Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Kwahiyo chama cha Mungu(cdm) huwa kinazidiwa nguvu na chama cha shetani(ccm) ndio maana hadi sasa chama cha shetani kinaendelea kuwa madarakani?Ccm ni chama cha shetani.
Kwahiyo chama cha Mungu(cdm) huwa kinazidiwa nguvu na chama cha shetani(ccm) ndio maana hadi sasa chama cha shetani kinaendelea kuwa madarakani?Ccm ni chama cha shetani.
Ni ukweli kwa sababu wewe umesema tu au kuna ushahidi wa hilo kwamba kuna ushahidi wenye kuthibitisha chama chama cha siasa cha chadema ni chama cha Mungu?huo ndio ukweli
Nimejifunza hapa kaka Mshana Jr.Asante kwa masahihisho mkuu
Yote maisha. Ha ha ha haaaa!!!Sikuandika kumtisha mtu lakini nadhani hii ni tafsiri yako kengeufu tuu
Bado wana matumaini. Watu wa ovu ni jasiri sana na hawakati tamaa.[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064] kwani hizi nyakati bado zipo?
Kama mtu anafikia hatua kuita chadema ni chama cha Mungu na ccm ni chama cha shetani, mpaka utaona utaona jinsi tatizo lilivyo kubwa.Hamna vijana wapuuzi kama wafuasi wa CDM japo nami nimfuasi tu sio mwanachama.
Wanajiona wao Ndio wanahaki ya kutoa maoni, kukosoa, kuhoji, kutukana na kusikilizwa, ila hawana uvumilivu kabisaaaaa endapo watu wasioamini wanachoamini wao wakitoa maoni, wakikosoa, wakihoji, wakitukana wao hawako tayari kusikiliza.
Yule askofu aliyekomaa yuko upande wao hapo ni sawa kabisaaaaa hakuna shida, Wapo waandishi wako upande wao hapo ni sawa hakuna shida. Ila ikitokea askofu anaonekana yuko upande tofauti nao hilo kwao ni tatizo. Ikitokea mwandishi anawakosoa hilo kwao ni tatizo.
Sijui uhuru wa kutoa maoni wanaoulilia kila siku humu wanaufahamu Kweli Au wengi wanafata tu mkumbo na mihemko.
Nadhani utakuwa umechanganya kati ya kukosoa ccm na kumkosoa mwendazake.Ukikosoa CCM unapotezwa mazima, wapi Ben Saanane,wapi Azori Gwanda?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huu Sasa ni uongo wa wazi kabisa kwamba chadema inakosoa penye kasoro na kusifia panapostahili? Hii si kweli chadema wanapinga na kuponda kila kituJaribu kusoma swali na kulielewa ..jaribu kusoma mfano wa utangulizi nilioweka.. Tuna tofautiana itakadi ni kweli lakini hatuwezi kuzusha hata yasiyo ya kweli kwa kisingizio cha uhuru wa demokrasia.. Huo utakuwa ni upuuzi ujue
Tunakosoa penye shida
Tunasifu panapostahili hizo ndio siasa za ushindani
Hivi yeyote anayemtukana Magufuli ni mfuasi wa Chadema?.Maana wafuasi wa Chadema mnaongoza kumtukana Magufuli huku mkijua hawezi kujibu kwasasa
[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827] Nadhani hizi ni tuhuma mpya zisizo na ithibati
Kuna kauli watu wanaziongea bila kupima uzito wake, kumuhusisha Mungu na hivi vyama vya upinzani sijui huyo mtu anafikiria nini au anamchukulia vp huyo Mungu? Ubaya humu kuna watu hawaamini Mungu hivyo pengine ndio maana inakuwa rahisi kwao kutoa kauli kama hizo.Dah, kamanda nenda katubu na ufunge kabisa kwa wiki nzima kupata radhi ya M/Mungu.
Kusema cdm ni chama cha Mungu ni sawasawa na kusema Mungu anapenda wivu, upendeleo, uongo, hila, chuki, ubaguzi, matusi na utengano. Hili si sawa labda km kuna 'mungu' mwingine unamzungumzia tofauti na huyu tunayemuabudu.
Ushauri; tuepuke kumtumia Mungu km fursa au daraja katika kutafuta kuungwa mkono katika usheitwani wetu,...........hasira zake ni kali sana!!
Na ndio ukweli, akija mtu na kueleza mabaya ya Mwendazake hata kama ni ya uongo atasifiwa kwa sababu kaeleza watu wapendacho ila Pascal anaeleza yasiyowapendeza inaonekana ana tatizo binafsi na cdm na kwamba anachoeleza ni uongo habalance habari zake.Shida yako unatamani kusikia kile unachokipenda tu
Chadema akiponda kila kitu ndio wanasema ni kwa sababu ni wapinzani ila wewe ukiponda kila kitu chadema unaonekana una tatizo binafsi na cdm haubalance.Huu Sasa ni uongo wa wazi kabisa kwamba chadema inakosoa penye kasoro na kusifia panapostahili? Hii si kweli chadema wanapinga na kuponda kila kitu
Mienendo ya mwenyekiti wa CHADEMA inatia mashaka zaidi katika kuhujumu chama kuliko huyo mwandishi. Think beyond your conditioned limits.
Kwanza jifunze Adabu , kwamba kwako jf ni sehemu ya kupotezea muda baada ya kugombana na mumeo hayo ni matusi , kuweni na heshima na jukwaa hili nyie vijana .Tangu niingie humu kama mahali Pa kupass time mke Wangu akinizingua sijawahi ONA WANACHADEMA Wamekuwa unbiased. Matusi. Kkashfa Ndo maandiko yao. Sawa wewe umeona haya? Mnalazimisha uwingi kwa kujipanga na kupeana sifa hata kama hoja za kijinga ili Mradi Huyu Ni wa kwetu. Hamuwezi Ona kosa la mtu mpaka tu awe sio CHadema.
Mwendazake kafariki ila ccm bado ipo haujaona tofauti hapo? Ccm imekuwa ikikosolewa kabla ya mwendazake hajawa mwenyekiti.Kwani yule dhalim alikuwa mwenyekiti wa CUF? Wewe ndiyo umejichanganya
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app