Porojo politiki hizo. nimefurahi Watanzania kuwaelewa hawa manyang'au,siku wakishika madaraka ndipo mtakapojua ukatili wa hawa jamaa,wao kwanza pesa,utajiri walionao wamegundua kuwa politiki inalipa zaidi sasa wamejikita humo. HIVI MTANZANIA MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUMUAMINI MBOWE AU JAMBAZI LEMA NI WAKOMBOZI WAO? NO NO NO NO NO KABISA. WE ARE NOT CRAZY. hawa jamaa wengine ni wapiga debe tu(kina Yericko) kwa ahadi lukuki,lakini jaribu kuingia anga zao uone cha moto,watakufanya kama Chacha Wengwe,hata Zitto akae sawa tu,hawa jamaa hawatamuacha kisha watanyooshea kidole serikali ya Kikwete. Sasa wanajidanganya kwa daftari la wapiga kura as if vijana wote ni wao kumbe ni hao wamachinga tu,ambao akili zao fupi za kunya kwenye mifuko ya plastic na kukojoa kwenye chupa za plastik,hawa ukiwaambia chochote watakuelewa hivyo hivyo,ukiwaambia mavi yanaliwa watakula tu,na ndio Chadema wanawatumia kwa kuwaambia watakaa milele katika streets. hawa na kina Yericko ndio wanaopigiwa ngoma wasiyoijua mnahitataji :help: hii ndio ngoma yenu tokomile si tokomile 😛oa:lock1::director::yield::yo::kev: