Kisigino cha Funza
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 151
- 68
Hivi mnajisikia vipi mtu mmemuita jana fisadi, mwizi, jambazi, mnyakuzi na hata mkasema atanyongwa mkishika nchi halafu leo mmesimama majukwaa yale yale mkimshukuru na kumsifu?
Hiyo ndio maana kuu ya UNAFIKI.
Kwa hiyo ulitaka chadema wampambe