Kabla ya uchaguzi wenzako walipiga kelele nyingi sana humu jf na kujisifu kuwa safari hii ccm itapata kipigo cha uhakika.sasa mnakuja humu na stori zingine zilizo jaa lawama.siasa safi ni kukubali matokeo na kumpongeza mshindi sio kuka kulialia kama mabwege.Variable factors katika aspect mbalimbali za uchaguzi
1😀aftari la wapiga kura lililotumika ni lile la mwaka 2010 kwa hiyo CHADEMA kimefanya kazi kutoka pale kilipokua mwaka 2010
2: Kuna vijana wengi ambao hawajandikishwa kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura
3:Kuna maeneo ambayo CHADEMA hakikuweka mgombea mwaka 2010 lakini leo kimevuna maelfu ya kura
4:CHADEMA kilifanya operesheni kuzungumzia katiba Mpya,Kuboresha daftari la wapiga kura nchi nzima
5:Kata zilizochukuliwa CCM zimechukuliwa kwa wapiga kura wale wale wa Mwaka 2010
6:Maeneo yote ya kata hizo tuonyeshe uwiano wa kura za mwaka 2010 na kura za sasa tuweke kwenye analytical graph ili kujua pamoja na changamoto nilizotaja hapo juu kati ya CCM na CHADEMA ni kipi kimekua/kimekubalika kwa kasi tangu 2010
wewe ndugu usijifanye msomi ama kuwa na kiburi cha usomi! hao waliokupa hizo categoriz zao ambazo wewe umezisomea ni wanadamu tu kama wewe tena zaidi wazungu! ukitaka jamii ikuelewe tumia lugha yao na sisi lugha ya Yericko Nyerere tumeielewa sana kuliko ufundi unaotaka kuuweka! ukweli ni kwamba ushindi wa kata zote za ccm sio bora kama kupoteza uongozi wa manispaa ya Arusha. Ni sawa na Yanga kuifunga Ashanti mabao 20 hayana ladha endapo ashanti itanyakua ubingwa!!!
Kabla ya uchaguzi wenzako walipiga kelele nyingi sana humu jf na kujisifu kuwa safari hii ccm itapata kipigo cha uhakika.sasa mnakuja humu na stori zingine zilizo jaa lawama.siasa safi ni kukubali matokeo na kumpongeza mshindi sio kuka kulialia kama mabwege.
Kwa mtazamo wako kwanini chadema imepata kata 3 tu? Chama kinakua,au kimedumaa? Nini matarajio serikali za mitaa na 2015 with refference to these resultsNjia rahisi ya kujitathimini ni
1. Tulikuwa na kata ngapi, na tumeshinda ngapi,
2. Maeneo tuliyoshinda leo, mwaka 2010 tuliweka mgombea??
3. Chama kinakua, kinarudi nyuma au kimedumaa???
Kwa mtazamo wako kwanini chadema imepata kata 3 tu? Chama kinakua,au kimedumaa? Nini matarajio serikali za mitaa na 2015 with refference to these results
Variable factors katika aspect mbalimbali za uchaguzi
1😀aftari la wapiga kura lililotumika ni lile la mwaka 2010 kwa hiyo CHADEMA kimefanya kazi kutoka pale kilipokua mwaka 2010
2: Kuna vijana wengi ambao hawajandikishwa kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura
3:Kuna maeneo ambayo CHADEMA hakikuweka mgombea mwaka 2010 lakini leo kimevuna maelfu ya kura
4:CHADEMA kilifanya operesheni kuzungumzia katiba Mpya,Kuboresha daftari la wapiga kura nchi nzima
5:Kata zilizochukuliwa CCM zimechukuliwa kwa wapiga kura wale wale wa Mwaka 2010
6:Maeneo yote ya kata hizo tuonyeshe uwiano wa kura za mwaka 2010 na kura za sasa tuweke kwenye analytical graph ili kujua pamoja na changamoto nilizotaja hapo juu kati ya CCM na CHADEMA ni kipi kimekua/kimekubalika kwa kasi tangu 2010
Khaaaa yaaani kushinda Sombetini kwako ni sawa na kuchukua nchi??? kwa mtindo huu bado safari ni ndefuKaka usisahau kuwaambia sisi hatukutumia polisi kama wao wabunge wetu waliwekwa ndani upigaji kura ukiwa unaendelea mimi kuchukuwa sombetini kwangu ni kama kuchukuwa nchi
USHAURI WANGU
Jografia imeonyesha wazi propaganda ya udini ndio nguzo yao tuwashe chopa zote tuzunguke nchi nzima tuelimishe wananchi kuhusu hii sumu ya ccm iliyo na madhara kwa taifa letu.HONGERA cdm tutamaliza na mungu tu!
Usilazimishe kuelewa jambo usiloelewa. Mbona ame-edit?wewe ndugu usijifanye msomi ama kuwa na kiburi cha usomi! hao waliokupa hizo categoriz zao ambazo wewe umezisomea ni wanadamu tu kama wewe tena zaidi wazungu! ukitaka jamii ikuelewe tumia lugha yao na sisi lugha ya Yericko Nyerere tumeielewa sana kuliko ufundi unaotaka kuuweka! ukweli ni kwamba ushindi wa kata zote za ccm sio bora kama kupoteza uongozi wa manispaa ya Arusha. Ni sawa na Yanga kuifunga Ashanti mabao 20 hayana ladha endapo ashanti itanyakua ubingwa!!!
Angalia haya matokeo waliyopata Chadema ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani.Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Politics yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.
Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,
Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.
Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.
Angalia na haya hapa.Kta ya Ibumu , Wilaya ya Kilolo, CCM imeshinda kwa kura 1400, dhidi ya kura 400 za Chadema.
Angalia na haya hapa.Matokeo kata Ukumbi
CCM 1400, CHADEMA 400.
Angalia na haya hapa.Kata ya Ukumbi, Wilayani Kilolo CCM imeshinda kwa kura 1479 dhidi ya kura 829 za chadema.
Angalia na haya hapa.UCHAGUZI KATA YA NAMIKANGO
(NACHINGWEA.....)
Chama Kura
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517.
Angalia na haya hapa.MAGOMENI Matokeo kwa jumla:
CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.
Haya wasome na wenzako wanavyosema.KUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296
CUF---------- 935.
CDM--------29
NCCR------34
Msome na mwingine...Pamoja na nguvu kubwa iliyoonyeshwa na makamanda wetu wakati wa kampeni na wakati wa kulinda kura bado tuna sababu ya kujiuliza kulikoni?
Hatuwezi kujifariji na matokeo haya ambayo hayalingani nguvu iliyotumika,ni lazima tutafakari kwa kina na kujiuliza ni wapi tumekosea ili tujirekebishe.
Hatuwezi kutoa visingizio vilevile kila wakati bila kuonyesha tulikosea wapi na tumejirekebisha wapi.
Ni lazima tuonyeshe tofauti kati ya chaguzi na chaguzi kufanya oparesheni za kushtukiza hakukisaidi chama bali kinawafanya watanzania waje kutushangaa na siyo kutusikiliza.
Tunahitaji ukaribu zaidi na watanzania. Na siyo kukurupuka tu wakati wa ushaguzi.
Sikatai kwamba kazi kumbwa imefanywa lakini tukumbuke pia kuwa hata unapoenda kuposa ukikosea step na mke humpati hilo liko wazi.
Chadema tumekosea step lakini haimaanishi ndiyo mwisho wa kuoa tunahitaji mke na nilazima tuje na mbinu mpya zenye mantiki na kueleweka.
Ili kupata mbege nzuri ni lazima upitie hatua zote kwa umakini lakini huwezi kukurupuka kupika mbege kwasababu tu eti ndizi zimeonyesha dalili ya kuiva.
Kama wana chadema ni lazima sasa tuache tabia ya kuwashabikia viongozi wetu na badala yake tujifunze kuwahoji na kuwakemea ili kupata chadema inayokubalika na si chadema imara kwani uimara huja baada ya kukubalika.
Na kama kuna mwanachadema anaejipa matunaini kuwa tunakubalika basi kajidanganya,na badala yake tumejikuta tukijenga chadema imara isiyokubalika
Tunahitaji majibu na siyo visingizio na maelezo ya kutosha pasi na shaka kwanini tume shindwa uchaguzi huu wa madiwani.
Mimi nakula zangu popconeSalaam WanaJF,
Jana kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 26 (kata 1 uchaguzi haukufanyika baada ya mgombea wa ccm kubaki peke yake bila mshindani) na hadi sasa matokeo yameshajulikana kwa kila mmoja wetu.
Bila shaka wakati huu kila chama kitakuwa kinatafakari ni kwasababu gani kimeshindwa na kifanye nini ili kujihakikishia ushindi katika chaguzi zijazo hasa tukizingatia kuwa kutakuwa na uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kalenga Mkoani Iringa na Chalinze Mkoani Pwani.
Nikiwa mwana Chadema na nilipata bahati ya kufika kata ya Magomeni Wilayani Bagamoyo na nikashiriki katika "mobile campaign" ambapo nilipata fursa ya kuwasiliana na baadhi ya wapiga kura wa Bagamoyo. Kwahiyo kwa kiwangonfulani nimepata bahati ya kuona joto l uchaguzi uliokuwa na ushindani mkubwa baina ya vyama vitatu vya Chadema, Cuf na Ccm.
Mazingira ya uchaguzi kata ya Magomeni wilayani Bagamoyo hayakuwa tofauti na kata nyengine kama Nduli (Iringa), Ubagwe(Kahama), Sombetini(Arusha), Kiboriloni(Moshi), Njombe Mjini(Njombe), Tungi(Morogoro), Santilya(Mbeya Vijijini) na kata nyinginezo.
Ni dhahiri kuwa tulifahamu kuwa ccm watatumia nguvu zote kujaribu kushinda uchaguzi huu mathalani kutumia nguvu ya pesa kuwahonga/kuwarubuni wapiga kura, kununua shahada za kupigia kura kwa maeneo wanayoona kuwa hawakubaliki, kutumia nguvu ya dola hasa Polisi, kuwatumia green guard kufanya uharamia na pia kuingiza mamluki kuwapigia kura. Na kwahakika jana tumeshuhudia matukio mengi ya vurugu na ujanja ujanja uliokuwa unafanywa na ccm wakishirikiana na polisi.
Rai yangu kwa wanachadema waliopewa majukumu ya kusimamia uchaguzi katika kata mbalimbali, watuletee taarifa yenye tathmini ya kina nay a ukweli inayobainisha sababu za msingi za kushindwa kwetu. Kutokana na kasi ya kukua na kuungwa mkono kwa Chadema na wananchi, mimi binafsi sikutegemea kabisa kwamba tutaishia kupata kata tatu tu kati ya 26. Sitaki kusikia kuwa polisi ndio sababu ya kushindwa kwetu, Sitaki kusikia kuwa kutokuboreshwa kwa daftari la wapiga kura ndio sababu ya kushindwa kwetu, sitaki kusikia kuwa mamluki waliopenyezwa na ccm kuipigia kura ndio sababu ya kushindwa kwetu.
Kwakuwa tumeshinda Sombetini, Kiboriloni na Njombe Mjini ilihali polisi wameendelea kuisaidia ccm, ilihali daftari halijaboreshwa na ilihali mamluki bado walikuwepo, basi ni dhahiri kuwa hizo haziwezi kuwa sababu za msingi za kushindwa kwetu. Kilichopelekea wanachadema wa kata hizo tatu wazishinde hila za ccm na hatimaye kuibuka washindi basi ni wazi kuwa hila hizo za ccm zimeshapatiwa udhibiti na haziwezi kutusumbua kwa kiwango hicho tena.
Kwania njema kabisa ya kutaka tujitazame na kujitathmini kwa ukweli ni lazima tupate taarifa/ripoti ya ukweli kabisa itakayotusaidia kwenda kwenye uchaguzi mdogo wa Kalenga na Chalinze tukiwa tumejizatiti lakini pia tathmini hiyo itatusaidia kwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu tukiwa tumejiandaa kikamilifu kushinda kwa kishindo.
Naamini kabisa kwa dhati ya moyo wangu kuwa tunahitaji kuwa na approach tofauti katika namna tunavyoshiriki chaguzi kuanzia kuteua wagombea, kuendesha kampeni na kusimamia uchaguzi. Nadhani pia tunalazimika kuzitazama timu zetu zinazoteuliwa kusimamia ama kuongoza kampeni zetu kama kweli wateule wanakuwa na sifa na weledi stahiki wa kupewa majukumu hayo.
Naomba kuishia hapa kwa sasa lakini ninakaribisha maoni yenu wanachadema wenzangu pamoja na wadau wengine wa mageuzi ili sasa tuondokane na hii aibu ya kushindwa kupata japo nusu ya kata zinazofanya uchaguzi. Chadema ni chama kikubwa sana kwa sasa na tunahitaji ukubwa wetu utafsirike hata katika masanduku ya kura.
Naomba kuwasilisha.
Kutoka Bwama, Kisarawe.
Matokeo kama haya hapa chini kwao ni ushindi wanaita kung`ara.Usilazimishe kuelewa jambo usiloelewa. Mbona ame-edit?
Wewe usiye mtoa mada mapovu yanakutoka ... over nothing!
Damn!!!
Teh teh tehKUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296
CUF---------- 935.
CDM--------29
NCCR------34
Haya niliyokwambia ndio msingi na nguvu ya chadema, sijui nisome nini ndugu,
Au inakuchang'anya miundo ya siasa hapo?
bangi zako peleka kwa DJ mkaruke mayenu hiyo tathimini u8naifanyaje kienyeji hivo wakati matokeo yako wazi hayahitaji tafsiri yoyote ya kitafiti wala kisayansi