Chadema Iringa Mei 19, 2011: Picha na Matukio

daaa muda mwingine najiuliza hawa magamba wanapata wa ujasiri wakuendelea kututawala?cheki sura za upendo na furaha ya kweli toka kwa watoto hawa kwenda kwa raisi wao dr slaa.Mungu tujaze ujasiri tukutane tahirir square yetu kuiondoa serikali ya kidhalimu ya chama cha magamba,2015 chini ya hawa watu chamoto tutakiona tusipowapiga counter attack kabla ya muda kufika.Mungu ibariki tanzania,nguvu ya umma ishike hatamu...tufaidi rasilimali zetu.
 
daaa muda mwingine najiuliza hawa magamba wanapata wa ujasiri wakuendelea kututawala?cheki sura za upendo na furaha ya kweli toka kwa watoto hawa kwenda kwa raisi wao dr slaa.Mungu tujaze ujasiri tukutane tahirir square yetu kuiondoa serikali ya kidhalimu ya chama cha magamba,2015 chini ya hawa watu chamoto tutakiona tusipowapiga counter attack kabla ya muda kufika.Mungu ibariki tanzania,nguvu ya umma ishike hatamu...tufaidi rasilimali zetu.

Ondoe gamba la udini na ukabila kwanza mtaeleweka na hiyo itakuwa 2045 mlivyo wabishi
 
CCM kazi wanayo. Moto huu uendelee mpaka kieleweke. uwake kuanzia mijini hadi vijijini kote!!!!!!!
Tumekaribia kufika.....haja imebana karibu kutoka.
 
ningekuwa ikulu ningemwita dr. tutete kidogo siri ya mafanikio.

aliyeko ikulu anajifanya mjuaji unadhani anafikiria kitu kama hicho?
naamini miaka mitano JK hamalizi ataondoka mwenyewe
 
aliyeko ikulu anajifanya mjuaji unadhani anafikiria kitu kama hicho?
naamini miaka mitano JK hamalizi ataondoka mwenyewe

CCM wabishi mkuu hawawezi kuondoka hata tukiwazomea, cha msingi ni kuwalazimisha wafanye wasiyotaka kama kurahisha gharama za maisha kwa kupunguza mfumko wa bei.
 
Peoplesssssss Powerrrrr,Hakunaaaaaaa Kulalaaaaaa Mpakaaaa Kielewekeeeee. Slaa anaweza anaweza hieieeee anawezaaa sanaa
 
Ukiona Kikwete kapiga picha na watoto ujue anagawapipi sasa kwa Dr nimeangalia kwa umakini sioni akikawa pipi......safi sana

Asije akaiona hii post kuwa ili watoto wamshangilie ni lazima awagawie pipi ina maana hata mvuto hana
 
Iringa leo kumekucha ni makombati, skafu za chadema, ni mwamko wa hali ya juu maandamano yanatoka sehemu tatu ipogoro, kihesa na mkwawa, watu ni wengi sana hapa kihesa wakisubiri kuanza kwa maandamano, hamasa ni kubwa huku FFU wakiranda randa,

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhongwa wilayani Makete mkoani Iringa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya ziara za chama hicho juzi.:A S-rose:

HII NIMEIPENDA SANA, INAELEKEA MPAKA WATOTO WANAWAONEA HURUMA WAZAZI WAO KWA MAISHA MAGUMU NA WAO WAMECHOKA KUSOMA SIASA ZA UONGO.:smow:

1. Je hawa watoto wanaweka kumbukumbu gani kwa Dr Slaa?
2. Je ni haki gani wanaona ya kuwa hawatendewi mpaka wamng'ang'anie hivi?
3. Watoto wanaposikia historia ya Tanzania na hali iliyopo sasa wanapata kiwewe gani?
4. CCM inatarajia matokeo gani kwa hawa watoto wapendwa wanaohitaji malezi mazuri ili waweze kuwa na nguvu ya kuendeleza mazuri watakayorithi kutoka kwa viongozi waliopo, badala ya wizi, rushwa, uongo, tamaa nk.

Nimefurahishwa sanaaaana na hiki kitendo cha hawa watoto kuonyesha hisia zao za mabadiliko. Kwa kweli Chama cha chadema kimegusa mambo mengi sana katika roho za watu.
Hata tuliokuwa wavivu kujisomea tunashukuru mungu tumeamka. Sasa angalia mwamko wa watoto wetu wapendwa na wao wanapenda kufuatilia kuona, kusikia na kutaka kujua hali ya nchi yao. Na sio kwamba hawaoni hali ilivyo wanaona lakini hutuwezi kujua kilichoko rohoni mwao.

Kutokana na umasikini wetu unaosababishwa na watu wachache malengo ya watoto wetu yanashindwa kutimia kwa sababu ya tamaa ya kutaka kuwa tajiri haraka kutokana na kila mmoja anajiuliza kwa nini katika familia yetu ni masikini na wale ni matajiri. Na hii inasababishwa na mfumo wa nchi yetu kuendeshwa bila sheria kwa kuogopana kuumbuana.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
 
Ni karibu sana na ulipo ushindi......
Ole wa yule atakaye iharibu hali hii.....
Hakika hasira ya Bwana itakuwa juu yake milele​
 
Ukiona Kikwete kapiga picha na watoto ujue anagawapipi sasa kwa Dr nimeangalia kwa umakini sioni akikawa pipi......safi sana

CHADEMA hawana uchungu na wananchi kwa sababu;-
1. Kipindi cha kilimo wameenda Nyanda za Juu Kusini na kutibua harakati za wananchi kujitafutia ridhiki kupitia mashambani.

2. Kuwafanya watoto washindwe kwenda shule na kufuata gari lao la matangazo. Hapa Dr. Slaa anatoonyesha mfano mbaya kwa kuwapotezea taifa la kesho muda wao wa kwenda shule na kupata elimu.

3. Viongozi wa CDM hawana utashi wa kulipa kodi ingawa ni hodari wa kula mapesa ya wananchi kupitia ruzuku.

HAWA CDM waogopwe kama kipindupindu!!!!!
 
Back
Top Bottom