CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

Slaa amepitwa na wakati, haifai Chadema ni "Liability and Political Opportunist". Akae tu huko ccm. He is hopeless as a leader.
 
Huyo aliyeenda kuungana na wauaji akae huko huko ameshaonja damu za watu, hivyo ananuka damu za watu abaki huko huko aliko
 
na lowassa?

basi mbembeleze lowassa
Magufuli yuko na backet lake la jiki, dodoki, sabuni, tambala, maji n.k akimsafisha Lowassa na uchafu wake aliotuambia Magufuli kuwa alimkimbia ccm sababu ya uchafu wake
 
na lowassa?

basi mbembeleze lowassa
Chadema imerudishwa nyuma sana na hawa "Political Mercenaries" toka ccm na sasa ni muda wa kuachana nao once and for all.

Chadema should recruit the dedicated and devoted young Tanzanians who are ready to defend the party rather than retrieving the power thirsty elements from the moribund ccm.
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Vitu vingine usiombee vitokee! Mbaya kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom