CHADEMA itashinda kwa kishindo Arumeru - Dr Slaa

CHADEMA itashinda kwa kishindo Arumeru - Dr Slaa

mwe,mwe,mwe usiniambie hii kaitoa yule rais wetu ambaye hakuapishwa.
 
Kauli za. Mtu Kama dr Slaa siyo mpya hapa Tanzania bado hatujasahau elimu bure, saruji 5000 na mabati 5000. Tangu Bunge likutane hakuna mbunge wa Chadema aliewahi kuleta hoja ya namna ya kufikia malengo hayo ya Chadema. Inaonekana ulikuwa uongo wa Slaa kuwahadaa watanzania wamuchague, na kuliwa. Sasa ameanza tena Arumeru ni la chadema . Mwaka jana alishindwa naSumari bila campaign. Kamanda wake feki alianza campain kwenye msiba utadhani alizikwa mnyama pale! Wameru walioshuhudia unyama ule pale akheri wachague ili wapate nini zaidi ya mandamano?
 
Sio kila jimbo unatoa ahadi mkuu!

Ritz, wewe mjanja!
Una uwezo wa kupima mambo, hufanani kabisa na Rejao au FF.
Naamini ukishapima mambo, hapo utaweza kuja na ahadi na sitashangaa.
 
Ushindi wa CDM upowasi Arumeru. Hilo halipingikiki tukubali tu ukweli.
 
Ritz, wewe mjanja!
Una uwezo wa kupima mambo, hufanani kabisa na Rejao au FF.
Naamini ukishapima mambo, hapo utaweza kuja na ahadi na sitashangaa.
He is playing mind games!
Naona mmeingia mkenge, jaribu vizuri kuanalyze statement ya ritz!!
Arumeru ni jimbo ambalo CCM haitatumia nguvu kubwa kulitwaa..we have both human as well as financial resources to retain the constituency.
 
pia kwa ziada asisahau kuwasii wana Arumeru kutobadilishana kati ya pesa na shahada na kujutia hapo baadaye
 
He is playing mind games!
Naona mmeingia mkenge, jaribu vizuri kuanalyze statement ya ritz!!
Arumeru...haitatumia nguvu kubwa kulitwaa..we have both human as well as financial resources to retain. ..

Labda muwe wapoleee na waungwana mnaweza kushinda kwa kura chache, mkileta mabavu na vitisho hata vituo vya kupigia na kuhesabu kura mtavikimbia.
Ritz mbona hakucheza hiyo mind game UZINI? Mbona alitoa ahadi ya kutembea uchi?
Toa ahadi, nitajitolea kuwa wakala wa CDM Arumeru.
 
Leo unasema kwa unyonge sana..tunasubiri ahadi yako tena ya kutembea uchi.

Anajipanga huyo usimwone Kobe kainama, wao ndo wenye dola tuwe nao makini .Jk alipata 35% fanya utafiti.
 
Hakunaga mmeru mwenye njaa ya ki*** hapo piga ua hadanganywi mtu, na sura mbaya kama go** huyo wasira sijui ataenda mtishia nani, jamaa wana usongo nae vby
 
CCM watashinda Arumeru Mashariki kwa kura 500 tu! Kwa maana hiyo kwa tofauti ya 500 ni ndogo sana na hivyo japokua Chadema itakua imeshindwa lakini itaonekana imeshinda kwani tofauti itakua dogo sana! Kama Igunga CCM ilishinda lakinda kwa kura 3000 lakini Chadema ndio ilishinda kwani kura 3000 ni kidogo sana!
 
Kwenye mazishi ya Jeremiah, ccm waliahidi kutekeleza ahadi zote alizoahidi marehemu kwenye kampeni zake. Usishangae ukiona magreda yanachonga barabara, shule zinajengwa, zahanati zinakarabatiwa, visima vya maji vinachimbwa kuanzia mwezi huu wa February 2012.
 
Niseme hivi, kama kuna mti kakwamba kumalizia ka-kibanda kake pengine mabati yamepungua au hela ya koleo imekuwa tabu basi apige kambi Arumeru Mashariki mapema! Zitamwagwa hela za kufa mtu pale.

Na ningependa sana kuamini Dr Slaa anajua sakarasi zinatakavyochezwa. Kama 2010 Sumari alishinda bila ya kufanya campaign yeye binafsi leo hii mwanae itakuwaje? Hii ngoma bana itakuwa ngumu sana na ukiingiza vile vita vya kimeru ndio kabisa.

Mkuu wangu FJM unazungumza maneno ya ukweli ingawa naona vijana hawajaelewa maneno yako. Arumeru Mashariki kuna pesa nyingi zitamwagika huko ambazo zitawatia upofu hata makamanda wa mstari wa mbele wa CDM! Mpaka sasa nakiona kiti hiki cha ubunge kitabakia mikononi mwa CCM.
 
Tuonesheni jimbo moja la chadema lililofanya maendeleo zaidi ya Kigoma.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amewahakikishia wapenzi na wanachama wa CHADEMA kwamba chama hicho kitashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki utakaofanyika hivi karibuni.Dr Slaa amesema chama chake kina nguvu kubwa jimboni humo na katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 chama chake kilifungua matawi 69 yaliyo hai mpaka leo katika kila kona ya jimbo hilo.
Dr Slaa amesema CHADEMA ilijifunza mengi katika jimbo la Igunga na kutahadharisha vitendo vya ugawaji rushwa kurubuni wapiga kura kamwe havitavumiliwa Arumeru.Pia alisema chama chake kimejipanga kutoa elimu kubwa ya uraia kwa wananchi wa Arumeru mashariki kupitia kampeni mara zitakapozinduliwa.Dr Slaa ameahidi kampeni safi na za kistaarabu.

SOURCE:MTANZANIA

CCM meshafikia kufa, na katika kanda ya Kaskazini ndiyo inaelekea kuwa bye-bye hata katika yale majibo yaliyokuwa ya kijani par-see! Na sasa wimbi linasogea kwa kasi.
Hao mawaziri watano wa JK walio ktk hali mbaya kiafya, Majimbo yao ni 'Wabunge Wapya' wa CDM...! Aminia! Hivyo tunawaomba Mafisadi wazidishe kasi ya kuwanywesha wabaya wao 'uranium', 'pollonium' na nyinginezo walizo nazo kama walivyomfanyia Mh. Mwakyembe, maana Mungu anatuliza kilio cha watu wake kwa jinsi yake mwenyewe! Kote huko wanakodondoka wabunge wa CCM ni majimbo mapya ya CDM! Tunawaomba wanywesahane sumu kila mwezi, si wanaweza! Ila watambue, "Ole wao Wachimbao shimo, maana watatumbukia wao" -- Zab
7:15-16
 
we need changes for real,, life is hard now adays , enjoyment is low kabisaaa ,,ccm waachie wengine waoneshe uwezo wakishindwa waje na wao kwa moto mwingine mpya,: A S-coffee:
 
Na ndipo utata unapoanzia, ushindi wakati uchaguzi bado matokeo yanapokuja ndivyo sivyo ndipo watu wanaposimamia vidole gumba.
 
Back
Top Bottom