CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

Kamwe ni ndoto cdm kuingia ikulu. Kwa wabunge watapata. Bado hawana uongozi mathubuti. Mwenyekiti wao amejaa ukanda mno, pia wapo kimaslahi sana na waongo kweli kweli.

Safari hii wana CCM wa kanda ya ziwa tutamchagua msukuma mwenzetu ili aje atuondolee manyanyaso wasukuma,kama wewe siyo msukuma na kama siyo mkaazi wa kanda ya ziwa imekula kwako hiyo ndiyo CCM yetu.
 
Danstan Nicholaus Diwani wa Kamachumu na yeye kaenda CDM mkuu, Lembeli naye kafanya hivyo ndugu..Diwani wa Nata Nzega na yeye kaamua hivyo..Kangi Lugola na Dada wa bunda soon wanatika huko.So punguza povu dada angu maana Singida, Manyara na kwingineko wapo njiani...
Kigumu chama cha Mapinduzi.

Kiguuuuumuuuuu
 
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Waliohama wamejua ubaya wa sisiem...nasi tunawapokea kwa sababu wamejua makosa ya maamuzi yao ya kuwa sisiem.....kuhama chama sio vibaya na katiba inaruhusu ila unahama kutoka wapi kwenda wapi ndo tatizo.....mtu mwenye akili timamu hawezi hama cdm kwenda ccm ila kilaza kama ww utabaki uko uko.......Mungu mwenyewe anatupokea tunapotubu sembuse chama..........???
 
mkuu hakuna chadema hapa ni genge la wanafiki, wakanda,wakabila na wenye siasa za kijinga,haiingi akili leo hii cdm wanakula matapishi ya ccm ambayo walikuwa wanatoa matisi kila kona ya nchi hii na kuongea kama vile wamechanganyikiwa lakini leo hii wanasiasa walinyo wanafiki wamejichimbia kwenye ofisi moja na lowasa waliyemvua ngua mchana kweupe na kumtukana matusi yote eti wanapanga nae migago ya kushinda ccm na kupokea baadhi ya madiwani wao kwa mbwembwe za vyombo vya habari na magazeti ya matajili wenzake,tumeishawajua ni wanafiki
 
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Kweli mtume Muhammad (s.a.w) amesema maneno hayo lakini siyo kwenye Qur an kama unavyofanya uzushi wewe, hiyo ni Hadithi (simulizi njema) ambayo hata hapo ulipoiweka haipo relevant na hilo la chadema. Mkuu kwani unafanya siasa kama dini, wanaotoka vyama siyo watakatifu etiiii....!!!
Siasa haina rafiki wala adui wa kudumu, usishangae kesho Zitto akakaa meza moja na Mbowe na Lissu, kwani CUF na Chadema walikuwa kama hivi walivyo kabla???
Hapana cha unafiki hapa, kilichotokea Monduli ndiyo siasa zilivyo duniani kote!
 
Kusema ukweli CHADEMA hawana washauri wazuri wa kisiasa hivi sasa,Haya wanayoyafanya don't bode well for their political future. Kuhama kwa madiwani wa Arumeru kusingeshabikiwa hivi na high profile cadre of CHADEMA like Lema,they could have let the matter on the hands of low profile cadre like District party's leaders and shouldn't be given this media spotlight in order to avoid the potential accusations like this one. In politics there's no room for errors, unfortunately CHADEMA are doing quite the opposite. CCM demise is something we all dying to see happen, but we should remember that CCM are the masters of the politics, and this members' deflection could be one of their designs and strategies to trap opposition parties in,by either making opposition parties believe them and finally appoint them to be their flag bearers then sabotage them (opposition parties) during the election or by making CCM look like a party that is fighting against corrupt and filthy leaders and CHADEMA as a party that is going against their own principles by receiving these unscrupulous and corrupt leaders.[/QUOTE
English mbovu, akili mbovu, mawazo mafu, fikra mgando, hujui fu unajifanya unajua, mtaji wa chama cha siasa ni watu kupokea wale madiwani kwa mbwembwe zote ni kumshawishi mwananchi kwamba kama madiwani wamehama me nasubiria nini ili wajiunge..wacha kufikiri kwa miguu, kenge wewe

Being the dumbass that you are,I can't answer you back.
 
Kama mnasema mnataka kubadili mfumo wa CCM na wakati huo huo mnawapokea watu waliokuwa sehemu ya mfumo huo kandamizi. Mnadhani mna lipi jipya la kuwaambia watanzania?
Mchuzi ule ule kwenye bakuli jipya.
 
Dear, umeona wapi CDM wakiwaomba wana-CCM kuhamia , madiwani 20 kahama ,25 Simiyu, Mbunge mara wanachuo , bahati nzuri leo ofisi hazijafunguliwa ungesikia Geita 40, Bagamoyo 43,Dodoma 88 tusubiri kesho mpaka saa saba mchana utalazwa hospital mpenzi

Msulibasi bwana utawasababishia watu ugonjwa wa moyo
 
Ninachoaamini mimi ni kuwa tatizo la ufisadi nchini hautokani na watu moja kwa moja bali mfumo wa chama cha mapinduzi unakufanya kuwa fisadi. hivi sasa watachukua pesa za kampeni. Malipo yake ni kuwa watapewa tenda mbovu toka serikalini ambazo zitafanya ufisadi huo mkubwa na wananchi wataanza kulia. Wangebadilisha mfumo wao ambao ni ngumu kuubadilisha kwani unanufaisha sana mafisadi. Hivyo mtu akihama toka ccm akaenda kwingine hatofanya ufisadi huo kwani hakuna mfumo wa kufanya ufisadi. Nahitimisha kuwa hata huyu Magufuri akiingia madarakani pamoja na kumsifia kote huko bado mtajuta tu kwani mfumo utambadilisha kabisa na hata tenda kama watu wanavyotegemea. hakuna mgombea wa ccm atakaye vunja mwiko wa kupendwa kama Kikwete. Watanzania wengi walikuwa na mataegemeo makubwa kwake lakini kila kitu kimeyeyuka. Leo tunajuta tena. Lakini kwa sababu watanzania wengi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana tumeshahadaiwa na mtu aitwae Magufuri. Atatenda yale yale. Walioko pale magogoni ni wapiga deal wakubwa. Kikwete ataondoka lakini wasaidizi wake wote watabaki pale. Watamfundisha yale yale ya kupiga deal. Vinginevyo abadilishe wote wanaoshinda kule Magogoni. DONT EXPECT ANYTHING NEW FROM MAGUFURI AND CCM AT LARGE.
 
Kinachonifanya niuone unafiki wa CHADEMA ni pale wanapoona ni sahihi (demokrasia) kwa watu kuhamia kwao lakini mtu anapohama kwao kwenda popote anapewa majungu, matusi na kashfa.
Nani aliwadanganya kwamba 'msamehe dhambi' anapatikana CDM pekee?

Kwa hiyo wewe unawapigia vigeregere watu wanaohama CCM na kuhamia CHADEMA?.
 
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Hiyo reference ya mtume hapo haihusiki kabsaaa.....Tafta hoja nyingne.
 
Waliohama wamejua ubaya wa sisiem...nasi tunawapokea kwa sababu wamejua makosa ya maamuzi yao ya kuwa sisiem.....kuhama chama sio vibaya na katiba inaruhusu ila unahama kutoka wapi kwenda wapi ndo tatizo.....mtu mwenye akili timamu hawezi hama cdm kwenda ccm ila kilaza kama ww utabaki uko uko.......Mungu mwenyewe anatupokea tunapotubu sembuse chama..........???

hamna aibu na unafiki mwaka huu ndo mtaona ni matunda yake ,mlimtuka lowasa mkamzalilisha mkapa umaharufu kupitia yeye kwenye majukwa mkamvua nguo mchana kweupe mwembeyanga leo hii ndo mumekaa nae na kupanga namana ya ushindi au kumpitisha kuwa mgombea wenu,

dhambi ya unafiki inawatafuna mpaka mjue mungu apendi unafiki.
leo hii msivyo na aibu,lowasa na kundi lake kuja chadema kwenye saccoss ya kanda ametubu makosa yake ,zitto kutoka cdm kwenda ACT ni msaliti na mnafiki,ama kweli nyie ni mavuvuzera wa siasa,
 
mkuu unafiki wa saccoss ya mtei utawaumbua ,na mshahara wa dhambi ni mauti,
 
mkuu hii ilikuwa maisukule ya lowasa wala hawakuwa wanaccm,na hata angekufa kesho wangeondoka tu so waende maana wanatimiza mpango wao wa ukasikazini ila wajue nchi nzima inaona wanachokifanya na unafiki wao maana hakuwa lowasa peke yake ,amekatwa makamu wa rais je lowasa ni nani?
 
Ahsante mleta Uzi ukombozi Wa kweli utapatikana soon karibu UKAWA tuungane site kuleta maenfeleovya kweli achana na ma CCM
 
Hizo dalili za UNAFIKI wako nazo CCM na sio CHADEMA
1) CCM waliwahidi wananchi mambo kibao lakini hawajatekeleza.
2)CCM waliaminiwa na wananchi ndio maana wakawachagua lakini wao wamewatupa kwaiyo hawakujiaminisha.
3)CCM siku zote wakisema wao ni kusema uwongo tu ukweli kwao ni mwiko!
 
mkuu hawa jamaa ni viumbe wa ajabu sana ukiwauliza wanakwambia magufuli wanamkubali lakini wao walitaka rais atoke kwao nikawauliza kwani ni lazima risa atoke monduli au kasikazini hawana cha kujibu ,maana yake ni nini,wao waliwekwa ccm na lowasa ili apate urais na kuonekana anawafasi ndani ya ccm,
na huu ni muendelezo wa waumini wa makundi na mtu ambaye anawatunza sio chama,
 
Back
Top Bottom