CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

Slaa ni mshamba wa k anashawishiwa na lile gubeli anasusa .. Kwanza sio presidential material basi tu tulikuwa hatuna option
kwenu ninyi presidential material ni mtu aliyechoka na anayejinyea?
 
Kuwashauri Chadema wampigie magoti Slaa haimaanishi Slaa amekuwa kipenzi cha wana ccm.

Ushauri wa kumrudisha Slaa ni ili kujenga afya ya upinzani wa kweli wenye tija kwa taifa na sio vigenge vya wahuni wanaotafuna ruzuku
Ninyi mnasaidiwa sipika wa bunge,Polisi na serikali pamoja jeshi na usalama wa taifa kuuwa upinzani ruhusuni mikutano kama anavyofanya bulembo
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.

Hata slaa ana magoti ajipigie mwenyewe.sio mpaka apigiwe
 
Hatari sana ....Chadema inaendelea kuangukia pua tu
 
Hatari sana ....Chadema inaendelea kuangukia pua tu
 
Hatari sana ....Chadema inaendelea kuangukia pua tu
 
Hatari sana ....Chadema inaendelea kuangukia pua tu
 
Hatari sana ....Chadema inaendelea kuangukia pua tu
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Pumbavu! Nani ampigie magoti Dr. Slaa ana kitu gani kipya wakati ametelekeza wana kondoo mwituni
 
Wakati aliondoka kwa shinikizo la mkewe.......CDM sio vigeugeu weweee
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
jinga lao
 
Kwahiyo unataka wafanye kama ccm ilivyofanya kuwapigia magoti Lowassa na Rostam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.

Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.

Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Kakojoe stendi
 
Back
Top Bottom