CHADEMA itashinda kwa kishindo Arumeru - Dr Slaa

The same word, the same statement in IGUNGA,UZINI,.........................................
 
Hata Uzini Slaa alisema CDM itashinda kwa kishindo!!!
Labda nako CCM walichakachua matokeo!!

Tatizo ni kwamba hakuna matokeo ambayo CCM na NEC ya hawachakachui. Wakishinda, wanachakachua ili waonekane wameshinda kwa kidindo. Wakishindwa wanachakua ili washinde. Wakishindwa kuchakachua kule walikoshindwa ili kubadili matokeo basi wanachakachua ili wasionekane wameshindwa vibaya!!
 
Dr ilo liko wazi,hata c.c.m wanajua kua kule wao wanaenda kua washiriki tu!arusha sio uzini!viva cdm
 
Tunaomba uweke link inayo husianana na na hiyo kauli ya dr slaa kuhusu uzini!otherwise utakua mzushi tu
 
Dr ilo liko wazi,hata c.c.m wanajua kua kule wao wanaenda kua washiriki tu!arusha sio uzini!viva cdm

Wanafanya uchaguzi huku CDM wakikumbuka mwaka mmoja tangu yafanywe mauaji ya wanachama wake watatu katika ardhi ya mkoa wao
 
Tatizo ni kwamba hakuna matokeo ambayo CCM na NEC ya hawachakachui. Wakishinda, wanachakachua ili waonekane wameshinda kwa kidindo. Wakishindwa wanachakua ili washinde. Wakishindwa kuchakachua kule walikoshindwa ili kubadili matokeo basi wanachakachua ili wasionekane wameshindwa vibaya!!

yaahi hapa Rejao umempiga nyundo ya Kichwa huko aliko anona Chenga tu
 
Sisi yetu macho lakini Slaa, asijiaminishe sana na ushindi Arumeru.

Ni kweli amesahau kwamba jukumu la kutangaza matokeo siyo lake ni la Tume ya Taifa ya uchaguzi, ambayo inaweza kabisa ikafuata taratibu zilizotumika kumtangaza Kikwete kama ndiye rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Tatizo ni kwamba hakuna matokeo ambayo CCM na NEC ya hawachakachui. Wakishinda, wanachakachua ili waonekane wameshinda kwa kidindo. Wakishindwa wanachakua ili washinde. Wakishindwa kuchakachua kule walikoshindwa ili kubadili matokeo basi wanachakachua ili wasionekane wameshindwa vibaya!!
Duh! Hii kali.
Bakini na hiyo dhana...sisi tunaendelea kupeta tu
 
Sisi yetu macho lakini Slaa, asijiaminishe sana na ushindi Arumeru.
Dr Slaa wafanye kila njia ya kujua hizo njama za rushwa na kuiba kura haitoshi kabisa kutuambia watashinda kwa kishindo
 
Back
Top Bottom