CHADEMA imeng'ara kwenye Uchaguzi na Itashinda 2015

Anayebeza mafanikio ya Chadema uchaguzi huu anayake binafsi, au hajui maana na hataambiwa maana, sababu, ushindi wa Chadema kata ya Njombe ni mkubwa na muhimu sana kwa chama na taifa kwa ujumla, ikumbukwe tangu kupata uhuru, haijawahi kutokea Njombe ikapata diwani wala mbunge wa upinzani, huyu ndiye wa kwanza kutokea, hili somo ni funzo kwa maeneo ya karibu ka Makambako na viunga vyake na taifa kwa ujumla, ndugu zangu asiyejua maana, haambiwi maana.
 
Chadema ndiyo wanawategemea watu kama kina Yericko ndiyo washauri wao kwenye masuala ya siasa, ebu wasome wenzako kisha mkikutana Ufipa mjadiliane vizuri.

Angalia haya matokeo waliyopata Chadema ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani.

Angalia na haya hapa.

Angalia na haya hapa.

Angalia na haya hapa.

Angalia na haya hapa.

Angalia na haya hapa.

Haya wasome na wenzako wanavyosema.

Msome na mwingine...

Mimi nakula zangu popcone
😛opcorn::coffee:

Kutofautiana mitazamo na mawazo ni nyenzo muhimu ya kukua kwa demokrasia katika chama, lakini kutofautiana itikadi ni uhaini na usaliti
 
hizi siasa za njaa nazipinga kabisa...smetme kuna vyama navichukia kwa sabab ya porojo za watu flan flan...ni sawa sawa na kusema ile mech kitakwimu tumeshinda...sisi tulikuwa na ball possesion kubwa, fouls nying walicheza wao wakapata cards, tulipata kona nying na kosa kosa zilikuwa kama 10 hivi...then at the end wao wana bao 5 nyie mna moja. CDM wameshndwa. wakafanye tathmin yakinifu why....na nini kifanyike yericko takwimu zilizopo au data ni viti vilivyogombewa vs viti vilivyopatikana na si kufungwa tumefungwa lakin chenga tumewala
 
Anayebeza mafanikio ya Chadema uchaguzi huu anayake binafsi, au hajui maana na hataambiwa maana, sababu, ushindi wa Chadema kata ya Njombe ni mkubwa na muhimu sana kwa chama na taifa kwa ujumla, ikumbukwe tangu kupata uhuru, haijawahi kutokea Njombe ikapata diwani wala mbunge wa upinzani, huyu ndiye wa kwanza kutokea, hili somo ni funzo kwa maeneo ya karibu ka Makambako na viunga vyake na taifa kwa ujumla, ndugu zangu asiyejua maana, haambiwi maana.

Asante kwakuliona hilo mkuu
 
Wewe ni mtupu katika hili, ni kosa kubwa kwa siasa kuifananisha na mchezo wa soka,
 
Kuna mtu humu' kazi yake kubwa ni kuinanga cdm.nadhani ana maslahi binasfi na ccm
 
Wazee wa chopa tatu kata tatu! Wawashukuru Wachaga maana wangeangukia pua!

Chopa tatu kata tatu
 
Kutofautiana mitazamo na mawazo ni nyenzo muhimu ya kukua kwa demokrasia katika chama cha siasa, lakini kutofautiana itikadi ni uhaini na usaliti

Natamani nyinyi nyote mliokivamia hiki Chama na kukipotezea mvuto kwa Watanzania kwasababu ya upuuzi wenu kama mpotee hivi.Sijui kwanini akina Mbowe wanawasikiliza nyinyi watu,Kwahiyo ukakaa ukatafakari ukaona hili ndilo la kuja kutuambia?You guys really suck!
 
Nyie mliojiunga na chama mkiwa na miaka 16 mmekigeuza chama kapeti, mmekifanya kiwe chini na nyinyi mpo juu,

Washukuruwe viongozi wa juu waliosimama kidete kuwafukuzeni kabisa
 
Wajinga wenzio watakasupoti. Hakuna justfication yeyote itakayofuta kichapo kikali mlichopata. Tutaheshimiana tu.
Tutaendelea kuwaheshimu nyinyi mnaotegemea CCM moja kwa moja kwa maslahi binafsi. Hata aibu huoni, unawakejeli wapigania mabadiliko huku ukijua fika kuwa wako sahihi kulingana na ugumu wa maisha, rushwa na uonevu. Sina mengi ya kusema, lakini kuna siku mambo yatabadilika.
 
Anayebeza mafanikio ya Chadema uchaguzi huu anayake binafsi, au hajui maana na hataambiwa maana, sababu, ushindi wa Chadema kata ya Njombe ni mkubwa na muhimu sana kwa chama na taifa kwa ujumla, ikumbukwe tangu kupata uhuru, haijawahi kutokea Njombe ikapata diwani wala mbunge wa upinzani, huyu ndiye wa kwanza kutokea, hili somo ni funzo kwa maeneo ya karibu ka Makambako na viunga vyake na taifa kwa ujumla, ndugu zangu asiyejua maana, haambiwi maana.

njombe waliipigia kura chadema kwa hasira kuikomoa ccm, hata jahazi asilia ingeshinda na si kweli wanaipenda chadema
.
 
Tutaendelea kuwaheshimu nyinyi mnaotegemea CCM moja kwa moja kwa maslahi binafsi. Hata aibu huoni, unawakejeli wapigania mabadiliko huku ukijua fika kuwa wako sahihi kulingana na ugumu wa maisha, rushwa na uonevu. Sina mengi ya kusema, lakini kuna siku mambo yatabadilika.

Mkuu nakuona ulivyokwazwa na mchango wa huyu kijana mchumia tumbo, tujipe moyo tutashinda tu ndugu
 
Nyie mliojiunga na chama mkiwa na miaka 16 mmekigeuza chama kapeti, mmekifanya kiwe chini na nyinyi mpo juu,

Washukuruwe viongozi wa juu waliosimama kidete kuwafukuzeni kabisa

kama washauri wa chadema ni wavuta bange kama wewe, chadema haifiki popote
 
tatizo chadema haina washauri, akili ndogo hawashauriki
 
Back
Top Bottom