CDM death is slowly becoming a reality even to those who didn't want to hear of it. It is now definite that, it is just a matter of time and CDM will be officially dead and buried. This is not a good thing for the country but the owners chose to kill it. What else can one do?Namshukuru mwenyezi MUNGU muumba mbingu na nchi kwa kunipa afya na uhai na kuniwezesha kuandika haya amabayo Napata kuyaandika sasa, Sifa na utukufu vimwendee yeye mweza yote.
Salamu nyingi zikufikie Mwenyekiti mpendwa wa Chama cha demokrasia na maendeleo, umekuwa kiongozi mahiri kwa kuongoza chama kilichojaa vijana wasomi na wenye kutaka kujua na kujifunza uongozi, hata wakati mwingine walipotaka kwenda kinyume na matakwa yako , ulilitumia rungu lako vizuri kwa kuwapotezea mbali, hata wengine wakafia mbali, namkumbuka marehemu Chacha Wangwe na kiongozi wa ACT wazalendo Mhe Zuberi Zitto Kabwe, ni watu ambao walionja joto yako MHE MBOWE bila kumsahau mwanafalsafa mahiri DR, SLAA,huyu ulimuumiza kisaikologia na kifikra sana, kwani alilolisimamia maishani mwake we ulimgeuka na kulikumbatia lile alihohubiri kwa Watanzania kuwa ndio linalotafuna nchi yetu, yaaani ufisadi, Mhe Mbowe wewe ukawa rafiki mkubwa wa ufisadi ulimkosea sana mwanafalsafa huyu mahiri, na ndio maana kwa misingi ya kifalsafa hakuona kama ni vyema kuendelea na safari hiyo.
Kwa msingi huo DR Slaa anayo haki ya kuombwa msamaha kwani, Mhe Mbowe ulimkosea sana hata kama ni ile ya kinafiki ambayo uliifanya kwa Zitto Zuberi Kabwe ni sawa tu , lakini uoneshe utu na uungwana kwani dhambi ya kumkosea DR inakitafuna chama kwa sasa,kwanini naema inakitafuna chama, mtazame Mashinji hana hoja , anaongea kwa kulalamika, hotuba yake ilijaa malalamishi, sio kujenga hoja, chama kisimame vip, au wajipange vip, Badala yake amewaambukiza na vijana kulalamika, Nadhani ukikaaa na Mashinji faragaha ukimuuliza nini agenda za Chadema kwa miaka hii mitano, atakuwa hana , umempa mtu ukatibu ambae hajui katibu ni nani, na wajibu wa katibu ni nini,hilo ni kosa la pili ambalo umemkosea DR SLAA, mtafute umuombe radhi walau hata awape ushauri mnatakiwa kufanya nini, la sivyo Chadema is dying a natural death.
Asante sana.
Amuombe nini? Kwani mbowe ndiyo alimtuma kuchukua Rushwa toka Kwa Membe akaikacha Chadema kwa kisingizio feki? Slaa hawezi kurudi chadema mpaka arejeshe pesa za Haramu za ccm alizopewa Cash na membe Kwa nia ya kumkomoa Lowasa.Namshukuru mwenyezi MUNGU muumba mbingu na nchi kwa kunipa afya na uhai na kuniwezesha kuandika haya amabayo Napata kuyaandika sasa, Sifa na utukufu vimwendee yeye mweza yote.
Salamu nyingi zikufikie Mwenyekiti mpendwa wa Chama cha demokrasia na maendeleo, umekuwa kiongozi mahiri kwa kuongoza chama kilichojaa vijana wasomi na wenye kutaka kujua na kujifunza uongozi, hata wakati mwingine walipotaka kwenda kinyume na matakwa yako , ulilitumia rungu lako vizuri kwa kuwapotezea mbali, hata wengine wakafia mbali, namkumbuka marehemu Chacha Wangwe na kiongozi wa ACT wazalendo Mhe Zuberi Zitto Kabwe, ni watu ambao walionja joto yako MHE MBOWE bila kumsahau mwanafalsafa mahiri DR, SLAA,huyu ulimuumiza kisaikologia na kifikra sana, kwani alilolisimamia maishani mwake we ulimgeuka na kulikumbatia lile alihohubiri kwa Watanzania kuwa ndio linalotafuna nchi yetu, yaaani ufisadi, Mhe Mbowe wewe ukawa rafiki mkubwa wa ufisadi ulimkosea sana mwanafalsafa huyu mahiri, na ndio maana kwa misingi ya kifalsafa hakuona kama ni vyema kuendelea na safari hiyo.
Kwa msingi huo DR Slaa anayo haki ya kuombwa msamaha kwani, Mhe Mbowe ulimkosea sana hata kama ni ile ya kinafiki ambayo uliifanya kwa Zitto Zuberi Kabwe ni sawa tu , lakini uoneshe utu na uungwana kwani dhambi ya kumkosea DR inakitafuna chama kwa sasa,kwanini naema inakitafuna chama, mtazame Mashinji hana hoja , anaongea kwa kulalamika, hotuba yake ilijaa malalamishi, sio kujenga hoja, chama kisimame vip, au wajipange vip, Badala yake amewaambukiza na vijana kulalamika, Nadhani ukikaaa na Mashinji faragaha ukimuuliza nini agenda za Chadema kwa miaka hii mitano, atakuwa hana , umempa mtu ukatibu ambae hajui katibu ni nani, na wajibu wa katibu ni nini,hilo ni kosa la pili ambalo umemkosea DR SLAA, mtafute umuombe radhi walau hata awape ushauri mnatakiwa kufanya nini, la sivyo Chadema is dying a natural death.
Asante sana.
You are absolutely right, the party doesn't have vision, they only catches things from the wind.............CDM death is slowly becoming a reality even to those who didn't want to hear of it. It is now definite that, it is just a matter of time and CDM will be officially dead and buried. This is not a good thing for the country but the owners chose to kill it. What else can one do?
I concur.You are absolutely right, the party doesn't have vision, they only catches things from the wind.............
Membe alimpatia dola million 2 cash pesa haramu za marehemu Gadafi na NIDA , mkataba wao ilikuwa ni yeye kuhama chadema kabsa, Sasa kama mnataka arejeshwe inabidi mmpatie Membe pesa zake za kumsajili Slaa mafichoni canada.INABIDI CDM TUTUME UJUMBE MAALUM UKIONGOZWA NA MMILIKI WA CHAMA MZEE MTEII ILI TUMUOMBE RADHI DR. SLAA ARUDI CHAMANI NA KIPEWA UKATIBU MKUU..
TUNADHALILIKA CDM HATUNA THINK TANK...
Lakini alibainisha wazi kuwa alitaka Lowassa akane na kuomba radhi kuwa yeye si fisadi,yaani akane hadharani na wampe mda kama mwanachama wa kawaida, na wala si kama mgombea wa Urais, kwanini Chadema ilishindwa kuufuata ushauri wa katibu wake?.Kiualisia Dr slaa walikuwa kirusi ndani ya chadema bora mbowe ailivyobadili gia angani ogopa sana MTU ambaye Ana sema yeye tu au anamisimamo ya kushikiwa kuna kipindi Pasco Wa jf alisema chadema kuna kirusi wawe makini ndio ulikuwa muda Wa kumchana huyu Babu kama alijiua lowasa fisadi kwa nini aliunda kamati Na kumfuata gwajima awe kwenye mazungumzo kwa nini aliwekeza mwenyekiti habari za lowasa kama anapenda watu wasafi kwa nini kaacha kuongea baada ya kampeni kuisha
Slaa alikuwa Na maamuzi ya kigeu geu Na pia mazungumzo ya lowasa kuja chadema hayakuwa ya uwanachama tu ndio maana kulikuwa Na mazungumzo kama ya kuwa mwanachama angepewa kadi kama bulayo na wengine akina mpendazoe Na wengine tukubali tukatae slaa aliweka maslai binafsi Na siyo chama kwa hiyo akuwa Na mapenzi Na chama ndio maana alikiacha chama Na maneno mengi ya kukikashfu. ChamaLakini alibainisha wazi kuwa alitaka Lowassa akane na kuomba radhi kuwa yeye si fisadi,yaani akane hadharani na wampe mda kama mwanachama wa kawaida, na wala si kama mgombea wa Urais, kwanini Chadema ilishindwa kuufuata ushauri wa katibu wake?.
Samahani endelea kuwashauri wasiojielewa kwa slaa; mimi nimetoa maoni tuNi ushauri tu mkuu...........hata we kama kuna mahala nitaona unafaa kushauriwa nitakushauri tu.............
Kati ya LOWASSA na DR SLAA ni nani alikuwa na mapenzi ya dhati kwa chama wakati huo, haya yalipokuwa yanaendelea?Slaa alikuwa Na maamuzi ya kigeu geu Na pia mazungumzo ya lowasa kuja chadema hayakuwa ya uwanachama tu ndio maana kulikuwa Na mazungumzo kama ya kuwa mwanachama angepewa kadi kama bulayo na wengine akina mpendazoe Na wengine tukubali tukatae slaa aliweka maslai binafsi Na siyo chama kwa hiyo akuwa Na mapenzi Na chama ndio maana alikiacha chama Na maneno mengi ya kukikashfu. Chama
mtafute umuombe radhi walau hata awape ushauri mnatakiwa kufanya nini, la sivyo Chadema is dying a natural death.
Asante sana.
Wewe ndio utakufa chadema utaiacha hivi hiviWazo laweza kuwa zuri; lakini ataaanza anza vipi?
Mchukueni huko lumumba. Mulimlipia Serene Hotel, deni la nyumba yake na takrima nyingine nyingi.INABIDI CDM TUTUME UJUMBE MAALUM UKIONGOZWA NA MMILIKI WA CHAMA MZEE MTEII ILI TUMUOMBE RADHI DR. SLAA ARUDI CHAMANI NA KIPEWA UKATIBU MKUU..
TUNADHALILIKA CDM HATUNA THINK TANK...
Kawatuma? Si mumchukue badala ya ndovu masterMove gani ya ovyo tu... sasa kutoka ndio inasaidia nini wakati huna sababu ya maana ya kutoka. waulizeni cuf, wamegoma uchaguzi lakini umefanyika cuf sasa nje hawana hata pa kusemea. huyo mashilingi katibu gani eti move yake ya maana anadai mwenyewe eti ni kuanzisha slogan ya 'lowassa mageuzi' huku wanapiga pedal mikono... viatu vya dr. slaa kapwaya sana sijui hiyo Phd kama ni zile za kuandikiwa thesis labda. chakufanya mbowe amwachie chama mwenyewe aliyekijenga dr. slaa aje arekebishe mambo.
You are absolutely right, the party doesn't have vision, they only catches things from the wind.............
Duh hujaelewa nini nenda kwa dictionary mzee utaelewa.....They only catches! Ha ha ha! Ongea lugha ya bibi yako utaeleweka vizuri kuliko kuvamia lugha za akina Prince George.