CHADEMA kisisikilizwe tena!

CHADEMA kisisikilizwe tena!

Ndugu wasomaji,

Tumeshuhudia jinsi nchi yetu ilivyokumbwa na vurugu za kisiasa jijini Arusha. Katika vurugu hizo damu ilimwagika. Ni wakati wa masikitiko makubwa kwa nchi yetu na vilevile ni wakati wa tafakuri na mafunzo muhimu. Je, ni nini kilichopelekea vurugu na kumwagika kwa damu?

Kimsingi mgogoro wa kisiasa ulisafirishwa kwenda Arusha. Chanzo chake ni halmashauri ya Hai. Katika halmashauri hiyo CHADEMA kiliwaorodhesha Mh. Lucy Owenya(MB) na Mh. Grace Kihwelu (MB) kuwa wapiga kura katika uchaguzi wa mwenyekiti wa halashauri hiyo. Kuorodheshwa kwao kulikipa CHADEMA nafasi kubwa ya kuweza kushinda uchaguzi huo. Tukumbushane tu, kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe (MB) ni mjumbe katika halmashauri hiyo ya Hai. Kwa kutokuelewa sheria ipasavyo wajumbe kutoka CCM walipinga ushiriki wa wabunge hao wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri. Hata hivyo wabunge hao wa CHADEMA waliruhusiwa kupiga kura na kumpa ushindi mgombea toka chama hicho. Hivi sasa halmashauri ya Hai inaongozwa na CHADEMA.

Tujifunze katika hili kuwa mwenyekiti wa CHADEMA anatambua kuwa wabunge wa viti maalum wanaweza kusajiliwa katika halmashauri fulani na kukipa chama chao "advantage" katika maamuzi yatakayofanywa katika vikao vya halmashauri hiyo. Katika kufahamu hili ndipo mwenyekiti huyu akawachukua wabunge wake hao wawili ili waweze kushinda uchaguzi. Pingamizi kutoka CCM kisheria halikuwa na nguvu yoyote.

Je, CHADEMA walifanya nini baada ya kukutana na changamoto huko Hai?

Walichokifanya CHADEMA ni kupinga uamuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha wa kumruhusu Mh. Mary Chatanda (MB) toka CCM kushiriki katika uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha. Kigezo walichokitoa ni kwamba swala hilo si sahihi kisheria.

Tujiulize;
iwapo swala hilo si sahihi kisheria, ni kwanini Mh. Freeman Mbowe (MB) aliwasajiri Mh. Lucy Owenya(MB) na Mh. Grace Kihwelu (MB) toka CHADEMA kwenye uchaguzi wa Hai?
Je Mh. Freeman Mbowe (MB) alikuwa anajaribu kuvunja sheria?

Kwa vile waliopinga ushiriki wa wajumbe hao toka CHADEMA huko Hai ni wajumbe toka CCM, je CHADEMA inawatumia wajumbe wa CCM kuwajulisha sheria ya nchi inaruhusu vitu gani?
Iwapo CHADEMA hawajaridhishwa na maamuzi ya mkurugenzi wa Hai, je, ni sahihi kukataa maamuzi halali ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kama majibu kwa mkurugenzi wa Hai?
Kwanini CHADEMA hawakuandamana Hai?

Kimsingi, maamuzi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha ni maamuzi sahihi. Na wale wote waliowakatalia Mh. Lucy Owenya(MB) na Mh. Grace Kihwelu (MB) kushiriki uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri huko Hai hawakuwa sahihi - na kwa vitendo, mwenyekiti wa CHADEMA amedhihirisha kulitambua hili.

Hili ni swali muhimu, Nakumbuka hoja ya Chadema ni kuwa Mary Chitanda ni mbunge wa mkoa wa Tanga, Je Lucy Owenya na Grace Kihwelu ni wabunge kupitia mkoa gani? ni nje ya Kilimanjaro?
 
Ndio kawaida yenu siku hizi. Mnataka kusikia kwaya za kuwaabudu hata wale wanaowapotosha. Hata hivyo hatutachoka kuwakumbusha.
Ujumbe huu sio crap, ila ni ujumbe ambao wewe na wengi waliolewa siasa za makundi ya kuigana hamuwezi kuvumilia kuusoma, kwa vile ni kweli tupu.[/QUOT

ujinga,mtakoma bado kwanza ngoma ndiyo mbichi,tumechoka mtasema lakini mwisho adabu mtaishika.
 
Ndio kawaida yenu siku hizi. Mnataka kusikia kwaya za kuwaabudu hata wale wanaowapotosha. Hata hivyo hatutachoka kuwakumbusha.
Ujumbe huu sio crap, ila ni ujumbe ambao wewe na wengi waliolewa siasa za makundi ya kuigana hamuwezi kuvumilia kuusoma, kwa vile ni kweli tupu.

Hakuna ujumbe hapo ila malalamiko ila unayemlalamikia hujamfikishia malamiko na hao unaowatetea/waliokutuma uwasaidie wawe na haja ya kusonga mbele siyo kung'ang'a visivyowezekana. NDIYO MAANA CRAP
 
In essence the backborne of your argument is fully forked and winded. Why? The CHADEMA legislators your are pointing out to substantiate and sustain your illogical contentous all round condemnation of the oposition leadership are hailing from Kilimanjaro not Mara or Mwanza or Dar es Salaam. In the final analysis and in the absence of Counties in Tanzania, constituences in a region work in tandem to reach party goals if not executive objectives. I would find your observation consummable had the said hail from Kawe and Ubungo!
But the main issue is CHADEMA got a permit and the executive purported to cancel the demonstration contrary to the constitution and political parties act. IGP Mwema usurpt powers he does not have in peace time, even worse he used unorthordical channels unworthy of such a grave infor at the last minute. Please stop the propaganda, Hon. Makamba has enough court jesters.
 
Ndugu wasomaji,

Tumeshuhudia jinsi nchi yetu ilivyokumbwa na vurugu za kisiasa jijini Arusha. Katika vurugu hizo damu ilimwagika. Ni wakati wa masikitiko makubwa kwa nchi yetu na vilevile ni wakati wa tafakuri na mafunzo muhimu. Je, ni nini kilichopelekea vurugu na kumwagika kwa damu?

Kimsingi mgogoro wa kisiasa ulisafirishwa kwenda Arusha. Chanzo chake ni halmashauri ya Hai. Katika halmashauri hiyo CHADEMA kiliwaorodhesha Mh. Lucy Owenya(MB) na Mh. Grace Kihwelu (MB) kuwa wapiga kura katika uchaguzi wa mwenyekiti wa halashauri hiyo. Kuorodheshwa kwao kulikipa CHADEMA nafasi kubwa ya kuweza kushinda uchaguzi huo. Tukumbushane tu, kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe (MB) ni mjumbe katika halmashauri hiyo ya Hai. Kwa kutokuelewa sheria ipasavyo wajumbe kutoka CCM walipinga ushiriki wa wabunge hao wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri. Hata hivyo wabunge hao wa CHADEMA waliruhusiwa kupiga kura na kumpa ushindi mgombea toka chama hicho. Hivi sasa halmashauri ya Hai inaongozwa na CHADEMA.

Tujifunze katika hili kuwa mwenyekiti wa CHADEMA anatambua kuwa wabunge wa viti maalum wanaweza kusajiliwa katika halmashauri fulani na kukipa chama chao "advantage" katika maamuzi yatakayofanywa katika vikao vya halmashauri hiyo. Katika kufahamu hili ndipo mwenyekiti huyu akawachukua wabunge wake hao wawili ili waweze kushinda uchaguzi. Pingamizi kutoka CCM kisheria halikuwa na nguvu yoyote.

Je, CHADEMA walifanya nini baada ya kukutana na changamoto huko Hai?

Walichokifanya CHADEMA ni kupinga uamuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha wa kumruhusu Mh. Mary Chatanda (MB) toka CCM kushiriki katika uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha. Kigezo walichokitoa ni kwamba swala hilo si sahihi kisheria.

Tujiulize;
iwapo swala hilo si sahihi kisheria, ni kwanini Mh. Freeman Mbowe (MB) aliwasajiri Mh. Lucy Owenya(MB) na Mh. Grace Kihwelu (MB) toka CHADEMA kwenye uchaguzi wa Hai?
Je Mh. Freeman Mbowe (MB) alikuwa anajaribu kuvunja sheria?

Kwa vile waliopinga ushiriki wa wajumbe hao toka CHADEMA huko Hai ni wajumbe toka CCM, je CHADEMA inawatumia wajumbe wa CCM kuwajulisha sheria ya nchi inaruhusu vitu gani?
Iwapo CHADEMA hawajaridhishwa na maamuzi ya mkurugenzi wa Hai, je, ni sahihi kukataa maamuzi halali ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kama majibu kwa mkurugenzi wa Hai?
Kwanini CHADEMA hawakuandamana Hai?

Kimsingi, maamuzi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha ni maamuzi sahihi. Na wale wote waliowakatalia Mh. Lucy Owenya(MB) na Mh. Grace Kihwelu (MB) kushiriki uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri huko Hai hawakuwa sahihi - na kwa vitendo, mwenyekiti wa CHADEMA amedhihirisha kulitambua hili.

Hili ni swali muhimu, Nakumbuka hoja ya Chadema ni kuwa Mary Chitanda ni mbunge wa mkoa wa Tanga, Je Lucy Owenya na Grace Kihwelu ni wabunge kupitia mkoa gani? ni nje ya Kilimanjaro?

acheni uvivu wa kufikiri,hao wote hapo juu ni wabunge wa mkoa wa Kilimanjaro kwani Hai iko Arusha?Mary Chitanda ni mbunge wa mkoa wa Tanga wilaya korogo iweje aje mkoa wa Arusha au Tanga imekuwa Arusha.Grace na Owenya ni wabunge wa mkoa wa kilimanjaro na Hai ni jimbo ndani ya Kilimanjaro walikuwa na uhuru kuchagua Halmashahuri ya kwenda kuitumikia ndani ya mkoa wao.

Wabunge ni wawakilishi wa mikoa na si kitaifa,hivyo Mary Kitanda angeenda kwenye Halmashauri yoyote ya Tanga hakuna cha ajabu.Mwanasheria mkuu angetuambia sheria hiyo ikoje kwa majadiliano sidhani kama wanachadema wangekuwa na shida.Mziki bado kumekucha mama Komu ni mbunge kupitia mkoa wa Dar-es-salaam naye amepelekwa Arusha imekaaje hiyo? mbona wanasuasua.kama suala ni idadi chadema uwezo wanao.

Pendeni kusoma na kufanya utafiti na si kuropoka ovyoovyo.ujinga ni tatizo sana na kama unajua hunauhakika na unachokiongea kaa kimya au uliza, acheni kupotosha watu.matatizo ya shule na vyuo vya kata navyovisoma humu.
 
acheni uvivu wa kufikiri,hao wote hapo juu ni wabunge wa mkoa wa Kilimanjaro kwani Hai iko Arusha?Mary Chitanda ni mbunge wa mkoa wa Tanga wilaya korogo iweje aje mkoa wa Arusha au Tanga imekuwa Arusha.Lucy na Owenya ni wabunge wa mkoa wa kilimanjaro na Hai ni jimbo ndani ya Kilimanjaro walikuwa na uhuru kuchagua Halmashahuri ya kwenda kuitumikia ndani ya mkoa wao.

Wabunge ni wawakilishi wa mikoa na si kitaifa,hivyo Mary Kitanda angeenda kwenye Halmashauri yoyote ya Tanga hakuna cha ajabu.Mwanasheria mkuu angetuambia sheria hiyo ikoje kwa majadiliano sidhani kama wanachadema wangekuwa na shida.Mziki bado kumekucha mama komu ni mbunge kupitia mkoa wa Dar-es-salaam naye amepelekwa Arusha imekaaje hiyo mbona wanasuasua.kama suala ni idadi chadema uwezo wanao.

Pendeni kusoma na kufanya utafiti na si kuropoka ovyoovyo.ujinga ni tatizo sana na kama unajua hunauhakika na unachokiongea kaa kimya au uliza acheneni upotoshwaji.matatizo ya shule na vyuo vya kata navyovisoma humu.

Hapa wewe ndio unaonyesha uvivu wa kufikiria.
Je, mbunge wa viti maaluma mkoa wa Tanga kutoka CHADEMA ni nani?
Umeshindwa kujua kuwa utaratibu wa ubunge kutoka mikoa ni utaratibu wa CCM na wala si mahitaji ya katiba ya nchi. Chadema hawana mbunge wa viti maalum wa mkoa wa Kilimanjaro. Wabunge wake wameteuliwa kutokana na vigezo vilivyowekwa na Kitila Mkumbo na si kutokana na mikoa. Hao mnawaita kutoka Kilimanjaro kwa sababu wote ni familia ya Ndesamburo ya Kilimanjaro, lakini hamjatumia katiba ya CHADEMA.
Je, Anna Komu ambaye aligombea ubunge Kigamboni ameweza vipi kusajiliwa Arusha?

Ukweli ni kwamba viongozi wa CHADEMA wamefanya maamuzi mabovu ambayo yamegharimu maisha ya watu bila kuwa na sababu ya msingi.
 
Haya ndiyo Mwanakijiji anasema "tunapenda majibu mepesi katika maswali magumu................"

Wanasiasa ni MALAYA. Hilo linajulikana kwa kila mtu mwenye KUFIKIRI mbali ya PUA lake.

Katika hao MALAYA, unachotakiwa kutafuta ni yule mwenye NAFUU.

Sasa unafuu wa CCM na CHADEMA wewe unauona wapi?

Kama ukisikia Mwanasiasa anasema "yeye ni Malaika....." basi huyo HAFAI KUWA MWANASIASA.

Fumbuka macho ndugu. Tukiacha Chadema, tuende wapi? Au tupaki na CCM siyo?

Tena CCM ya Kikwete, ya Lowassa, ya Rostam Azziz, ya Chenge, ya Rashid wa Tanesco, ya Mattaka wa ATCL, ya TRCL, ya Airport za Tanzania, ya mashule yasiyo na waalimu, ya maji machafu mbele za nyumba, ya hakuna maji safi, ya foleni za kufa mtu Dar................

Kama ntachagua Malaya, basi mie nachagua Chadema. Ila ukweli ni kuwa wote ni MALAYA.

Mwenye akili kanielewa.

Mpuuzi hata ujui unachoongea,nenda chadema au Tume then omba fomu za wabunge wa viti maalum za chadema soma kwa umakini halafu uje ujibizane na mimi.KILAZA.
 
i don see the point there ur just vomiting aaah
 
Haya ndiyo Mwanakijiji anasema "tunapenda majibu mepesi katika maswali magumu................"

Wanasiasa ni MALAYA. Hilo linajulikana kwa kila mtu mwenye KUFIKIRI mbali ya PUA lake.

Katika hao MALAYA, unachotakiwa kutafuta ni yule mwenye NAFUU.

Sasa unafuu wa CCM na CHADEMA wewe unauona wapi?

Kama ukisikia Mwanasiasa anasema "yeye ni Malaika....." basi huyo HAFAI KUWA MWANASIASA.

Fumbuka macho ndugu. Tukiacha Chadema, tuende wapi? Au tupaki na CCM siyo?

Kama ntachagua Malaya, basi mie nachagua Chadema. Ila ukweli ni kuwa wote ni MALAYA.

Mwenye akili kanielewa.
Duh! Naona unataka kupindisha bandiko, CCM sio Malaya kabisa tena tuombe radhi! Chadema inajulikana kwa ufisadi kiwembe!
 
Haya ndiyo Mwanakijiji anasema "tunapenda majibu mepesi katika maswali magumu................"

Wanasiasa ni MALAYA. Hilo linajulikana kwa kila mtu mwenye KUFIKIRI mbali ya PUA lake.

Katika hao MALAYA, unachotakiwa kutafuta ni yule mwenye NAFUU.

Sasa unafuu wa CCM na CHADEMA wewe unauona wapi?

Kama ukisikia Mwanasiasa anasema "yeye ni Malaika....." basi huyo HAFAI KUWA MWANASIASA.

Fumbuka macho ndugu. Tukiacha Chadema, tuende wapi? Au tupaki na CCM siyo?

Tena CCM ya Kikwete, ya Lowassa, ya Rostam Azziz, ya Chenge, ya Rashid wa Tanesco, ya Mattaka wa ATCL, ya TRCL, ya Airport za Tanzania, ya mashule yasiyo na waalimu, ya maji machafu mbele za nyumba, ya hakuna maji safi, ya foleni za kufa mtu Dar................

Kama ntachagua Malaya, basi mie nachagua Chadema. Ila ukweli ni kuwa wote ni MALAYA.

Mwenye akili kanielewa.

Nimesema CHADEMA kisisikilizwe tena mpaka viongozi wake wakuu waliochochea vurugu zilizosababisha vifo huko Arusha (Dr. Wilbroad Slaa, Mh. Freeman Mbowe, Mh. Ndesamburo, ) watangaze kujiuzuru/ kuomba radhi umma kwa upotoshaji walioufanya.

Sasa ugumu hapo uko wapi?
Ni swala la viongozi kuwajibika tu na chama kikaendelea na viongozi werevu wenye busara. Au hao waliosababisha vurugu Arusha ndio watu pekee wanaoweza kuiongoza CHADEMA?
 
Haya ndiyo Mwanakijiji anasema "tunapenda majibu mepesi katika maswali magumu................"

Wanasiasa ni MALAYA. Hilo linajulikana kwa kila mtu mwenye KUFIKIRI mbali ya PUA lake.

Katika hao MALAYA, unachotakiwa kutafuta ni yule mwenye NAFUU.

Sasa unafuu wa CCM na CHADEMA wewe unauona wapi?

Kama ukisikia Mwanasiasa anasema "yeye ni Malaika....." basi huyo HAFAI KUWA MWANASIASA.

Fumbuka macho ndugu. Tukiacha Chadema, tuende wapi? Au tupaki na CCM siyo?

Tena CCM ya Kikwete, ya Lowassa, ya Rostam Azziz, ya Chenge, ya Rashid wa Tanesco, ya Mattaka wa ATCL, ya TRCL, ya Airport za Tanzania, ya mashule yasiyo na waalimu, ya maji machafu mbele za nyumba, ya hakuna maji safi, ya foleni za kufa mtu Dar................

Kama ntachagua Malaya, basi mie nachagua Chadema. Ila ukweli ni kuwa wote ni MALAYA.

Mwenye akili kanielewa.

Nimesema CHADEMA kisisikilizwe tena mpaka viongozi wake wakuu waliochochea vurugu zilizosababisha vifo huko Arusha (Dr. Wilbroad Slaa, Mh. Freeman Mbowe, Mh. Ndesamburo, ) watangaze kujiuzuru/ kuomba radhi umma kwa upotoshaji walioufanya.

Sasa ugumu hapo uko wapi?
Ni swala la viongozi kuwajibika tu na chama kikaendelea na viongozi werevu wenye busara. Au hao waliosababisha vurugu Arusha ndio watu pekee wanaoweza kuiongoza CHADEMA?
 
Pendeni kusoma na kufanya utafiti na si kuropoka ovyoovyo.ujinga ni tatizo sana na kama unajua hunauhakika na unachokiongea kaa kimya au uliza, acheni kupotosha watu.matatizo ya shule na vyuo vya kata navyovisoma humu.

Katika hili wewe ndio umeonesha ujinga wa kiwango cha juu, sijui unasoma na kutafiti nini?
 
Hivi kama spirit ya viongozi na washabiki wa CHADEMA ni kutetea hata yale mabaya yanayofanywa na vingozi wao, chama hiki kitarajiwe kuleta mabadiriko gani katika nchi yetu? Nini kinachokosekana sasa ambacho CHADEMA imedhihirisha kuweza kukileta? Na imedhihirisha vipi?
 
Wenye akili walishaachana na chama hicho..bado wewe unasubiri nini?

Wamebaki wawili watatu..lakini come 2015 watakuwa wameshajitoa ...
 
Hivi kama spirit ya viongozi na washabiki wa CHADEMA ni kutetea hata yale mabaya yanayofanywa na vingozi wao, chama hiki kitarajiwe kuleta mabadiriko gani katika nchi yetu? Nini kinachokosekana sasa ambacho CHADEMA imedhihirisha kuweza kukileta? Na imedhihirisha vipi?

mimi huwa sipati shida na hawa wakereketwa wa humu, kuna watu wenye vision sana ndani ya CDM na kizazi hicho si hiki cha humu ndani, ukiacha wapuuzi wachache kwenye uongozi wa juu CDM, wapo watu wenye nia njema na nchi hii ndani ya CDM( watu wa kariba ya Zitto, Mnyika, na John Mrema) lakini kwa maslahi ya watu flani hawa watu wamefunikwa na wengine kugeuzwa misukule. Hakuna cha ku construct na akili za akina Mr crap kila kitu kisicho msifia Mtei.
 
Hivi kama spirit ya viongozi na washabiki wa CHADEMA ni kutetea hata yale mabaya yanayofanywa na vingozi wao, chama hiki kitarajiwe kuleta mabadiriko gani katika nchi yetu? Nini kinachokosekana sasa ambacho CHADEMA imedhihirisha kuweza kukileta? Na imedhihirisha vipi?

kilichokosekana ni upungufu, ufinyu na uwezo wa utendaji wa utawala wa sisiem ..... mabadiliko haya ya kupata utawala ulio na dhamira ya kuleta maendeleo kwa kila mtanzania ndiyo CDM itawaletea watanzania
 
Nakupa tena senksi ya hapa, maana umejibu hoja, bado nasisitiza kuna CDM wenye akili humu JF basi tu hawa wachache wanawachafulia.
 
Ze Marcopolo,

Ungeomba angalao darasa la kanuni,taratibu na sheria

Pia,hilo suala la kutaka uongozi wa CHADEMA kujiuzulu nadhani limefunikwa na hisia mfu,uelewa finyu na wingu la kudumaa kifikra ulipoichambua hoja ndiyo maana umefikia kwenye suluhisho.Nikipata muda nitarudi kukuelimisha. Mkuu,hongera kwa kujaribu kujenga hoja au hisia.We know how you feel
 
Ndio kawaida yenu siku hizi. Mnataka kusikia kwaya za kuwaabudu hata wale wanaowapotosha. Hata hivyo hatutachoka kuwakumbusha.
Ujumbe huu sio crap, ila ni ujumbe ambao wewe na wengi waliolewa siasa za makundi ya kuigana hamuwezi kuvumilia kuusoma, kwa vile ni kweli tupu.

Crap nyingine
 
Back
Top Bottom