Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.
CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!
Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.
Mh Polepole hakulivujisha Ili kama sehemu ya Story kutrend kwenye Mitandao ( NADHAN HAMJAMUELEWA POLEPOLE).
MH Polepole kalivujisha hili ,kwanza akumbukwe kwenye Historia kama SHUJAA , Pili Alitangaza Vita Halisi dhidi ya CCM , kwake AMEAMUA Kutanguliza Masilahi ya Nchi mbele badala ya UCCM .
Ni ukweli ulio wazi, Hamna namna nyingine Tena ya Polepole kua Mwanachama wa CCM, Ama wamfute Uanachama wao wenyewe, au wasimfure Uanachama, MOYONI MWA POLEPOLE KWA SASA KUMEJAZWA "UTANZANIA NA SIO UCHAMA"
Kwa MTU mwenye Akili alitegemea Suala hili Zito lichukuliwe Kwa Uzito zaidi na Vyama vya Upinzani Hususani CHADEMA.
Badala yake , CHADEMA mnalichukulia kama sehem ya story mtandaon, mnaliendesha Kimtandao mtandao, JAMBO AMBALO SI SAHIHI.
KAMA CHAMA mlipaswa kuja na PRESS CONFERENCE maalumu Kwa ajili ya kuelezea Kinagaubaga Hoja ya Kuiba Uchaguzi kupitia MFUMO na kupigilia Msumari ni kwanini mnasema NRNE .
Kitendo Cha kulichukulia Kimtandao tandao mnawapa Fursa Wahuni hawa pia Licha ya kua wanajua Polepole kasema Ukweli, Wahuni Hawa nao hawatachukua Kwa u serious wowote nao watapitia humohumo kwenye 'Story za mtandaoni tu'.
Kuita PRESS kungeonyesha kua Mmelichukua Suala hili Kwa Uzito na Kwa upekee sana na kwamba MNATAKA
1-Chama Cha Mapinduzi kijitokeE hadharani kukana Tuhuma hizo na kiwape furusa ya kwenda Kukagua Mifumo hiyo.
2-NIDA wajitokeze hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.
3-INEC wajitokeE hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.
4-Kuendelea kupigia misumali juu ya REFORMS na Pasipo Reforms TUTAZUIA UCHAGUZI .
N.K N.K
Ni ajabu sana Kwa Chama kikubwa kama CHADEMA, kuendelea kuzungumzia Mitandaoni JAMBO AMBALO LINAWAACHA WANANCHI NJIA PANDA na kuchukuliwa kama ni Habari tu za mitandaoni za kizushi na hazina ukweli.
CHADEMA BADILIKENI !!! . SHUKENI CHINI WANANCHI WAELEWE MAANA YA MIFUMO YA NIDA INEC NA CCM KUUNGANISHWA !!.