ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Ladies and Gents.
Friends and our Enemies.
Jana katika pita pita yangu nimekutana na tamko ya Kiongoz wa chama cha chadema Freeman Mbowe akisema ya kwamba eti hawaitaki chama kingine cha upinzan ACT isijiunge na umoja huo.
Thats very very ridiculous.
Mbowe usijione kwamba kama vile ulivyokuwa wewe na mtei kuwa na hati miliki ndan ya hiko chama basi nguvu hiyo inaweza pitiliza mipaka na kuwapa kiburi cha kuhodhi mamlaka ya upinzan ndan ya nchi hii.
Ni haki ys kila mtanzania aliefuata sheria kuanzisha chama cha siasa na kushiriki kwenye siasa ili mradi tuh havunji sheria za nchi hii.
Na nyinyi kama chadema hamna hati miliki ya siasa za upinzan ndan ya nchi hii.
Na hamuwezi kukaa na kuja kuwapangia watu chama gani cha upinzani cha kujiunga nacho.
Nyinyi ni nan ndan ya ukawa hadi muwe na authority na kusemea umoja huo??
Prof Lipumba alipofika mtwara alikuja na zitto kabwe katika mikutano yake ya hadhara kipindi ambacho nyinyi mlikua mshamfukuza ndan ya hiyo saccoss yenu na wananchi walimpokea vizur na kumpa ushirikiano.
,
Iweje nyinyi leo mje mseme kwamba hamtaki ushirikiano na chama hiko?nyinyi kama nani hasa.
Huna hoja mbowe...hamna hoja chadema.
Siri ambazo zito kabwe kavujisha kwa ccm ziko wapi mbona mnaongea kama bata??
Chama chenu bila kuwa ndan ya mwamvuli wa ukawa hivi sasa kingekuwa kishasahaulika.
Tunaomba siasa zenu za kibaguz za udini ukanda na ukabila msiziingize ndan ya UKAWA.
VIONGOZI WA UKAWA MUWE MAKINI NA CHADEMA WASIJE KUUGEUZA UMOJA HUO KAMA WALIVYOKIGEUZA CHAMA CHAO CHA KASKAZIN CHA KIDINI NA KIKABILA.
SHUKRAN...
kwani ccm mna ng'ang'ania ukawa muwapangie wa kuungana nao ACT-MIGEBUKA NI tawi la ccm kama matawi mengine udp na tlp na kina dovutwa na peter mziray