Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Tena supu ya utumbo wa kuku,miguu na kichwa mkuu,bila hivyo huyu jamaa hawezi zinduka
Sure, supu nzito kabisa, hang over mbaya sana mkuu.
Tena supu ya utumbo wa kuku,miguu na kichwa mkuu,bila hivyo huyu jamaa hawezi zinduka
tabia kuu tatu za mtu mnafiki.
Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.
Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi
Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.
Hao ni madiwani wastaafu Na wanajua hawatapata tena kwa sababu hawakutimiza ahadi zao!! Sasa nyinyi kwa kuwa hamna akili timamu mnapokea tu hata pumba!!Dear, umeona wapi CDM wakiwaomba wana-CCM kuhamia , madiwani 20 kahama ,25 Simiyu, Mbunge mara wanachuo , bahati nzuri leo ofisi hazijafunguliwa ungesikia Geita 40, Bagamoyo 43,Dodoma 88 tusubiri kesho mpaka saa saba mchana utalazwa hospital mpenzi
.... acha kulaghai dini zetu, unamtanguliza mtume kwenye huu uchafu ulioandika? hebu tutake radhi .
Kumbe basi tatizo ni jina ccm? Kwa sababu mfumo hautengenezwi na majengo ya ccm, unatengenezwa na wanachama ambao kwa case hii ni wana ccm. Kama watengenezaji na waumini wa mfumo mchafu ndiyo hao wanahamia upinzani na bado tunashangilia eti tunataka kuondoa mfumo ccm basi tatizo lipo. Hatuna budi kile tunachokiamini kionekane kujidhihirisha mbele ya umma. Tuachane na tabia ya komba komba.Sasa hivi Watanzania tunataka mtu atakayeondoa mfumo mbovu wa ccm, awe fisadi au asiwe fisadi maana mfumo huu hata mtu awe na rekodi nzuri akishaingia kwenye ccm si mzuri tena.
Ndiyo maana unaona mtu akiwa ccm ni fisadi tu. Hata Lowasa kama anauwezo wa kuiangusha ccm tunamkaribisha upinzani ilimradi tu huu mfumo utoke kwanza tuanze upya.
Tumechoshwa na utawala wa kinafiki na kizandiki wa ccm na ndiyo maana mtu yeyote anayeweza kuitoa ccm hata kama ni Boko haram au al shababu tutamuunga mkono ilimradi tu huu utawala uende kuzimu.
Mpwa tulia kwanza, Chadema tunataka kura, CCM wao wanaiba sisi tunapewa na wananchi wakiwemo wana CCM, sasa kosa ni nini??
Unashauri wapokelewe kimyakimya?Tumekusikia.
Kumbe basi tatizo ni jina ccm? Kwa sababu mfumo hautengenezwi na majengo ya ccm, unatengenezwa na wanachama ambao kwa case hii ni wana ccm. Kama watengenezaji na waumini wa mfumo mchafu ndiyo hao wanahamia upinzani na bado tunashangilia eti tunataka kuondoa mfumo ccm basi tatizo lipo. Hatuna budi kile tunachokiamini kionekane kujidhihirisha mbele ya umma. Tuachane na tabia ya komba komba.
Kamwe ni ndoto cdm kuingia ikulu. Kwa wabunge watapata. Bado hawana uongozi mathubuti. Mwenyekiti wao amejaa ukanda mno, pia wapo kimaslahi sana na waongo kweli kweli.
Hizi ni rasha rasha, mvua zenyewe bado. Hata hivyo ni muhimu sisi tunaotegemea CHADEMA ituongoze tumng'oe mkoloni mweusi (yaani mabwanyenye ya CCM) tuzingatie mhimili muhimu wa logic usemao "The end justify the means".
Watu wanajiunga na CHADEMA, na sio kwamba CHADEMA inajiunga nao. Wanaacha mabaya ya ccm huko huko huko ccm.
Katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumuMtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.
Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.
Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi
Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.
Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.
Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.
Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.
Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.
Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.
Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??
Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.
CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.
Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.