CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena
Sidhani kama unamtisha mwandishi huyu! Mbona kapitia sana Hali inayofanana kama hii ya Prince!

Huyu mwandishi alishafikia viwango vikubwa katika tasnia yake ya uwandishi kiasi cha kuajili watu kadhaa na akawa na ofisi kwenye eneo la hadhi kubwa, achana na pale ushirika, Yeye alikuwa kwenye eneo lenye hadhi ya nyota tano!

Lakini aliporomoshwa sawa na Prince alivyofanywa! Muulize vizuri atakueleza tanuru la moto alilopitia.

Kwa hiyo, uandae labda kitisho kingine lakini nimjuavyo "mtamudiana" kwenye anga zingine. Ha ha haaaa!
 
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!
Mdogo wangu, hakika una uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Hongera! Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: bila CCM madhubuti nchi itayumba.

Mimi nasema: bila upinzani madhubuti nchi itayumba. Tunauhitaji upinzani au kwa usahihi ushindani wa kisiasa madhubuti au imara ndiposa nchi yetu itakuwa imara kisiasa na kiuchumi. Hatuhitaji umadhubuti wa chama kimoja kiitwacho CCM, bali wa vyama vyote na wananchi wenye uelewa mpana na mwamko wenye tija kwa taifa.
 
Kama uwajuhi MMM mimi na wewe tujadiri nini sasa kwa mfano?
Tujadiliane kuhusu hao MMM ndo nini na ni nani na kwa ushahidi upi na dhambi ipi. Halafu unashangaa kutoijua kwani lilikuwa jambo la kitaifa kwamba kila mmoja lazima alijue?!!!! Si lilihusu labda kakundi kadogo tu ka cdm?
 
Mienendo ya mwenyekiti wa CHADEMA inatia mashaka zaidi katika kuhujumu chama kuliko huyo mwandishi. Think beyond your conditioned limits.
Huyo alishashindikana ni bora utafute kazi nyingine ya kufanya.

Wamemshindwa wenye mamlaka kwa kuhujumu biashara zake na kumuweka jela kwa kesi ya mchongo vyote vimeshindwa kumrudisha nyuma, sasa wewe kwa propaganda za kwenye keyboard utamuweza wapi?

Ogopa kitu kinachoitwa trust, mtu akishajijengea trust kwa jamii wewe hata uje na chuki kiasi gani wananzengo wanakuchora tu kukupuuza.
 
Mdogo wangu, hakika una uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Hongera! Mwalimu Nyerere aliwahi kusema: bila CCM madhubuti nchi itayumba.

Mimi nasema: bila upinzani madhubuti nchi itayumba. Tunauhitaji upinzani au kwa usahihi ushindani wa kisiasa madhubuti au imara ndiposa nchi yetu itakuwa imara kisiasa na kiuchumi. Hatuhitaji umadhubuti wa chama kimoja kiitwacho CCM, bali wa vyama vyote na wananchi wenye uelewa mpana na mwamko wenye tija kwa taifa.
Asante sana brother [emoji1545]
 
Sidhani kama unamtisha mwandishi huyu! Mbona kapitia sana Hali inayofanana kama hii ya Prince!

Huyu mwandishi alishafikia viwango vikubwa katika tasnia yake ya uwandishi kiasi cha kuajili watu kadhaa na akawa na ofisi kwenye eneo la hadhi kubwa, achana na pale ushirika, Yeye alikuwa kwenye eneo lenye hadhi ya nyota tano!

Lakini aliporomoshwa sawa na Prince alivyofanywa! Muulize vizuri atakueleza tanuru la moto alilopitia.

Kwa hiyo, uandae labda kitisho kingine lakini nimjuavyo "mtamudiana" kwenye anga zingine. Ha ha haaaa!
Sikuandika kumtisha mtu lakini nadhani hii ni tafsiri yako kengeufu tuu
 
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!
Kwa mujibu wa GUSSIE huyo jamaa kwa sasa ameshapata 'shavu', tena tenda za nguvu ndio maana ameamua kulipa fadhila kwa kuwananga CDM.

Isitoshe pia ni kada wa Ccm hivyo kuiponda Cdm ndio njia yake ya kujijenga, lazima mmkumbuke siasa za hii nchi ni maslahu tu.
 
Ukiiponda chadema una chance kubwa kuteuliwa
 
Mshana,kwanza nakupongeza kwa andiko, pili Mimi ulinivutia kujiunga jf, mm na mke wangu, ila moja ya kosa nalo lifanya ni kutokukutanisha na mke wangu popote pale mpaka nife,maana yee uwa akisoma maandishi Yako uwa anavutiwa mpaka namwona Sito fanya kosa la kumwachia nafasi hyo,

Cjawai vutiwa na Mwandishi uliyemsema kwanza, wakat Mimi nasomea uandishi yeye alikuwa mtumishi wa kipaji a sio elimu.

Ila kama general ulimwengu alifanya project hii Mungu akbariki
Hahahaha mkuu hakuna kitu naheshimu kama MKE WA MTU labda sijui itokee dharura gani huko ama bahati gani mbaya..Lakini kwa hali ya kawaida kabisa kwangu hiyo ni haramu
 
Kwa hiyo CHADEMA mnataka kusifiwa tu na mtu akiwakosoa muda wote maana yake kuna ugomvi? Huyo mwandishi inawezekana yeye ni CCM, KWANINI ALAZIMISHWE KUISÈMEA CCM VZURI? Chadema ijifunze kuwachukulia wakosoaji kama sehemu tu ya uhuru wa maoni badala ya kuconsider kama chuki au personal issue
Nadhani nina hakika hujaelewa kabisa nilichoandika.. Kuna mahali nimesema CHADEMA isikosolewe?
 
Siamini kama Mzee yule hajui anachokifanya, kwa masaibu aliyopitia na hatua alizochukua simshangai…. binafsi naona ni mtu anajaribu kurusha turufu zake zilizobaki mkononi.

Iwe ni kwa maslahi mapana ya Taifa kama asemavyo, au ni kwa maslahi binafsi…. ila ni lazima kuna maslahi.
 
Kwa hiyo CHADEMA mnataka kusifiwa tu na mtu akiwakosoa muda wote maana yake kuna ugomvi? Huyo mwandishi inawezekana yeye ni CCM, KWANINI ALAZIMISHWE KUISÈMEA CCM VZURI? Chadema ijifunze kuwachukulia wakosoaji kama sehemu tu ya uhuru wa maoni badala ya kuconsider kama chuki au personal issue
Kwa hiyo kwa upeo wako umeshindwa kubaini ya kuwa pia alichoandika Mshana Jr ni sehemu ya uhuru wa maoni? Kwani amemrushia mtu ngumi au mateke kwa maana ya physical attacks?
 
Huyo alishashindikana ni bora utafute kazi nyingine ya kufanya.

Wamemshindwa wenye mamlaka kwa kuhujumu biashara zake na kumuweka jela kwa kesi ya mchongo vyote vimeshindwa kumrudisha nyuma, sasa wewe kwa propaganda za kwenye keyboard utamuweza wapi?

Ogopa kitu kinachoitwa trust, mtu akishajijengea trust kwa jamii wewe hata uje na chuki kiasi gani wananzengo wanakuchora tu kukupuuza.
Umetumia neno zito 'TRUST', si jambo dogo kujenga trust na eti anatokea mbuzi fulani with cheap comments anategemea kuibomoa hiyo TRUST iliyojengwa kwa mtu ku sacrifice mengi sana ikiwepo mali, uhuru, muda na mambo mengine mengi tu.
 
Back
Top Bottom