Chadema Kortini tena Arusha

Waandishi wa habari ni bora wakaachwa wafanye kazi yao bila bugza maana ukimfanyia fujo mmoja wanakususia wote.
 
Imekuwa wimbo bagbo,misri,tunisia weka na yemen,syria,libya etc.Wenye nia ya kutenda huwa hawapayuki.Narudia hizi ni kelele za chura ndani ya tope kama hayo unayotamani yatokee,Watanzania wangekuwa na akili kama zako mapema wangetekeleza.

Sikiliza bwana mdogo,Watanzania nao ni binadam,hawapendi kupoteza maisha yao,viungo vyao(ulemavu),makazi yao na pengine kuwa wakimbizi kwa sababu ya hao unaowatetea ambao hawana kovu lolote zaidi ya kuanguka bafuni.Mifano tunaiona inavyozidi kuwa tata Libya na Syria ambapo maelfu ya watu yamepotea.

Mbona tunaangaika na wanasiasa hawa wasio na upako kwa Mungu(wengi chanzo cha machafuko),ningefurahi kama moyo huu ungekuwa nao katika imani yako Msikitini au Kanisani ukizidisha maombi ili uweze kuona pepo.

Ni mtizamo wako na lazima nieshimu mawazo yako!
 
Guys let's not argue with a fool. The guy is actually trying to waste our time. Watu wa magamba wanataka hali ibaki hivihivi. Ila nadhani siisi tuliowengi tunataka change. We don't have time to waste argueging with such a fool!
See now she has changed this thread into a nosense discussion.
Hapa siyo mahali pa taarabu bali is a place for seriuos business.
makupa kama utatendelea na hii sanaa ya mipasho kama jua kali, tutakuchukulia kama house gay wa magamba and will ignore you period exclaimationmark

kumbe mkielezwa ukweli ujanja hamna kesho tutakuwepo makupa kumi ndio mtajua mbivu na mbichi ni zipi
 
Makupa mimi ni CDM tipicali lakini kwa upeo wangu usifikilie viongozi wa CDM kushikwa na hatia unajua viongozi wa CDM sio kama ccm wao wanaangalia mbali isitoshe hakimu atatumia busara kwakuangalia hasara itakayoweza kupatikana kama viongozi wa CDM watakutwa na hatia
 
karibu makupa JAMVINI, naona umekuja, na hari zaidi na kasi zaidi, karibu sana, usije ukachoka tu?
 
kumbe mkielezwa ukweli ujanja hamna kesho tutakuwepo makupa kumi ndio mtajua mbivu na mbichi ni zipi

sitaki kuamini kama jf inawekuwa na zaidi ya wajinga 5, sasa hao kumi utawatoa wapi?..jf ina karibu 40000 sasa ukitoa mafisadi 10 bado namba ya wanahalakati iko juu
 
Ni mali ya watanzania na TBC kama chombo huru hakilazimiki kutoa taarifa yoyote inayohusu upuuzi wa CDM

KAZI YA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI NI KURIPOTI TUKIO LOLOTE LILE,LIWE LA KIPUUZI AU VYOVYOTE VILE NA NDIYO MAANA HATA VoA WALIRIPOTI HATA PALE MAREKANI ILIPOAIBISHWA KWA BUSH KUPIGWA KIATU.TAFADHALI ULIUMBWA KUTUMIA UBONGO;UTUMIE-USIUACHE UKAKAA MBALI NAWE.AMKA WE KILAZA ULIYELALA KWENYE MVUA YA MAWE!
 
Makupa mimi ni CDM tipicali lakini kwa upeo wangu usifikilie viongozi wa CDM kushikwa na hatia unajua viongozi wa CDM sio kama ccm wao wanaangalia mbali isitoshe hakimu atatumia busara kwakuangalia hasara itakayoweza kupatikana kama viongozi wa CDM watakutwa na hatia

mkuu, hii kesi ukiingalia unaiona ni dogo sana kiai kwamba hata mtu wa darasa la saba anaweza kuiamua tatizo ni nini kitafuata baada ya hukumu..mfano cdm ikishinda lazima tuishitk serikali na maandamano
 
sitaki kuamini kama jf inawekuwa na zaidi ya wajinga 5, sasa hao kumi utawatoa wapi?..jf ina karibu 40000 sasa ukitoa mafisadi 10 bado namba ya wanahalakati iko juu
hao wanarakati 40000uwezo wao ni wa kutia shaka
 
haya bwana hiyo kesi ita ahirishwa hadi miaka mitano tena....tusha zoea
 
Makupa mimi ni CDM tipicali lakini kwa upeo wangu usifikilie viongozi wa CDM kushikwa na hatia unajua viongozi wa CDM sio kama ccm wao wanaangalia mbali isitoshe hakimu atatumia busara kwakuangalia hasara itakayoweza kupatikana kama viongozi wa CDM watakutwa na hatia
hakutakuwepo na hasara yoyote wakipatikana na hatia sana sana itakuwa ni ahueni kwa watanzania kwa ujumla
 
Hao police wanatia huruma sana kwan mshahara wanaopewa unasikitisha sana tusiwalaumu anaesababisha yote ni kikwete na napenda kumwambia hali hyo ikijirudia atutavumilia kabisaaaaaaa nitakuwa tayari kufa kivyovyote ili tu mafisad wajue tumechoshwa na mambo yao............ee mungu baba waukumu hawa mafisad
 
mbowenandesamburo.jpg
lema.jpg
madiwani wa cdm.jpg
drslaa.jpg
Dr Slaa akitoka mahakamani
ndesa.jpg
Ndasamburo akitoka mahakamni....
 
Back
Top Bottom