Chadema Iringa Mei 19, 2011: Picha na Matukio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Iringa Mei 19, 2011: Picha na Matukio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson, May 19, 2011.

 1. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Iringa leo kumekucha ni makombati, skafu za chadema, ni mwamko wa hali ya juu maandamano yanatoka sehemu tatu ipogoro, kihesa na mkwawa, watu ni wengi sana hapa kihesa wakisubiri kuanza kwa maandamano, hamasa ni kubwa huku FFU wakiranda randa,

  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhongwa wilayani Makete mkoani Iringa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya ziara za chama hicho juzi.:A S-rose:

  HII NIMEIPENDA SANA, INAELEKEA MPAKA WATOTO WANAWAONEA HURUMA WAZAZI WAO KWA MAISHA MAGUMU NA WAO WAMECHOKA KUSOMA SIASA ZA UONGO.:smow:

  1. Je hawa watoto wanaweka kumbukumbu gani kwa Dr Slaa?
  2. Je ni haki gani wanaona ya kuwa hawatendewi mpaka wamng'anganie hivi?
  3. Watoto wanaposikia historia ya Tanzania na hali iliyopo sasa wanatata kiwewe gani?
  4. CCM inatarajia matokeo gani kwa hawa watoto wapendwa wanaohitaji malezi mazuri ili waweze kuwa na nguvu ya kuendeleza mazuri watakayorithi kutoka kwa viongozi waliopo, badala ya wizi, rushwa, uongo, tamaa nk.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Kwa hisani ya francisgodwin.blogspot.com

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  intelligensia ya mwema

  [​IMG]

  hapa ni kazi tu


  [​IMG]

  2015 wote hawa watapiga kura

  [​IMG]

  wazee hawa ni kamati ya shule ya mwembetogwa walikuwa wamtumwa na ccm ili kuzuioa chadema kutumia uwanja wa shule hiyo kwa shughuli ya leo


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kudadadeki, pata uwezo zaidi
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Amia airtel wewe ndugu jamaaa na marafiki.
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa taarifa. Tunasubiri live coverage.
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  ffu wenyewe washaona maji mengi unga kidogo -- ha ha ha
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  picha za mwanzo plz........
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nimeipenda sana hii picha.

  CCM wanawalazimisha walimu wahudhurie mikutano yao
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  hapo watasema watoto hao wote ni wa kanisa katoliki na makete ndyo jimbo kuu. - :biggrin1:

  hata baba yako akiwa msanii, anakuahidi vitu vingi vya msingi lakini hatekelezi hata kimoja basi kuna siku unamtosa na kutafuta baba mwingine mlezi.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Picha kwa hisani ya IPP Media
   
 10. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  kazi ni kwako
   
 11. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani hivi rais wetu Slaa asingechakachuliwa angeshatufanyia mengi, dah mpaka watoto wanajua ukweli tena hawajalazimishwa kama CCM wanavyofanya! Iringa nataraji hamtatuangusha washa moto zaidi na zaidi!
   
 12. m

  mkulimamwema Senior Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kAZI INAENDELEA MPAKA CCM WAONDOKE,JF KAZI INAELEKEA KUISHA TUKAZE UZI
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Iringa ngome mhm kuiteka, mh. Mchungaji Peter Msigwa kafanya kazi kubwa sana kuliteka hilo jimbo!
   
 14. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo huyu bwana anakubaliwa sana hata na watoto.
  Tuache ushabiki wa kisiasa kama mtoto wako haipendi CHADEMA mkimbize Hospitali.
   
 15. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Halmashauri kuu ya CCM ndio iliyomfanyia kazi kubwa Mch Msigwa kwa kulikata jina la mshindi wa kura za maoni za CCM Mwakalebela na kumrudisha Mbunge wa zamani Monica Mbega, kikubwa alichokifanya Mch Msigwa baada ya hapo ni kutoharibu tu.
   
 16. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pipoz pawa.
  Wanajf, tuanze kuchanga pesa za kuwafirisha watu kuja TAHLIL YA BONGO. Itafahamika tu!
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  watoto ndio taifa la kesho.. hawa ndio wanye nchi
  ngoja wanoko wafe wote tuiongoze nchi yetu
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dr Slaa is sent from heaven!
   
 19. V

  Vonix JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Doctor wa ukweli,komaa nao hadi kieleweke hapa haja ndogo zitawabana.
   
 20. F

  FUSO JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  ningekuwa ikulu ningemwita dr. tutete kidogo siri ya mafanikio.
   
Loading...