huyo mtume si wa wote we ndo unamwamini si tunamwamini Kristo nae ana yake ya kutufunza tofauti na hayo bwana asifiwe sana hallelujah
umemjibu vyema sana sie Bwana Yesu tunae muamini anatufundisha tusamehe hata 7x70
huyo mtume si wa wote we ndo unamwamini si tunamwamini Kristo nae ana yake ya kutufunza tofauti na hayo bwana asifiwe sana hallelujah
Kusema ukweli CHADEMA hawana washauri wazuri wa kisiasa hivi sasa,Haya wanayoyafanya don't bode well for their political future. Kuhama kwa madiwani wa Arumeru kusingeshabikiwa hivi na high profile cadre of CHADEMA like Lema,they could have let the matter on the hands of low profile cadre like District party's leaders and shouldn't be given this media spotlight in order to avoid the potential accusations like this one. In politics there's no room for errors, unfortunately CHADEMA are doing quite the opposite. CCM demise is something we all dying to see happen, but we should remember that CCM are the masters of the politics, and this members' deflection could be one of their designs and strategies to trap opposition parties in,by either making opposition parties believe them and finally appoint them to be their flag bearers then sabotage them (opposition parties) during the election or by making CCM look like a party that is fighting against corrupt and filthy leaders and CHADEMA as a party that is going against their own principles by receiving these unscrupulous and corrupt leaders.
Umemaliza kila kitu sina cha kuongeza mkuuSasa hivi Watanzania tunataka mtu atakayeondoa mfumo mbovu wa ccm, awe fisadi au asiwe fisadi maana mfumo huu hata mtu awe na rekodi nzuri akishaingia kwenye ccm si mzuri tena.
Ndiyo maana unaona mtu akiwa ccm ni fisadi tu. Hata Lowasa kama anauwezo wa kuiangusha ccm tunamkaribisha upinzani ilimradi tu huu mfumo utoke kwanza tuanze upya.
Tumechoshwa na utawala wa kinafiki na kizandiki wa ccm na ndiyo maana mtu yeyote anayeweza kuitoa ccm hata kama ni Boko haram au al shababu tutamuunga mkono ilimradi tu huu utawala uende kuzimu.
Kusema ukweli CHADEMA hawana washauri wazuri wa kisiasa hivi sasa,Haya wanayoyafanya don't bode well for their political future. Kuhama kwa madiwani wa Arumeru kusingeshabikiwa hivi na high profile cadre of CHADEMA like Lema,they could have let the matter on the hands of low profile cadre like District party's leaders and shouldn't be given this media spotlight in order to avoid the potential accusations like this one. In politics there's no room for errors, unfortunately CHADEMA are doing quite the opposite. CCM demise is something we all dying to see happen, but we should remember that CCM are the masters of the politics, and this members' deflection could be one of their designs and strategies to trap opposition parties in,by either making opposition parties believe them and finally appoint them to be their flag bearers then sabotage them (opposition parties) during the election or by making CCM look like a party that is fighting against corrupt and filthy leaders and CHADEMA as a party that is going against their own principles by receiving these unscrupulous and corrupt leaders.[/QUOTE
English mbovu, akili mbovu, mawazo mafu, fikra mgando, hujui fu unajifanya unajua, mtaji wa chama cha siasa ni watu kupokea wale madiwani kwa mbwembwe zote ni kumshawishi mwananchi kwamba kama madiwani wamehama me nasubiria nini ili wajiunge..wacha kufikiri kwa miguu, kenge wewe
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekeleziTatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli. Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo. Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.
Mbona hakakosea kabisa. Sema wewe ndiye unapaniki bure. Cdm ni wanafiki wakubwa. Hivi hao watu wakija then ikatokea wakanyimwa madaraka si watakimbia tena chama??? Ni bora anayejiunga kwa moyo wake lakini si mtu anayemshabikia fisadi
Kumbe wewe unaogopa akinyimwa madaraka atakimbia?
CDM hakuna madaraka kuna uwajibikaji, kama wanafuata madaraka wataondoka wenyewe kama walivyokuja hakuna aliyewalazimisha.
Kuna mbwa kadhaa tulushafukuza na tukafanya uchaguzi tena na tukachukua wote, hawa wapo na hawatakosekana na wataondoka watakuja wengine.
huyo mtume si wa wote we ndo unamwamini si tunamwamini Kristo nae ana yake ya kutufunza tofauti na hayo bwana asifiwe sana hallelujah
Na huyo mtume wenu mnavyomtumia viabaya nadhani hata huko aliko uwa anakerwa sana. No wonder wengine wanavaa mabomu kuua wengine kwa jina hilo
Sasa hivi Watanzania tunataka mtu atakayeondoa mfumo mbovu wa ccm, awe fisadi au asiwe fisadi maana mfumo huu hata mtu awe na rekodi nzuri akishaingia kwenye ccm si mzuri tena.
Ndiyo maana unaona mtu akiwa ccm ni fisadi tu. Hata Lowasa kama anauwezo wa kuiangusha ccm tunamkaribisha upinzani ilimradi tu huu mfumo utoke kwanza tuanze upya.
Tumechoshwa na utawala wa kinafiki na kizandiki wa ccm na ndiyo maana mtu yeyote anayeweza kuitoa ccm hata kama ni Boko haram au al shababu tutamuunga mkono ilimradi tu huu utawala uende kuzimu.
Hivi mnajisikia vipi mtu mmemuita jana fisadi, mwizi, jambazi, mnyakuzi na hata mkasema atanyongwa mkishika nchi halafu leo mmesimama majukwaa yale yale mkimshukuru na kumsifu?
Hiyo ndio maana kuu ya UNAFIKI.
Nadhani Kilichochambuliwa ni sahihi kabisa najua hata moyoni mwako hilo unalijua, ila kwa kuonesha ushabiki utakataa. Lazima chama kifike pahala kiwe na msimamo ili wapiga kura waelewe. Na cdm wasipokuwa makini 2015-2025 watapotea. Kumbuka kauli ya Mh. Zitto aliwahi kusema jamani cdm tusilaluane na kufukuzana tunadhoofisha upinzani, kwani kujenga upinzani inachukua miaka mingi mno, sasa ndicho kitatokea cdm, wewe subirini
Dear, umeona wapi CDM wakiwaomba wana-CCM kuhamia , madiwani 20 kahama ,25 Simiyu, Mbunge mara wanachuo , bahati nzuri leo ofisi hazijafunguliwa ungesikia Geita 40, Bagamoyo 43,Dodoma 88 tusubiri kesho mpaka saa saba mchana utalazwa hospital mpenzi