CHADEMA imeng'ara kwenye Uchaguzi na Itashinda 2015

Although am disappointed by results ila nakuunga mkono kwa sehemu ... hata ukiangalia sehemu zote ambazo chadema imekuwa na mgombea,kura hazitofautiani sana na ukizingatia daftari la wapiga kura halija kuwa updated for so long now,chadema haina sababu ya kukata tamaa hata kidogo,postives ni nyingi sana ukilinganisha na negatives ... pia izingatiwe issue kama za zitto etal ... lazima zingekuwa na impact hasa kwa kuwa zimetokea kipindi kifupi kabla ya uchaguzi wakati watz hawajasahau ... ni muda sasa wa chadema kujitathmini na kusonga mbele kwa nguvu zaidi baada ya kujisahihisha... kumbukeni kuwa chadema inshindana na dola na sio ccm peke yake ... uwanja wa mapambano hauko fair ila aluta continua ... makamanda endeleeni mbele bila kukata tamaa ...

Well said kamanda,

Tunahitaji akili pambanuzi kama hizo mkuu
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General political inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography political inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Political yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Tamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini. CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii.

Izingatiwe kuwa oparesheni Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchsguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Naamini hapo mmenipata ndugu zangu mnaojenga hoja dhaifu kuwa kama dhana ni daftari la wapiga kura na polisi why kwingine chadema imeshinda?

Mkuu kwanza nikupongeze kwa tafakuri yako, ila kwa upande wangu kuzungumzia general political au geography political itakuwa ni vigumu sana. Na kiukweli ulichokifanya hapo is just your opinion ila samahani kwa hilo kwani ata mimi nitatoa my suggestions.

Itakuwa ni jambo la busara na lenye afya kwa siasa za Tanzania kama marudio ya chaguzi ndogo za wabunge zitakazofanyika soon, maeneo husika yataenda kwenye hizo chaguzi ikiwa daftari la wapiga kura limeboreshwa. Na hapo ndio tutaweza kutoa critical political analyis na zaidi ya hapo itakuwa ni mawazo binafsi na sio tafiti za kisayansi.

Na hili litawezekana kama vyama vya upinzani vitagomea kuingia kwenye chaguzi kama daftari la wapiga kura halitarekebishwa (especial Chadema).
 
Variable factors katika aspect mbalimbali za uchaguzi

1😀aftari la wapiga kura lililotumika ni lile la mwaka 2010 kwa hiyo CHADEMA kimefanya kazi kutoka pale kilipokua mwaka 2010

2: Kuna vijana wengi ambao hawajandikishwa kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura

3:Kuna maeneo ambayo CHADEMA hakikuweka mgombea mwaka 2010 lakini leo kimevuna maelfu ya kura

4:CHADEMA kilifanya operesheni kuzungumzia katiba Mpya,Kuboresha daftari la wapiga kura nchi nzima

5:Kata zilizochukuliwa CCM zimechukuliwa kwa wapiga kura wale wale wa Mwaka 2010

6:Maeneo yote ya kata hizo tuonyeshe uwiano wa kura za mwaka 2010 na kura za sasa tuweke kwenye analytical graph ili kujua pamoja na changamoto nilizotaja hapo juu kati ya CCM na CHADEMA ni kipi kimekua/kimekubalika kwa kasi tangu 2010

We Ben matak@ akili huna, hv zle mbwembwe za kurugenz ya habar mlizokuwa mnatoa hamkuyajua hayo? Ha ha ha watz wanaakil sana natabak hvo hvo ikulu mtaaenda kunywa juic tuu
 
Njia rahisi ya kujitathimini ni

1. Tulikuwa na kata ngapi, na tumeshinda ngapi,

2. Maeneo tuliyoshinda leo, mwaka 2010 tuliweka mgombea??

3. Chama kinakua, kinarudi nyuma au kimedumaa???
Kwa mtazamo wako kwanini chadema imepata kata 3 tu? Chama kinakua,au kimedumaa? Nini matarajio serikali za mitaa na 2015 with refference to these results
 
Mi nadhani matokeo ya uchaguzi huu hayaondoi ukweli kuwa ccm imezeeka na imeshindwa kutimiza matakwa ya watanzania. Mifumo hovyo ya uchaguzi hasa daftari la wapiga kura imesababisha sura hii ya matokeo. Furaha ya ushindi wa mchezo wa bao huishia hapo hapo mchezoni.

Uko sawa mkuu! Ndio maana nakubaliana na Dk.Kitila tunahitaji chama mbadala wa ccm na CDM,ili waTanzania wakombolewe.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General politics inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography politics inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Politics yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Tamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini. CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii.

Izingatiwe kuwa oparesheni Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchsguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Naamini hapo mmenipata ndugu zangu mnaojenga hoja dhaifu kuwa kama dhana ni daftari la wapiga kura na polisi why kwingine chadema imeshinda?

Nilishakwambia huwa autumii akili hata kidogo@Yericko Nyerere!!

Kawadanganye wajinga wenzio.
 
Kwa mtazamo wako kwanini chadema imepata kata 3 tu? Chama kinakua,au kimedumaa? Nini matarajio serikali za mitaa na 2015 with refference to these results

Kwa Mtazamo wangu Chama kinakuwa kwa Sababu kimeweza kuwanyang'anya CCM kata Mbili Muhimu za Njombe na Sombetini.Kwa sasa Arusha CCM ni chama cha Upinzani Rasmi maana kina Madiwani Wachache kuliko CDM.Kata zilizopotezwa za CDM mazingira yake yapo wazi Kabisa,mfano Bunda Nguvu kubwa ya Polisi imeoekana na huko Kigoma chama kilishayumbishwa na Msaliti aliyefukuzwa Majuzi.
kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa natumaini CDM itafanya Vizuri zaidi maana Daftai la Wapiga Kura litakuwa limeboreshwa na Wapenzi Wengi wa Cdm ni Vijana na Watu wanaohamahama kwa ajili ya kutafuta Maisha wakati ambapo Wapenzi wa CCM ni wale wanaokaa Sehemu Moja wakiwa wanaona Shida ni halali yao na Baadhi wanaamini Mwl.Nyerere bado ni Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM.
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa tafakuri yako, ila kwa upande wangu kuzungumzia general political au geography political itakuwa ni vigumu sana. Na kiukweli ulichokifanya hapo is just your opinion ila samahani kwa hilo kwani ata mimi nitatoa my suggestions.

Itakuwa ni jambo la busara na lenye afya kwa siasa za Tanzania kama marudio ya chaguzi ndogo za wabunge zitakazofanyika soon, maeneo husika yataenda kwenye hizo chaguzi ikiwa daftari la wapiga kura limeboreshwa. Na hapo ndio tutaweza kutoa critical political analyis na zaidi ya hapo itakuwa ni mawazo binafsi na sio tafiti za kisayansi.

Na hili litawezekana kama vyama vya upinzani vitagomea kuingia kwenye chaguzi kama daftari la wapiga kura halitarekebishwa (especial Chadema).

Yap,

Umeongeza wazo la msingi sana, ikumbukwe kuwa kule kalega na chalinze mwezi ujao tutafanya uchaguzi, hili la daftari la wapigakura linahitaji nguvu zaidi ama kushinikiza yafanyike marekebisho kwenye maeneo husika,
 
Sina uhakika kama ninafanana na Tambwe Hiza, lakini kama ninafanana nae itabidi nijichunguze,

Nimetoa maono yangu kisayansi zaidi ndiomaana nikatoa angalizo kuwa huenda nisieleweke kwa wengine

Teh teh! Huwezi jinguza mwenyewe mkuu, hayo ndio matokeo ya waliokuchunguza.Yaani mnatofautiana sura tu, lakini maneno yako ni kama Tambwe Hiza.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
We Ben matak@ akili huna, hv zle mbwembwe za kurugenz ya habar mlizokuwa mnatoa hamkuyajua hayo? Ha ha ha watz wanaakil sana natabak hvo hvo ikulu mtaaenda kunywa juic tuu

Kuna haja gani ya matusi katika mjadala huu?

Ukiona huwezi kuhimili hapa nenda fb katukane weeeeee ukichoka njoo hapa tujadiliane kwa adabu ndugu.
 
Teh teh! Huwezi jinguza mwenyewe mkuu, hayo ndio matokeo ya waliokuchunguza.Yaani mnatofautiana sura tu, lakini maneno yako ni kama Tambwe Hiza.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk

Haya sawa, hoja umeiona???
 
Kwa Mtazamo wangu Chama kinakuwa kwa Sababu kimeweza kuwanyang'anya CCM kata Mbili Muhimu za Njombe na Sombetini.Kwa sasa Arusha CCM ni chama cha Upinzani Rasmi maana kina Madiwani Wachache kuliko CDM.Kata zilizopotezwa za CDM mazingira yake yapo wazi Kabisa,mfano Bunda Nguvu kubwa ya Polisi imeoekana na huko Kigoma chama kilishayumbishwa na Msaliti aliyefukuzwa Majuzi.

Thank you Sir kwa majibu madhubuti
 
Huyu yeriko labda kadanganywa na mganga wa kienyeji maana kwa akili ya kawaida tu inaonyesha cdm si chochote mbele ya ccm
 
Kwanza English .... umekosea.

Halafu Geography na General politics sijawahi kusikia categorization hii (according to who?) na explanation yako haitoshelezi, ni kama umechanganya zaidi.

Mwisho kabisa, hiyo 90% ni lazima uelezee umeipataje otherwise anybody can come up with a number. Usitumike, utadharaulika.

wewe ndugu usijifanye msomi ama kuwa na kiburi cha usomi! hao waliokupa hizo categoriz zao ambazo wewe umezisomea ni wanadamu tu kama wewe tena zaidi wazungu! ukitaka jamii ikuelewe tumia lugha yao na sisi lugha ya Yericko Nyerere tumeielewa sana kuliko ufundi unaotaka kuuweka! ukweli ni kwamba ushindi wa kata zote za ccm sio bora kama kupoteza uongozi wa manispaa ya Arusha. Ni sawa na Yanga kuifunga Ashanti mabao 20 hayana ladha endapo ashanti itanyakua ubingwa!!!
 
Variable factors katika aspect mbalimbali za uchaguzi

1😀aftari la wapiga kura lililotumika ni lile la mwaka 2010 kwa hiyo CHADEMA kimefanya kazi kutoka pale kilipokua mwaka 2010

2: Kuna vijana wengi ambao hawajandikishwa kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura

3:Kuna maeneo ambayo CHADEMA hakikuweka mgombea mwaka 2010 lakini leo kimevuna maelfu ya kura

4:CHADEMA kilifanya operesheni kuzungumzia katiba Mpya,Kuboresha daftari la wapiga kura nchi nzima

5:Kata zilizochukuliwa CCM zimechukuliwa kwa wapiga kura wale wale wa Mwaka 2010

6:Maeneo yote ya kata hizo tuonyeshe uwiano wa kura za mwaka 2010 na kura za sasa tuweke kwenye analytical graph ili kujua pamoja na changamoto nilizotaja hapo juu kati ya CCM na CHADEMA ni kipi kimekua/kimekubalika kwa kasi tangu 2010

mbona hao ambao tayari wanaexist katika daftari la kudumu mmeshindwa kuwaconvince wawapigieni kura?-
Kama juhudi zenu za toka 2010 mpaka leo hii 2014 mmeshindwa kuwabadiri mtizamo wale ambao wameshajiandikisha katika daftari la kudumu, basi juhudi zenu hazina atahri kubwa kisiasa!
 
Huyu yeriko labda kadanganywa na mganga wa kienyeji maana kwa akili ya kawaida tu inaonyesha cdm si chochote mbele ya ccm

Kwahiyo huyo mganga ndio anaweza kuwa suluhu ya kuishinda ccm??

Wapo waamini wa waganga sio mimi.
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General politics inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography politics inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Politics yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Tamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini. CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii.

Izingatiwe kuwa oparesheni Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchsguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Naamini hapo mmenipata ndugu zangu mnaojenga hoja dhaifu kuwa kama dhana ni daftari la wapiga kura na polisi why kwingine chadema imeshinda?
- Chadema mmeshindwa uchaguzi huu kwa sababu za msingi sana nazo ni kushindwa kwenu kutatua matatizo ya ndani ya chama chenu na kupata muafaka kabla ya huu uchaguzi, mnoanekana kumu-underestimate sana Zitto lakini ana mchango mkubwa sana kwenye kushindwa kwenu,

- Mlikuwa salama sana kuishi na Zitto, sawa Chama kinatakiwa kuwa kikubwa kuliko Zitto lakini kwenye kumtishia kumfukuza hamkukisaidia chama chenu hakuna chama Duniani kimeweza kushinda chaguzi za aina yoyote ile na matatizo kama mliyonayo sasa hivi, na kama hamkumaliza hayo matatizo yenu na Zitto kwa amani mjue 2015 itakuwa aibu zaidi,

- Kama nilivyomwambia Mwenyekiti wenu wa Taifa majuzi tulipokutana uso kwa uso ni kwamba Zitto hataingia CCM, wala vyama vilivyopo vya upinzani labda kianzishwe chama kipya, na in the end atakapofanya uamuzi huo atakuwa ameshawamaliza wote viongozi wakuu huko kisiasa,

- Ushauri wa bure ni lazima mfanye uchaguzi sasa tena ulio huru na ifike pahali Mwenyekiti mpya awe sio kutoka Kaskazini kama kawaida yenu, yamalizeni kwa amani na Zitto, kuwepo kwake kwenu huko kunawasadia sana na public relations kwamba angalau mnaheshimu Demokrasia, lakini kumfukuza hamukisaidii chama chenu in the longrun,

- Jana mmeshindwa goli moja linatosha sana haihitaji magoli mengi tena mmeshindwa under expenses za Helikopta, how do you recover from that tena that quick na uchaguzi wa 2015 upo ukiongoni? Panahitajika mabadiliko makubwa sana huko na serious kurudisha kale ka-credibility kalikokuwepo kabla ya kugombana na Zitto, uchaguzi huru na wa haki will do na Zitto aruhusiwe kugombea ama sivyo mnacheza ngoma ya wachawi tu!!, na yule Mzee Mtei kila anapoongea anawaharibia sana in the Public eyes it is about time mkamuomba awe anayamaza maana huwa hana jipya zaidi ya kurudia kuunga mkono maamuzi ya mkwe wake public haipendi hilo!!

poleni sana na kipigo cha jana haikuhitaji kuwa na PhD kujua kwamba mtapigwa tu na helikopta zenu, sasa tuambieni mmetumia hela ngapi kupoteza jimbo moja?

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom