Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,214
- 3,587
Dhamira ya CHADEMA Kususia Uchaguzi wa 2024 - 2025 ikiwa Katiba mpya, Tume mpya ya Uchaguzi na Maridhiano havitapatikana je:
1. Ni sahihi hii?
2. Hainyimi haki wanachama wake kushiriki chaguzi?
3. Wabunge 20 wake walioko Bungeni watakuwa wageni wa nani?
4. Chama kitachoshinda kitaongozaje shughuli za Bunge bila wapinzani?
5. Mbowe ataweza kushikilia msimamo huu hata mbele ya mabilioni ya ela ya kumshawishi abadili msimamo?
6. Namba 5 ikifanikiwa taswira ya Mbowe itakuwaje? Au itaonekana kama mbinu ya kutega uchumi?
7. Nini itakuwa hatma ya demokrasia ya JMT hususan SMT?
8. Wafadhili wataendelea kuivumilia JMT?
9. Vyama vingine vya upinzani vitaunga mkono uamuzi wa CHADEMA?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app