Chadema Kortini tena Arusha

Chadema Kortini tena Arusha

kwa jinsi maswali yako na commets zako zilivyo za kijani, unaonesha jinsi unavyofaa kwa matumizi ya kawaida. Ndio maana wanaokutumia walikuchagua wewe. Msalimie tambwe

kaka nisaidie kupata namba ya Makupa
 
Kuna jamaa ameingilia hii thread anataka kuivuruga nawashukuru wana JF mmeamua kumwona mwendawazimu na kumuignore tu!
 
Haki lazima itendeke lakini msitegemee walionzisha fujo(cdm top brass ) kutoka salama lazima washughulikiwe hii nchi si ya kikundi cha wahuni
wewe una matatizo wewe sio bure, unashadidia tu topic ili mradi uonekane na post kibao, broda me and u we are citizens hence we need to build a fair nation.
 
kaka nisaidie kupata namba ya Makupa

sina namba yake huyu. Si unaona kabisa alivyo wa kijani. No yake unaweza kuipata kwa RACHEL, msekwa au Tambwe. Maana ndio wanaomtumia. Angalia commets zake unanna alivyoharibika. Anatumika sana!
 
Kiongozi hapo umepotoka kidogo,
Simple law tu ni kua kama watu 100,mmeunganishwa shitaka au mashtaka yanayofanana,ili kuanza kusikilizwa,ni lazima watuhumiwa wote wawepo.Hamuwezi kuendelea wakati wenzenu hawapo.

Inaonesha kesi imeshaanza kukuchanganya,kiasi cha kutuhumu washtakiwa wenzako eti wamepewa rushwa wasitokee,Ina mana mke wa Dr.Slaa amehongwa na serikali?unachekesha sana.

Pambana tu mpiganaji,vita ni vita

uyu ni mtu wa bandia anayejifanya mshitakiwa ili kujaribu ku changanya wanacdm. Kutofika kwa mama slaa ndo anaeleza ivi? Uyu ni msaliti kwa mawazo yake,majina ya wastakiwa wote jf inayo,sio siri jitaje jina kama we ni wa kweli!
 
Kuna jamaa ameingilia hii thread anataka kuivuruga nawashukuru wana JF mmeamua kumwona mwendawazimu na kumuignore tu!

mkuu ni bora wachangiaji wasome ujinga wake kisha waendelee bila kumjibu,sasa wanaomjibu wanampa maneno ya kuongeza. Just ignore the guy for all of its ideas! Ujiulize mtu uyo tangu asubuhi mpaka saizi jion anaandka andka ana kazi ya kufanya kweli?au ndo wale misheni town wanasubiri muda wa kunyanganya wenzao. Achana naye.
 
naona dr slaa, mbowe, lema, madiwani wa cdm na wapenzi wa cdm wako tayari kabisa kufatia kesi..kulitokea kutokuelewana kati ya wapenzi wa cdm na mwandishi wa tbc, wakimtaka aache kufanya mahojiano na lema wakidai ni wachakachuaji kama wanataka taarifa wakaandike za jk hata wakitaka wamuonyeshe hata akiwa chooni

Huyo mwandishi wa tbc si akamuulize spika kuhusu tuhuma ya waziri mkuu kusema uongo hadharani??
 
wenye elimu za mashaka pona yao iko ccm..............makupa pole sana
 
mlikuwa mnapataje muda wa maandamano

muda wa maandamano ulikuwepo na utaendelea tena nilisikitika sana tarehe 16 mlilipo toa mjadala wa katiba maana ndiyo ilikuwa siku ya ukombozi..hata hivyo siku ya ukombozi inakuja mnaichelewesha tu
 
kwa nini sasa hivi tunabishana na huyu mpuuzi........achaneni nae
 
Makupa karibu sana Jamvini mkuu, walikuwepo kina MS lakini hawakuweza kupotosha umma wala kutetea chama cha magamba! Naamini ukikuwa utaacha kupigia wazee kelele
sidhani kama slaa ni kijana
 
Waandishi wa habari ni bora wakaachwa wafanye kazi yao bila bugza maana ukimfanyia fujo mmoja wanakususia wote.
 
muda wa maandamano ulikuwepo na utaendelea tena nilisikitika sana tarehe 16 mlilipo toa mjadala wa katiba maana ndiyo ilikuwa siku ya ukombozi..hata hivyo siku ya ukombozi inakuja mnaichelewesha tu
hizo ni ndoto za alinachae
 
Guys let's not argue with a fool. The guy is actually trying to waste our time. Watu wa magamba wanataka hali ibaki hivihivi. Ila nadhani siisi tuliowengi tunataka change. We don't have time to waste argueging with such a fool!
See now she has changed this thread into a nosense discussion.
Hapa siyo mahali pa taarabu bali is a place for seriuos business.
makupa kama utatendelea na hii sanaa ya mipasho kama jua kali, tutakuchukulia kama house gay wa magamba and will ignore you period exclaimationmark
 
Back
Top Bottom