CHADEMA imeng'ara kwenye Uchaguzi na Itashinda 2015

Politics is a game of numbers.

Miaka minne iliyopita kulikuwa na wagombea tofauti, marehemu mzee Sumari alimshinda Nasari. Hii haimaanishi mtu yeyote kutoka CCM angemshinda Nasari.

Tatizo siyo daftari la wapiga kura, tatizo ni kumsimamisha mgombea anaependwa na wengi. Ile process ya primary voting ikiingiliwa, basi kuna uwezekano wa kupoteza kiti. Na primaries za CDM zipo too centralized.

Kilichofanya CCM ni decentralization of primary voting .... matokeo ni wagombea wanaokubalika.

Hayo mambo ya madaftari is nonsense, acheni.

kha! emptyheaded!!!
 
Duu nimecheka sana niliposoma hii thread ya Yerricko kwani hajuwi anachokiandika kabisa! Yaani sijuwi Kama anajua maana halisi ya Geography na General political!

Soma Brendan McSherry na Wolter Issy utaelewa vizuri sana kwenye vitabu vyao vya Politics of the South!

Duu shule muhimu sana ndugu yangu na Yerricko uache kuandika mambo ya kusadikika sana maana unadharaulika sana humu JF

Japokuwa jibu hili nilimjibu mkuu Kobello, basi na wewe linakufaa kulingana na uelewa wako mdogo.

Nafurahi kuona unalijua hilo, lakini tunatofautia kidogo tu huenda ni uelewa wetu ama mwalimu wetu wa sayansi ya siasa hasa kwenye kitivo cha poitical intelligence and ST.

Mimi nikishamaliza kuitambua local political ninavuka mbele zaid na kuifikia GP na DP hizo ni nera za siasa zikienda sambamba na diplomasia ya siasa
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani matokeo ya uchaguzi huu hayaondoi ukweli kuwa ccm imezeeka na imeshindwa kutimiza matakwa ya watanzania. Mifumo hovyo ya uchaguzi hasa daftari la wapiga kura imesababisha sura hii ya matokeo. Furaha ya ushindi wa mchezo wa bao huishia hapo hapo mchezoni.
Chama kweli kimezeeka na hata kufikiri kwa wapambe wakevni shida. Ccm wawaze tu kidogo Je ukiwa na shilingi 10 ukapoteza moja bado utaringa unazo sh 10? Chadema kama walikuwa na sh 5 wakaongezewa senti hamsini hiyo ni faida kwao na km hiyo senti hamsini ometoka eneo ambalo mwanzoni hawakuwa wamepanda chochote.
Daftari la kura linalotumika ni la 2005maana 2010 hakuna kilichobadilishwa. Tuwe wenye kutafakari zaidi tusibebwe na upepo
 
Zimepita kampeni kibao kama Operesheni Sangara, M4C, M4C Pamoja Daima, Elimu ya Uraia na Maandamano kadha wa kadha kwa kipindi cha baada ya uchaguzi 2010; then tunapata viti 3 kati ya 27 tunajisifu, kweli????

Ninaamini, ninaamini CCM wameshajua ni jinsi gani ya kupambana na CDM.
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general political) na siasa za kijiografia (geography political)

General political inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography political inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Political yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora waChadem domestic political ya a,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Tamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini. CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii.

Izingatiwe kuwa oparesheni Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchsguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Naamini hapo mmenipata ndugu zangu mnaojenga hoja dhaifu kuwa kama dhana ni daftari la wapiga kura na polisi why kwingine chadema imeshinda?

Ha ha ha ha

Hawa ndio wachambuzi wao eti,eeeh hiki chama kweli futuhi
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general political) na siasa za kijiografia (geography political)

General political inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography political inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Political yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Tamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini. CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii.

Izingatiwe kuwa oparesheni Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchsguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Naamini hapo mmenipata ndugu zangu mnaojenga hoja dhaifu kuwa kama dhana ni daftari la wapiga kura na polisi why kwingine chadema imeshinda?
Mkuu, hongera kwa analysis hadaa. Ya kujifariji na kuukwepa ukweli. Kubali kushindwa ili uwe mshindani. Ujikosoe. Jifanyie SWOT Analysis ikusaide kisiasa, vinginevyo utakuwa msindikizaji wa kudumu. Ccm inahitaji mpinzani imara.
 
Sikiliza Huyu nae, kaa ivyo ivyo na chadema imeshinda kwa asilimia 90%. We baki na analysisi yako hiyo ya upuuzi upuuuzi.
 
Zimepita kampeni kibao kama Operesheni Sangara, M4C, M4C Pamoja Daima, Elimu ya Uraia na Maandamano kadha wa kadha kwa kipindi cha baada ya uchaguzi 2010; then tunapata viti 3 kati ya 27 tunajisifu, kweli????

Ninaamini, ninaamini CCM wameshajua ni jinsi gani ya kupambana na CDM.

Njia rahisi ya kujitathimini ni

1. Tulikuwa na kata ngapi, na tumeshinda ngapi,

2. Maeneo tuliyoshinda leo, mwaka 2010 tuliweka mgombea??

3. Chama kinakua, kinarudi nyuma au kimedumaa???
 
Hujakosea, nimevurugwa kweli, hasa ninapotaka wewe upambazuke
Kubali makosa ili uweze kujikosoa na kukosolewa. Uking'ang'ana kuficha madhaifu utakufa huku unaangalia, kama kifo cha maji na moto. Isaidie chadema usiipumbaze
 
Njia rahisi ya kujitathimini ni

1. Tulikuwa na kata ngapi, na tumeshinda ngapi,

2. Maeneo tuliyoshinda leo, mwaka 2010 tuliweka mgombea??

3. Chama kinakua, kinarudi nyuma au kimedumaa???
Keep fooling yourself
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General political inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography political inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Political yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Tamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini. CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii.

Izingatiwe kuwa oparesheni Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchsguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Naamini hapo mmenipata ndugu zangu mnaojenga hoja dhaifu kuwa kama dhana ni daftari la wapiga kura na polisi why kwingine chadema imeshinda?
Although am disappointed by results ila nakuunga mkono kwa sehemu ... hata ukiangalia sehemu zote ambazo chadema imekuwa na mgombea,kura hazitofautiani sana na ukizingatia daftari la wapiga kura halija kuwa updated for so long now,chadema haina sababu ya kukata tamaa hata kidogo,postives ni nyingi sana ukilinganisha na negatives ... pia izingatiwe issue kama za zitto etal ... lazima zingekuwa na impact hasa kwa kuwa zimetokea kipindi kifupi kabla ya uchaguzi wakati watz hawajasahau ... ni muda sasa wa chadema kujitathmini na kusonga mbele kwa nguvu zaidi baada ya kujisahihisha... kumbukeni kuwa chadema inshindana na dola na sio ccm peke yake ... uwanja wa mapambano hauko fair ila aluta continua ... makamanda endeleeni mbele bila kukata tamaa ...
 
Kubali makosa ili uweze kujikosoa na kukosolewa. Uking'ang'ana kuficha madhaifu utakufa huku unaangalia, kama kifo cha maji na moto. Isaidie chadema usiipumbaze

Kwanini unaamini chadema imeshindwa kwajicho na akili legelege hivyo?

Why hutumii uchambuzi na ukokotozi wa kisayansi?

Siasa za kisasa ni tofauti na pombe za ngomani ndugu.
 
Back
Top Bottom