CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

They only catches! Ha ha ha! Ongea lugha ya bibi yako utaeleweka vizuri kuliko kuvamia lugha za akina Prince George.
You do grasp things from the wind,wind stands there as a synonym of a proverb........shenz type.......
 
HIVI YULE KATIBU WENU WEKA MBALI NA MENO YA TEMBO BADO YUPO??? KADA,, JANGILIII
Na yule katibu muhamasishaji wa mgomo wa madaktari kwa ajili ya political gain yupo?
 
comredi Tupa tupa, siasa ukiichunguza sana utagundua wanasiasa wazuri wanapigwa vita sana na wanasiasa uchwara Ambao hawana vision.

CCM walimkataa Lowassa kiongozi Ambaye ana Vision kwa sababutu wa unafiki, umbea, na majungu yaliyo kithiri ndani ya chama cha mapinduzi.

Magufuli ni Kiongozi Mzuri Sana, lakini Lowassa Alikuwa Anahitajika sana maana huyu ni kiongozi mwenye Malengo Au Vision, CCM ingemweka Hata Lowassa kuwa Rais alafu Magufuli Akawa waziri Mkuu Taifa lingeenda Mbali sana.

Lakini kutokana na Fitina Majungu, yaliyopo ndani ya chama cha mapinduzi kuwadhoofisha wanasiasa wazuri ambao kwa namna moja au nyingine wangelisaidia sana taifa hili kutoka kwenye umaskini ulio kithiri.

Tumwombee Mungu Mh Magufuli Afanye kama Mungu Apendavyo, sote ni watanzania bila kujali itikadi ya vyama vyetu, kwani maendeleo hayana chama yanatugusa wote.
Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa Lowassa alikimbia mwenyewe..hakufukuzwa
 
bado nasisitiza kuwa Chadema impigie magoti sllaa
 
Hivi akifa huyo Dr Slaa vipi kwani huyo ndiye mtu pekee CHADEMA anaweza kuwa katibu mkuu jaribu kujishughulisha na mawazo yako.

662555669cbfaf3f651e5fd3685995cf.jpg
93cb74d395d63f004a5ca1fc9715252a.jpg

Hawawezi kukuelewa hawa jamaa ni wagumu sana maana wanaishi angani na kubadilishia gear angani huko huko,
Laana ya damu za wanachadema wa kweli zitawaamdama daima hawa
ebu angalia huyu mama Slaa alivyomwaga damu yake kukipigania chama chenu,halafu mwenyekiti asiyepingwa akabadilisha gia angani tena kwa maneno ya kejeli,what do you expect
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
SLAA HANA TIME NAO ALISHAWATOSA.......ANAENDELEA NA LIFE KAMA KAWA...........
 
Dk Slaa anakula pensheni nchi za watu aliyoipata baada ya kuitimikia siasa kwa finishing ya style yake!!!
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.

Wanataka Slaa arudi ili awavuruge zaidi. Msiwasikilize hawa wauza sumu. Amin amin nawaambia, hawawatakieni mema.
 
662555669cbfaf3f651e5fd3685995cf.jpg
93cb74d395d63f004a5ca1fc9715252a.jpg

Hawawezi kukuelewa hawa jamaa ni wagumu sana maana wanaishi angani na kubadilishia gear angani huko huko,
Laana ya damu za wanachadema wa kweli zitawaamdama daima hawa
ebu angalia huyu mama Slaa alivyomwaga damu yake kukipigania chama chenu,halafu mwenyekiti asiyepingwa akabadilisha gia angani tena kwa maneno ya kejeli,what do you expect

Zikiisha watarudi ki Sengerema style. Si ajabu hata hili wazo la kumpigia magati ikawa ni hatua moja wapo wa hii style.
 
Dhambi waliyoitenda CDM ya kumtangaza EL kwa mbwembwe za kila aina kuwa ni FISADI, halafu baadaye kidogo wanamwabudu kama ndiyo Mungu wao ni lazima iwatafune siku hadi siku.
Dhambi nyingine ya kuwatetea majizi siku hadi siku ni lazima iwamalize kabisa.
 
Kitu ambacho Chadema wamefanikiwa sana ni kuwaaminisha washabiki wao na wajinga wengine kuwa Dr Slaa amehongwa na si wao kuuza Chama ....Dr Slaa aliwahi kuwauliza ...ziara zake za kisiasa Marekani na kwingine walikuwa wanajua fedha ilikuwa inatoka wapi? Waliwahi kuhoji? ....Namna hii ya siasa na uelewa ndio maana nakataa wanaosema tatizo ni CCM ....tatizo ni sisi wenyewe .....CCM si dubwasha ...ni watu ...wengine wamekuwa wakuu wa serikali for years na sasa ndio wanaimba wimbo wa kutukomboa wakiwa Chadema!!! ....ONLY IN TANZANIA ....
 
S

Sijui Mbowe kawapa Nini CDM yaani wanauamini uwongo wake kuliko ukweli wa Dr Slaa!
 
Tanzania haihataji mtu Bali mfumo. One man show ndio zinatuponza mpaka watu wanajiona mungu watu. Cdm if not capable let it die same to ccm
 
SLAA HANA TIME NAO ALISHAWATOSA.......ANAENDELEA NA LIFE KAMA KAWA...........
Slaa ni mshamba wa k anashawishiwa na lile gubeli anasusa .. Kwanza sio presidential material basi tu tulikuwa hatuna option
 
Back
Top Bottom