mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,572
Kama umeshukuru Rais kuua upinzani kuna haja gani ya kutoa tena ushauri kwa vyama hivyo visife!!!Siku zote anaeshauri hapati hasara, ila mshauriwa anayo haki ya kuchukua au kukataa ushauri.
Kama umeshukuru Rais kuua upinzani kuna haja gani ya kutoa tena ushauri kwa vyama hivyo visife!!!Siku zote anaeshauri hapati hasara, ila mshauriwa anayo haki ya kuchukua au kukataa ushauri.
juzi tu keshapayuka, au anaposema ana kazi ya kuuondoa upayukaji, mi sijamuelewa unaweza kunielewesha mkuu, hivi LAWRENCE MASHA YUKO WAPI?" Nina kazi ya kuondoa upayukaji CDM"-Dr Mashinji
Kumbe hata hujasoma nimeandika nini, au we ni kipofu? rudia tena kusoma utaelewa tu.Kwani wewe ndiye mshauri wa Dr. Slaa? Kwa nn usimshauri ajiunge na chama kingine?
Move gani ya ovyo tu... sasa kutoka ndio inasaidia nini wakati huna sababu ya maana ya kutoka. waulizeni cuf, wamegoma uchaguzi lakini umefanyika cuf sasa nje hawana hata pa kusemea. huyo mashilingi katibu gani eti move yake ya maana anadai mwenyewe eti ni kuanzisha slogan ya 'lowassa mageuzi' huku wanapiga pedal mikono... viatu vya dr. slaa kapwaya sana sijui hiyo Phd kama ni zile za kuandikiwa thesis labda. chakufanya mbowe amwachie chama mwenyewe aliyekijenga dr. slaa aje arekebishe mambo.Move ya KUB ni Kisu kilichogonga kwenye mfupa wanaccm mmeanza kupiga mayowe sasa.
Kama umeshukuru Rais kuua upinzani kuna haja gani ya kutoa tena ushauri kwa vyama hivyo visife!!!
Mwanamkakati mkuu wa bosi mkuu pale mikocheni.juzi tu keshapayuka, au anaposema ana kazi ya kuuondoa upayukaji, mi sijamuelewa unaweza kunielewesha mkuu, hivi LAWRENCE MASHA YUKO WAPI?
UPinzani wa ovyo ndio hautakiwi, wa kuwapa vijana viroba na kupiga mayowe, tengenezeni think takers .na unataka kujua nimesimamia wapi ili iweje, kazi ya falsafa mara nyingine ni kumwacha msomaji mjinga kama wewe njia panda.Kama umeshukuru Rais kuua upinzani kuna haja gani ya kutoa tena ushauri kwa vyama hivyo visife!!!
Asante kaka naona siku hizi amekua, Mungu amsaidie aendelee kukua, sio kila kitu unavyokitazma ndivyo kilivyo.Mwanamkakati mkuu wa bosi mkuu pale mikocheni.
Ume panicUPinzani wa ovyo ndio hautakiwi, wa kuwapa vijana viroba na kupiga mayowe, tengenezeni think takers .na unataka kujua nimesimamia wapi ili iweje, kazi ya falsafa mara nyingine ni kumwacha msomaji mjinga kama wewe njia panda.
Huwezi kuelewa ..................Ume panic
Huna lolote we mchumia tumbo, na huo ushaur wako wa kipuuzi.
HIVI KUWA NA MADIWANI WENGI NA WABUNGE WENGI NDO CHAMA KIMEKUFA?ACHENI USHABIKI MAANDAZI NINYI.Namshukuru mwenyezi MUNGU muumba mbingu na nchi kwa kunipa afya na uhai na kuniwezesha kuandika haya amabayo Napata kuyaandika sasa, Sifa na utukufu vimwendee yeye mweza yote.
Salamu nyingi zikufikie Mwenyekiti mpendwa wa Chama cha demokrasia na maendeleo, umekuwa kiongozi mahiri kwa kuongoza chama kilichojaa vijana wasomi na wenye kutaka kujua na kujifunza uongozi, hata wakati mwingine walipotaka kwenda kinyume na matakwa yako , ulilitumia rungu lako vizuri kwa kuwapotezea mbali, hata wengine wakafia mbali, namkumbuka marehemu Chacha Wangwe na kiongozi wa ACT wazalendo Mhe Zuberi Zitto Kabwe, ni watu ambao walionja joto yako MHE MBOWE bila kumsahau mwanafalsafa mahiri DR, SLAA,huyu ulimuumiza kisaikologia na kifikra sana, kwani alilolisimamia maishani mwake we ulimgeuka na kulikumbatia lile alihohubiri kwa Watanzania kuwa ndio linalotafuna nchi yetu, yaaani ufisadi, Mhe Mbowe wewe ukawa rafiki mkubwa wa ufisadi ulimkosea sana mwanafalsafa huyu mahiri, na ndio maana kwa misingi ya kifalsafa hakuona kama ni vyema kuendelea na safari hiyo.
Kwa msingi huo DR Slaa anayo haki ya kuombwa msamaha kwani, Mhe Mbowe ulimkosea sana hata kama ni ile ya kinafiki ambayo uliifanya kwa Zitto Zuberi Kabwe ni sawa tu , lakini uoneshe utu na uungwana kwani dhambi ya kumkosea DR inakitafuna chama kwa sasa,kwanini naema inakitafuna chama, mtazame Mashinji hana hoja , anaongea kwa kulalamika, hotuba yake ilijaa malalamishi, sio kujenga hoja, chama kisimame vip, au wajipange vip, Badala yake amewaambukiza na vijana kulalamika, Nadhani ukikaaa na Mashinji faragaha ukimuuliza nini agenda za Chadema kwa miaka hii mitano, atakuwa hana , umempa mtu ukatibu ambae hajui katibu ni nani, na wajibu wa katibu ni nini,hilo ni kosa la pili ambalo umemkosea DR SLAA, mtafute umuombe radhi walau hata awape ushauri mnatakiwa kufanya nini, la sivyo Chadema is dying a natural death.
Asante sana.
Mkuu matusi kwa KUB unatwanga kinu cha maji. Huna sifa hata ya kutukanwa. Slaa ni saizi yenu huko Lumumba si kwa CHADEMA.Namshukuru mwenyezi MUNGU muumba mbingu na nchi kwa kunipa afya na uhai na kuniwezesha kuandika haya amabayo Napata kuyaandika sasa, Sifa na utukufu vimwendee yeye mweza yote.
Salamu nyingi zikufikie Mwenyekiti mpendwa wa Chama cha demokrasia na maendeleo, umekuwa kiongozi mahiri kwa kuongoza chama kilichojaa vijana wasomi na wenye kutaka kujua na kujifunza uongozi, hata wakati mwingine walipotaka kwenda kinyume na matakwa yako , ulilitumia rungu lako vizuri kwa kuwapotezea mbali, hata wengine wakafia mbali, namkumbuka marehemu Chacha Wangwe na kiongozi wa ACT wazalendo Mhe Zuberi Zitto Kabwe, ni watu ambao walionja joto yako MHE MBOWE bila kumsahau mwanafalsafa mahiri DR, SLAA,huyu ulimuumiza kisaikologia na kifikra sana, kwani alilolisimamia maishani mwake we ulimgeuka na kulikumbatia lile alihohubiri kwa Watanzania kuwa ndio linalotafuna nchi yetu, yaaani ufisadi, Mhe Mbowe wewe ukawa rafiki mkubwa wa ufisadi ulimkosea sana mwanafalsafa huyu mahiri, na ndio maana kwa misingi ya kifalsafa hakuona kama ni vyema kuendelea na safari hiyo.
Kwa msingi huo DR Slaa anayo haki ya kuombwa msamaha kwani, Mhe Mbowe ulimkosea sana hata kama ni ile ya kinafiki ambayo uliifanya kwa Zitto Zuberi Kabwe ni sawa tu , lakini uoneshe utu na uungwana kwani dhambi ya kumkosea DR inakitafuna chama kwa sasa,kwanini naema inakitafuna chama, mtazame Mashinji hana hoja , anaongea kwa kulalamika, hotuba yake ilijaa malalamishi, sio kujenga hoja, chama kisimame vip, au wajipange vip, Badala yake amewaambukiza na vijana kulalamika, Nadhani ukikaaa na Mashinji faragaha ukimuuliza nini agenda za Chadema kwa miaka hii mitano, atakuwa hana , umempa mtu ukatibu ambae hajui katibu ni nani, na wajibu wa katibu ni nini,hilo ni kosa la pili ambalo umemkosea DR SLAA, mtafute umuombe radhi walau hata awape ushauri mnatakiwa kufanya nini, la sivyo Chadema is dying a natural death.
Asante sana.
Ni ushauri tu mkuu...........hata we kama kuna mahala nitaona unafaa kushauriwa nitakushauri tu.............Mkuu matusi kwa KUB unatwanga kinu cha maji. Huna sifa hata ya kutukanwa. Slaa ni saizi yenu huko Lumumba si kwa CHADEMA.