Chadema Iringa Mei 19, 2011: Picha na Matukio

CHADEMA hawana uchungu na wananchi kwa sababu;-
1. Kipindi cha kilimo wameenda Nyanda za Juu Kusini na kutibua harakati za wananchi kujitafutia ridhiki kupitia mashambani.

2. Kuwafanya watoto washindwe kwenda shule na kufuata gari lao la matangazo. Hapa Dr. Slaa anatoonyesha mfano mbaya kwa kuwapotezea taifa la kesho muda wao wa kwenda shule na kupata elimu.

3. Viongozi wa CDM hawana utashi wa kulipa kodi ingawa ni hodari wa kula mapesa ya wananchi kupitia ruzuku.

HAWA CDM waogopwe kama kipindupindu!!!!!

Tafakari kabla hujaandika!
 
Aisee nimependa jinsi watz walivyoamka ktk kudai haki zao tena za msingi, nadhani chama tawala kinaona haya, hivyo vyema kuyafanyia kazi na kama wanajifanya wao ndio ngangali basi nguvu ya umma haina risasi ya kuweza kupenya. Nimeona Bango linasema Msigwa (Mbunge Iringa Mjini) hapewi ushirikiano na serikali pale Iringa kweli? Kama ndivyo tunakokwenda si kuzuri. Lakini waswahili wanamsemo usemao "usimwamshe aliyelala" wacha walale na porojo za semina elekezi then Slaa anawatafuna mdogomdogo. Yangu macho, Mungu ibariki Tanganyika!




Iringa leo kumekucha ni makombati, skafu za chadema, ni mwamko wa hali ya juu maandamano yanatoka sehemu tatu ipogoro, kihesa na mkwawa, watu ni wengi sana hapa kihesa wakisubiri kuanza kwa maandamano, hamasa ni kubwa huku FFU wakiranda randa,

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhongwa wilayani Makete mkoani Iringa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya ziara za chama hicho juzi.:A S-rose:

HII NIMEIPENDA SANA, INAELEKEA MPAKA WATOTO WANAWAONEA HURUMA WAZAZI WAO KWA MAISHA MAGUMU NA WAO WAMECHOKA KUSOMA SIASA ZA UONGO.:smow:

1. Je hawa watoto wanaweka kumbukumbu gani kwa Dr Slaa?
2. Je ni haki gani wanaona ya kuwa hawatendewi mpaka wamng'anganie hivi?
3. Watoto wanaposikia historia ya Tanzania na hali iliyopo sasa wanatata kiwewe gani?
4. CCM inatarajia matokeo gani kwa hawa watoto wapendwa wanaohitaji malezi mazuri ili waweze kuwa na nguvu ya kuendeleza mazuri watakayorithi kutoka kwa viongozi waliopo, badala ya wizi, rushwa, uongo, tamaa nk.

IMG_8142.JPG


IMG_8102.JPG


IMG_8154.JPG


IMG_8161.JPG


IMG_8013.JPG


Kwa hisani ya francisgodwin.blogspot.com

IMG_8005.JPG


IMG_8145.JPG


IMG_8008.JPG


intelligensia ya mwema

IMG_8001.JPG


hapa ni kazi tu


IMG_8110.JPG


2015 wote hawa watapiga kura

IMG_8189.JPG


wazee hawa ni kamati ya shule ya mwembetogwa walikuwa wamtumwa na ccm ili kuzuioa chadema kutumia uwanja wa shule hiyo kwa shughuli ya leo


IMG_8179.JPG


IMG_8207.JPG


IMG_8209.JPG


IMG_8229.JPG


IMG_8233.JPG
 
halafu wewe nahisi ulikuwa huendi parade hahahhaaha....unashinda half mile jioni huyoooo msiwasi
AYaaaaaaa kumbe vijana wapori mpoooo!
MMENIKUMBUSHA HALF MILE NINAHAMU YA KWENDA TOI!
NA HAPO NI BAADA YA KULA MABANZI DUUU!
 
Back
Top Bottom