CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

Hao ni madiwani wastaafu Na wanajua hawatapata tena kwa sababu hawakutimiza ahadi zao!! Sasa nyinyi kwa kuwa hamna akili timamu mnapokea tu hata pumba!!

Kama ni pumba CCM mnajua wenyewe kuwa ni pumba,CHADEMA tunachojua ni kuongeza kura na matokeo yake hayatakuwa pumba tena bali itakuwa ni ushindi kwa CHADEMA.
 
Ninachoaamini mimi ni kuwa tatizo la ufisadi nchini hautokani na watu moja kwa moja bali mfumo wa chama cha mapinduzi unakufanya kuwa fisadi. hivi sasa watachukua pesa za kampeni. Malipo yake ni kuwa watapewa tenda mbovu toka serikalini ambazo zitafanya ufisadi huo mkubwa na wananchi wataanza kulia. Wangebadilisha mfumo wao ambao ni ngumu kuubadilisha kwani unanufaisha sana mafisadi. Hivyo mtu akihama toka ccm akaenda kwingine hatofanya ufisadi huo kwani hakuna mfumo wa kufanya ufisadi. Nahitimisha kuwa hata huyu Magufuri akiingia madarakani pamoja na kumsifia kote huko bado mtajuta tu kwani mfumo utambadilisha kabisa na hata tenda kama watu wanavyotegemea. hakuna mgombea wa ccm atakaye vunja mwiko wa kupendwa kama Kikwete. Watanzania wengi walikuwa na mataegemeo makubwa kwake lakini kila kitu kimeyeyuka. Leo tunajuta tena. Lakini kwa sababu watanzania wengi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana tumeshahadaiwa na mtu aitwae Magufuri. Atatenda yale yale. Walioko pale magogoni ni wapiga deal wakubwa. Kikwete ataondoka lakini wasaidizi wake wote watabaki pale. Watamfundisha yale yale ya kupiga deal. Vinginevyo abadilishe wote wanaoshinda kule Magogoni. DONT EXPECT ANYTHING NEW FROM MAGUFURI AND CCM AT LARGE.
Usichokielewa ni kwamba mifumo hiyo hiyo hujengwa na watu pia,haikuja tu from nowhere. Aidha watu walio ndani ya hiyo mifumo wanao utashi wa kufanya mambo kwa kuitii hiyo mifumo,kutoitii hiyo mifumo au kuidhohofisha hiyo mifumo ili ikidhi maslahi yao binafsi.
Dini zetu zinasifika kuwa chanzo cha maadili mema ktk jamii kutokana na misingi na misimamo yake ya kiimani iliyojiwekea na ambayo ndiyo imekuwa ndiyo miongozo ya kimatendo ya viongozi wa kiimani,lakini ndani ya humo humo ya dini zetu kuna baadhi ya viongozi wa kiimani wanafanya biashara,ufisadi au mambo mengine yaliyo kinyume na maadili kwa mgongo wa dini zetu hizi?Think about it.
 
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Mi nikusaidie kuhusu swala la Zitto, huyu alifukuzwa au kuvuliwa uanachama lakini hawa madiwani waliohamia cdm kutoka ccm walikuwa fresh. Kwahiyo kuna tofauti kubwa katika ya makada hawa.

Kinachokuumuza ni kuhama kwa madiwani wenu lakini sio ndugu zito, yeye alivuliwa uanachama na akaamriwa na mahakama kuilipa chadema. Lakini kwakuwa umetaja jina tukufu la mtume SAW, waangalie kwa makini chadema maana wanasema TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU. Waheshimu sana watu hawa ndugu
 
Mtoa mada uko sahihi, kwa kusema unafiki na wala ukweli haumo ndani ya midiwani hiyo.
 
hamna aibu na unafiki mwaka huu ndo mtaona ni matunda yake ,mlimtuka lowasa mkamzalilisha mkapa umaharufu kupitia yeye kwenye majukwa mkamvua nguo mchana kweupe mwembeyanga leo hii ndo mumekaa nae na kupanga namana ya ushindi au kumpitisha kuwa mgombea wenu,

dhambi ya unafiki inawatafuna mpaka mjue mungu apendi unafiki.
leo hii msivyo na aibu,lowasa na kundi lake kuja chadema kwenye saccoss ya kanda ametubu makosa yake ,zitto kutoka cdm kwenda ACT ni msaliti na mnafiki,ama kweli nyie ni mavuvuzera wa siasa,
Hahahahahaha!! Kwi kwi Kwi Kwi!! Utaweza kuzuiya mafuriko kwa mikono wewe?? Unaona povu linakutoka! Mvua ndio kwanza inaanza kunyesha hama mapema usije ukasombwa na mafuriko. Mwezi huu wote utaona makundi kwa makundi ya wanaccm wanahamia ukawa. SAA YA UKOMBOZI NI SASA!!
 
Hizo dalili za UNAFIKI wako nazo CCM na sio CHADEMA
1) CCM waliwahidi wananchi mambo kibao lakini hawajatekeleza.
2)CCM waliaminiwa na wananchi ndio maana wakawachagua lakini wao wamewatupa kwaiyo hawakujiaminisha.
3)CCM siku zote wakisema wao ni kusema uwongo tu ukweli kwao ni mwiko!

ulishawai kufika monduli ?
wao ccm iliwaaidi kuwa watampitisha lowas kungomnea urais ndo kilichokuwa kimewabakiza ccm?
kama ccm haikuwapa kile walichokitaka tangu awali kwanini hawakuondoka mapema?
na wanaondoka leo wakisema walitaka lowasa awe rais ndo kilichowaweka ccm?
hiyo yote ni misukule ya makundi ya wasaka tonge lakini unafiki wa chadema ni kuwaponda vingozi wa ccm kuanzia diwani adi rais lakini akitoka ccm wanaanda sherehe kubwa kumpokea ,ni wendawazimu kwa watu wenye akili zake.
 
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Kwanza nikurekebishe, Muhammad (SAW) hajasema chochote katika Quran. Quran si maneno ya Muhammad (SAW)
 
vyama vya siasa ni vyama vya watanzania wote, kila mtu ana haki ya kuamia chama anachataka bila ya kuangali sababu,
 
Hahahahahaha!! Kwi kwi Kwi Kwi!! Utaweza kuzuiya mafuriko kwa mikono wewe?? Unaona povu linakutoka! Mvua ndio kwanza inaanza kunyesha hama mapema usije ukasombwa na mafuriko. Mwezi huu wote utaona makundi kwa makundi ya wanaccm wanahamia ukawa. SAA YA UKOMBOZI NI SASA!!

ukombozi wa SLAA kupeana mkona na LOWASA mwembe yanga au?

mnachekesha ,mafuliko ya wasakato safari njema maana hata wakibaki wanaccm miliioni moja wanatosha wala haitabadili yule ambaye amempanga kuwa rais ,
 
Kama mnasema mnataka kubadili mfumo wa CCM na wakati huo huo mnawapokea watu waliokuwa sehemu ya mfumo huo kandamizi. Mnadhani mna lipi jipya la kuwaambia watanzania?
Mchuzi ule ule kwenye bakuli jipya.

Hata kwa Mungu watenda dhambi wanapokelewa wanapoungama dhambi zao na kuziacha kwa nini kwa CHADEMA iwe nongwa?.
 
Mi nikusaidie kuhusu swala la Zitto, huyu alifukuzwa au kuvuliwa uanachama lakini hawa madiwani waliohamia cdm kutoka ccm walikuwa fresh. Kwahiyo kuna tofauti kubwa katika ya makada hawa.

Kinachokuumuza ni kuhama kwa madiwani wenu lakini sio ndugu zito, yeye alivuliwa uanachama na akaamriwa na mahakama kuilipa chadema. Lakini kwakuwa umetaja jina tukufu la mtume SAW, waangalie kwa makini chadema maana wanasema TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU. Waheshimu sana watu hawa ndugu

mliaza na mungu kwa kumvua nguo lowasa na kumzalilisha mwembe yanga na mkapata umaarufu na mtamalizaia mwembeyanga kwa uonyesha unafiki wenu kwa watanzania wote,

Mi nlijua wanapambana na majizi yote. Kumbe yale wanayoyajua na yenye mkwanja wanayataka?

Tofauti na CCM itakuwa ipi?

Asante kwa kutambua ccm ni majizi,wape kura yako wapinzani then wasipofanya mabadiliko utawaondoa baada ya miaka 5!
Umekuwa ukinyonywa miaka nenda rudi,huchoki?Biashara hiyo kila siku inakutoa machozi,badili upepo huenda si riziki!
 
mliaza na mungu kwa kumvua nguo lowasa na kumzalilisha mwembe yanga na mkapata umaarufu na mtamalizaia mwembeyanga kwa uonyesha unafiki wenu kwa watanzania wote,

Kwani Lowassa aliua kwa makusudi kwamba asisamehewe?
 
Watu wengine ulitaka wabaki ccm chama cha kinafiki oh lowassa fisadi mbona mmeshindwa kumpeleka mahakamani?
 
Mtume Mohammad (SAW) katika Quran takatifu aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

sindano imekuangia sawasawa viva chadema.mwendo ni uleule kubeba wanaccm walipona ugonjwa wa akili kwa hiari yao.anayetubu lazima asamehewe
 
Back
Top Bottom