CDM NI AIBU TU YA KIBINADAMU INAWAFANYA WACHELEE KUMUOMBA MSAMAHA DR. SLAA. WAKISHINDWA BASI WAMUANGUKIE ZITTO KABWE AWE KATIBU MKUU. GIA ZA ANGANI ZILISHINDWA WAKADONDOKEA PUAMbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
CDM NI AIBU TU YA KIBINADAMU INAWAFANYA WACHELEE KUMUOMBA MSAMAHA DR. SLAA. WAKISHINDWA BASI WAMUANGUKIE ZITTO KABWE AWE KATIBU MKUU. GIA ZA ANGANI ZILISHINDWA WAKADONDOKEA PUA
Mbona huongelei idadi ya wabunge alio waacha slaa na wabunge waliopatikana chini ya uwepo wa lowasa?Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Cdm sasa inang'ara ndio maana ma ccm na vibaraka wao hawapati usingiziJINGALAO
Unakumbuka ile timu bora kabisa iliyoasisi Chadema akiwemo Mtei,Ngwilulupi,Wassira nk...?Leo wote hawapo na chama kinakuwa kwa Kasi,sembuse Dr Mihogo?
Don't insult our intelligence
Lowassa alikatwa CCM wakati Slaa alijitoa!
Tatizo hamkumbuki na kufuatilia mambo....unapoongelea upinzani wenye afya unamuachaje Slaa?kilichomfanya yule mliyemzungushia mikono kuja Chadema badala ya kuanzisha chama chake ni kipi??
Hakuna sehemu nimemwamini mwanasiasa !Kaka yangu Jingalao,naomba nikupe shule,katika maisha yako hata siku moja usimuamini MWANASIASA hata awe baba yako,msikilize achana naye endelea na safari.
Dr.Slaa kulingana na maelezo yake ndiye alieanzisha chokochoko ya kumleta Lowassa CDM,tena akasema akamwita na Mchungaji wake Gwajima wakaongea,,kwanza ilinishangaza aliyekuwa 'PADRE MKATOLIKI"ameenda kumuangukia MCHUNGAJI wa kiprotestant,naona hata imani yake alipoteza,ndiyo maana nasema usimwamini mwanasiasa hata kama ni baba yako.Hivyo hata Dr.Slaa usimwamini hata kidogo,akiongea msikilize endelea na safari.Wote wako kwa ajili ya matumbo yao.
Ukitaka kuhakikisha nenda South Sudan,Central Afrika na Burundi uone watu wa kawaida wanavyouawa,wanasiasa wako Geneva kwenye five star wakigombea kutawala,na wazungu wanazidi kutuua sababu wanawauzia silaha kali zaidi ili watuue zaidi.
Kwa heri kwa lsasa tuonane baadaye
Anzisha chama chako uwape vyeo unavyoona wanastahili. Vinginevyo unafanya mzaha na siasa za mageuzi. Zito yuko na chama chake, wewe bado unaona hastahili kuwa na chama ila aangukiwe na Cdm apewe ukatibu mkuu, Dr. Slaa anakula bata huko aliko bado wewe unaona aangukiwe arudi kuwa katibu mkuu!!!!.Mkuu kwa nini unapenda sana kuwafikiria watu na kuwapangia mambo ya kufanya? Mwanaume hupaswi kuwa mnafiki kiasi hicho,...,.....,Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.