unafuatwa na si vinginevyohoja ziko wapi?
Unataka kusema umetoa hoja?
Naamini wewe unajua ukweli kwamba ccm kwa kutumia jeshi la polisi ndio chanzo cha vurugu arusha, and you know this, but what i have observed from you is that you are part of them ndiyo maana unaupindisha ukweli.
Mtabaki kuilamu TBC ANZISHENI YA KWENUTBC hawatutendei haki watanzania lakini ngoja tukoleze moto wana jamii ili wanywe dawa na ccm yao 2015,pia wakumbuke ya Bagbo,Misri na Tunisia
kesi imesima ili hakim akafanye majadiliana kama kesi endelee ama laah ni kutokana watuhumiwa wawil kuto kufika..walisoma vfungu na wakili wa cdm akasema kwa mjibu makosa ya jinai sheria inaruhusu kesi kuendelea hata kama mtuhumiwa hayupo..
ukweli upi wakati tunasubiri wazee wazima (cdm top brass) wajue kwamba utawala wa sheria upo na unafuatwa na si vinginevyo
TBC hawatutendei haki watanzania lakini ngoja tukoleze moto wana jamii ili wanywe dawa na ccm yao 2015,pia wakumbuke ya Bagbo,Misri na Tunisia
Kesi imehairishwa
makupa unataka nani apatikane na hatia?
Haki lazima itendeke lakini msitegemee walionzisha fujo(cdm top brass ) kutoka salama lazima washughulikiwe hii nchi si ya kikundi cha wahuniNdiyo maana tunataka katiba mpya, yenye kuleta uhuru wa maamuzi kwa mihimili yote ya dola. Jaji hatakuwa anateuliwa na Mwenyekiti wa CCM, bali atatokana na utaratibu utakaowekwa kwa kuanngalia either seniority or something kuliko hivi sasa Mwenyekiti anaibuka tu from nowhere na kusema fulani atakuwa jaji. mfano mzuri Omar Chande. kwa mazingira kama haya hakuna haki itakayotendeka.
Kuhusu hili la CHADEMA nakuambia haki itatendeka, na isipotendeka mtajua nini maana ya people's power.
Ingependeza sana kama wakipatikana na hatia wafunzwe adabu