Umesoma shule gani wewe?
Ulipata division ngapi o-level?
Vmimi napata wakati mgumu unapomuuliza mwenzako" kiingeleza alifaulu" badala ya kusema kiingereza, sasa na wewe kiswahili ulifaulu?
Umesoma shule gani wewe?
Ulipata division ngapi o-level?
Vmimi napata wakati mgumu unapomuuliza mwenzako" kiingeleza alifaulu" badala ya kusema kiingereza, sasa na wewe kiswahili ulifaulu?
Niseme hivi, kama kuna mti kakwamba kumalizia ka-kibanda kake pengine mabati yamepungua au hela ya koleo imekuwa tabu basi apige kambi Arumeru Mashariki mapema! Zitamwagwa hela za kufa mtu pale.
Na ningependa sana kuamini Dr Slaa anajua sakarasi zinatakavyochezwa. Kama 2010 Sumari alishinda bila ya kufanya campaign yeye binafsi leo hii mwanae itakuwaje? Hii ngoma bana itakuwa ngumu sana na ukiingiza vile vita vya kimeru ndio kabisa.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amewahakikishia wapenzi na wanachama wa CHADEMA kwamba chama hicho kitashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki utakaofanyika hivi karibuni.Dr Slaa amesema chama chake kina nguvu kubwa jimboni humo na katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 chama chake kilifungua matawi 69 yaliyo hai mpaka leo katika kila kona ya jimbo hilo.
Dr Slaa amesema CHADEMA ilijifunza mengi katika jimbo la Igunga na kutahadharisha vitendo vya ugawaji rushwa kurubuni wapiga kura kamwe havitavumiliwa Arumeru.Pia alisema chama chake kimejipanga kutoa elimu kubwa ya uraia kwa wananchi wa Arumeru mashariki kupitia kampeni mara zitakapozinduliwa.Dr Slaa ameahidi kampeni safi na za kistaarabu.
SOURCE:MTANZANIA
Hata Uzini Slaa alisema CDM itashinda kwa kishindo!!!
Labda nako CCM walichakachua matokeo!!
Tunasubiri ahadi kama ile ya Uzini.Sisi yetu macho lakini Slaa, asijiaminishe sana na ushindi Arumeru.
Arumeru si kwa mamwinyi.Alisema maneno hayo hayo uzini.
Lakin matokeo ndio jibu la yote.
Kauli za. Mtu Kama dr Slaa siyo mpya hapa Tanzania bado hatujasahau elimu bure, saruji 5000 na mabati 5000. Tangu Bunge likutane hakuna mbunge wa Chadema aliewahi kuleta hoja ya namna ya kufikia malengo hayo ya Chadema. Inaonekana ulikuwa uongo wa Slaa kuwahadaa watanzania wamuchague, na kuliwa. Sasa ameanza tena Arumeru ni la chadema . Mwaka jana alishindwa naSumari bila campaign. Kamanda wake feki alianza campain kwenye msiba utadhani alizikwa mnyama pale! Wameru walioshuhudia unyama ule pale akheri wachague ili wapate nini zaidi ya mandamano?
Alisema maneno hayo hayo uzini.
Lakin matokeo ndio jibu la yote.
Ushindi kwa CHADEMA jimboni Arumeru unakaribia kwa sasa kweli kweli.