ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Story za vijiweni hizi...
Source, source please, vinginevyo acheni kutafuta kick kwa kaanzisha thread zisizo balanced.... Kumbuka ya yule kijana wa Arusha?Hapa Ofisi Ndogo za CCM Lumumba,kuna agizo lenye msisitizo kuwa Dr. Slaa atumiwe nyaraka mbalimbali huko aliko ili akishauri chama. Sasa,Dr. Slaa anakuwa Mshauri Mwelekezi CCM. Nyaraka nyingi zahusu Bunge la Bajeti litakaloanza kesho hadi Julai 1.
Dr. Slaa alipokuwa CHADEMA kama Katibu Mkuu wao,alibezwa na kutwezwa na viongozi pamoja na wanachama wa CCM. Alikejeliwa na kudhihakiwa kila mahali kwa kuitwa 'Babu Slaa','Mzinzi Slaa','Kikono' na kadhalika.
Sasa CCM yataka kumtumia kushauri juu ya mambo makubwa ya kiserikali na kichama. Ianze kumuomba msamaha. Waziri Nape,jitokeze na umuombe msamaha Mshauri Dr. Wilbrod Peter Slaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwani kuna ubaya mtu kuishi mtaa wa Lumumba?mimi najua huyu mzee anaishi mtaa wa Lumumba,mzee Tupa tupa nipo sahihi?katika watu wanaonishangaza ni wewe unayejiita mzee wa Lumumba. Hivi huku kujipendekeza kutakuisha lini? kipi ambacho unataka kuwaambia watu ili wa kuamini na kukusikiliza? Bora Kubaki kimya kuepusha ujinga kuliko kuonyesha unajua harafu hujui
Dr Slaa amestaafu siasa za vyama ....sasa atakuwa anatoa maoni kama mzalendo huru ...
Mbona sioni kujipendekeza kokote katika bandiko la Kada Mtiifu kindaki ndaki wa CCM,katika watu wanaonishangaza ni wewe unayejiita mzee wa Lumumba. Hivi huku kujipendekeza kutakuisha lini? kipi ambacho unataka kuwaambia watu ili wa kuamini na kukusikiliza? Bora Kubaki kimya kuepusha ujinga kuliko kuonyesha unajua harafu hujui
Kwani nyie bado mnamtaka? Si mlimtosa na kumkaribisha fisadi! Mwacheni aishi anavyotaka, yuko huru.Hapa Ofisi Ndogo za CCM Lumumba,kuna agizo lenye msisitizo kuwa Dr. Slaa atumiwe nyaraka mbalimbali huko aliko ili akishauri chama. Sasa,Dr. Slaa anakuwa Mshauri Mwelekezi CCM. Nyaraka nyingi zahusu Bunge la Bajeti litakaloanza kesho hadi Julai 1.
Dr. Slaa alipokuwa CHADEMA kama Katibu Mkuu wao,alibezwa na kutwezwa na viongozi pamoja na wanachama wa CCM. Alikejeliwa na kudhihakiwa kila mahali kwa kuitwa 'Babu Slaa','Mzinzi Slaa','Kikono' na kadhalika.
Sasa CCM yataka kumtumia kushauri juu ya mambo makubwa ya kiserikali na kichama. Ianze kumuomba msamaha. Waziri Nape,jitokeze na umuombe msamaha Mshauri Dr. Wilbrod Peter Slaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Yani wewe unataka mpiga dili awe raisi wa tz then pm awe mzalendo Magu?comredi Tupa tupa, siasa ukiichunguza sana utagundua wanasiasa wazuri wanapigwa vita sana na wanasiasa uchwara Ambao hawana vision.
CCM walimkataa Lowassa kiongozi Ambaye ana Vision kwa sababutu wa unafiki, umbea, na majungu yaliyo kithiri ndani ya chama cha mapinduzi.
Magufuli ni Kiongozi Mzuri Sana, lakini Lowassa Alikuwa Anahitajika sana maana huyu ni kiongozi mwenye Malengo Au Vision, CCM ingemweka Hata Lowassa kuwa Rais alafu Magufuli Akawa waziri Mkuu Taifa lingeenda Mbali sana.
Lakini kutokana na Fitina Majungu, yaliyopo ndani ya chama cha mapinduzi kuwadhoofisha wanasiasa wazuri ambao kwa namna moja au nyingine wangelisaidia sana taifa hili kutoka kwenye umaskini ulio kithiri.
Tumwombee Mungu Mh Magufuli Afanye kama Mungu Apendavyo, sote ni watanzania bila kujali itikadi ya vyama vyetu, kwani maendeleo hayana chama yanatugusa wote.
Hakutoswa yeye aliitosa CHADEMA kwa maslahi ya CCM. Wana haki yajuendelea kumtumiaKwani nyie bado mnamtaka? Si mlimtosa na kumkaribisha fisadi! Mwacheni aishi anavyotaka, yuko huru.
Naona waziri mkuu kama kapwaya, anaendelea kufunikwa na raiscomredi Tupa tupa, siasa ukiichunguza sana utagundua wanasiasa wazuri wanapigwa vita sana na wanasiasa uchwara Ambao hawana vision.
CCM walimkataa Lowassa kiongozi Ambaye ana Vision kwa sababutu wa unafiki, umbea, na majungu yaliyo kithiri ndani ya chama cha mapinduzi.
Magufuli ni Kiongozi Mzuri Sana, lakini Lowassa Alikuwa Anahitajika sana maana huyu ni kiongozi mwenye Malengo Au Vision, CCM ingemweka Hata Lowassa kuwa Rais alafu Magufuli Akawa waziri Mkuu Taifa lingeenda Mbali sana.
Lakini kutokana na Fitina Majungu, yaliyopo ndani ya chama cha mapinduzi kuwadhoofisha wanasiasa wazuri ambao kwa namna moja au nyingine wangelisaidia sana taifa hili kutoka kwenye umaskini ulio kithiri.
Tumwombee Mungu Mh Magufuli Afanye kama Mungu Apendavyo, sote ni watanzania bila kujali itikadi ya vyama vyetu, kwani maendeleo hayana chama yanatugusa wote.
Siku zote anaeshauri hapati hasara, ila mshauriwa anayo haki ya kuchukua au kukataa ushauri.Nimesoma hapa ASANTE MAGUFULI KWA KUUA VYAMA VYA SIASA NA CCM YA LOWASSA
Nimeshindwa kukuelewa umesimamia wap na wewe ni mtu wa aina gani. In short ushaur wako hauna maana.