CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!
Kuna umaarufu katika nyanja hii. Nimeomba kipindi pale Wasafi TV niwe natoa mhadhara kuhus mwelekeo wa kisiasa Tanzania. Nataka kuwa nachambua vyama vyote vya siasa, ila plani yangu ni kuikandia CHADEMA tu. Bado Management ya kituo hicho cha Luninga haijanijibu maombi yangu, ila nikikubaliwa basi CHADEMA watanitambua kwa nitakavyotumbua uwozo ndani yao!!

just kidding!
 
Tatizo sio mwandishi bali wafuasi wa chadema, hampendi kukosolewa. Mtu yeyote akiwa na mawazo tofauti mnamshambulia binafsi kwani hata mwanzo mlituaminisha kina mdee wapo pale kwa sababu ya magufuli na ndugai, leo wote hawapo lakini sakata linaendelea.
Adui yenu ni ccm mkae na kutambua hilo na bila kushirikiana na vyama vingine na kuacha kujiona nyinyi ni bora ikulu mtaishia kualikwa na kunywa chai.
 
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!
Nilishangaa kwa utangulizi wa sijui nilipata A ya Law101 nikajiuliza hivi anatujua sisi sote na anathubutu kusemea grading ili iweje? I wish awe neutral na ajitambue, a fading person is always suspicious of his own! A very poor introduction from him, Majigambo na provocation haviendi pamoja. Ujeuri na ujivuni nyakati za expiry akili inabutua sana. Unyama unyama, Sipangwingwi uandishi ni wake na maisha in yake acha tushughulike na yetu.
 
Pamoja na mapungufu mengi kwa mitazamo ya walio wengi ya Pasco mayala lakini ukweli chadema ni kama sio tena sauti ya wengi, sio mkombozi tena kama tulivyodhania wakati ule, tunaweza kuandika mengi lakini chadema kimekua na mapungufu mengi sana nyakati hizi tokea 2015 kuja huku tulipo.

Niko na kadi ya chadema tokea 2004 na nimepiga kura kwa mbowe, slaa,. Lakini ile 2015 kwa kweli hapana, walao 2020 lakini nako walikuwa hawako serious.

Na kwa mwendo huu miaka kumi ijayo tutakuwa tukiona chadema kama tlp au caf kama sio uso kabisa.
Unateseka ukiwa wapi mkuu? Kwanini usihame na kwenda chama kingine au uanzishe chako?
 
CHADEMA TOKEA MWANZO WALISEMA HAWATAMBUI UCHAGUZI WA MWAKA 2020 NA HAWATAMBUI MATOKEO, SASA MBONA MMEMUANDIKIA SPIKA BARUA ALIYECHAGULIWA MWAKA 2020, MBONA KILA SIKU IKULU KUJIPENDEKEZA, MBONA MNAWAFUATA FUATA KINA HALIMA MDEE WALIOTOKANA NA UCHAGUZI HUO, MNGEWAACHA KWA KUWA HAMLITAMBUI BUNGE NK

Good! Sasa kama hamtambui uchaguzi wa mwaka 2020 na hutambui matokeo maana yake hata kina @halimamdee83 @esteramosbulaya yaani wabunge 19 hamuwatambui kwa kuwa kilichowapeleka pale ni huo uchaguzi, sasa @jjmnyika @freemanmbowetz mnamuandikia barua Spika gani? Bunge gani?

Uchaguzi wa 2020 na matokeo yake ndiyo yaliyompata Mbunge @TuliaAckson na leo ni Spika wa @bunge_tz, hilo bunge limepatikana 2020, kama hamuutambui uchaguzi mnakomaa na nini? Achaneni na wabunge hao ambao hamjawapeleka na sio wa chama chenu, tena mngewafukuza uanachama bila Barua kwa Spika.

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, hamtambui uchaguzi mkuu wa 2020, hamtambui matokeo kutwa kwenye media mnalia lia, mnalilia nini wakati mmeshawafukuza kwenye chama muwaache waliopelekwa na uchaguzi haramu kama mnavyouita, na kama mmeamua kuukubali mseme dunia isikie.

Mwisho:-kwako Spika Dr Tulia Ackson hata Barua usingeisoma kwa kuwa Barua ilikuwa haramu kutoka kwa katibu Mkuu wa chama haramu, kutoka kwa Baraza kuu haramu ambalo halikutambui, Chama ambacho hajitambui ubunge wako wa mwaka 2020, Chama ambacho kimesema uchaguzi ulikuwa si halali na hawatambui matokeo na hivyo hawawatambui wabunge hao 19 sasa kisebu sebu cha nini?
Hata mtoto wa form one anaweza kukushangaa.
 
Hoja yangu hiyo nimeijenga kwa kuangalia wafuasi wa mitandaoni haswaa humu jamii forums

Karibu kila siku lazima atatukanwa kwa neno la namna yoyote lile

Naiman hata nafsi yako inaujua huo ukwel ila tu unazuga kama ni jambo jipya

Siku nilipoona uzi wa Zitto akikosolewa kumuita kiongozi mwenzie Chiba nilisema wazi Zitto kakosea

Ila pia nikaweka angalizo kuwa tusipende kuwakashifu wengine ili wapendwa wetu wasikosolewe pia

Humu kuna wajinga wamewahi kumdhihaki Mbowe,Zitto,Magufuli,Lissu,Ndugai,Tulia n.k

Ila kwavile tunajali sana itikadi kuliko ubinadamu kila upande unaona sawa

Najua Magufuli kuna mambo alikosea kama binadamu na kuna aliyopatia pia kama binadamu kuendelea kumtukana haijengi lolote zaid ya kupoteza muda

Tupambaneni kuondoa huu ugumu wa maisha kwa jamii yetu kwa kuwashauri njia nzuri viongozi wetu.

Mkuu, ili kuweka kumbukumbu sawa unaweza sema mfano mmoja wa tusi alilotukanwa Magufuli?
 
Mtoa mada ni mwana CCM mzuri, nadhani na yeye ni project, eti Leo anasifia Chadema, hakika Chadema Ina virus wa kutosha. Kamati Kuu ikikaa, Kuna watu wanaoandaa ukumbi wanaweka chip tu zina trans maongezi yote sekunde hiyohiyo.

Robo tatu ya kamati kuu ni CCM cadres
 
Jibuni hoja na sio kuyafanya mambo too personal, yuko na haki ya kueleza fikra zake, hamumjibu na hapa unafanya nini? eti "wengi", kila siku tunawaambia ingieni mtaani ili muwaine hao wengi ni akina nani...angekuwa anaongea uongo basi ungekuwa na hoja, kwa nini hamtaki watu wajue kwamba katiba yenu inazuia wanachama kwenda mahakamani kinyume na katiba ya nchi? kwa nini hampendi watu wajue ukweli kwamba taratibu zilikiukwa katika kuwaadhibu wabunge wenu? katiba yenu tu inawashinda ya nchi mtaweza kuilinda kweli?
Hao watu wa mitandaoni watakuwa wanaishi sayari nyingine.
 
Hamna vijana wapuuzi kama wafuasi wa CDM japo nami nimfuasi tu sio mwanachama.

Wanajiona wao Ndio wanahaki ya kutoa maoni, kukosoa, kuhoji, kutukana na kusikilizwa, ila hawana uvumilivu kabisaaaaa endapo watu wasioamini wanachoamini wao wakitoa maoni, wakikosoa, wakihoji, wakitukana wao hawako tayari kusikiliza.

Yule askofu aliyekomaa yuko upande wao hapo ni sawa kabisaaaaa hakuna shida, Wapo waandishi wako upande wao hapo ni sawa hakuna shida. Ila ikitokea askofu anaonekana yuko upande tofauti nao hilo kwao ni tatizo. Ikitokea mwandishi anawakosoa hilo kwao ni tatizo.

Sijui uhuru wa kutoa maoni wanaoulilia kila siku humu wanaufahamu Kweli Au wengi wanafata tu mkumbo na mihemko.
 
Hao watu wa mitandaoni watakuwa wanaishi sayari nyingine.
Huwa siargue na wapumliwa visogoni, mekuona empty upstairs unapoomba mfano wa JPM kutukanwa humu jf, ukitaka kuwaona hao majority nenda field mtukane JPM jukwaani uone kitakachokupa.
 
Wakati Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo wanapanga mapinduzi haram ndani ya Chadema ulikuwa darasa la ngapi? Unawajui MMM?

Jeshini adhabu ya Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo ni kifo tu hakuna mbadala.

Ona damu ya Usaliti huko ACT Kitila Mkumbo kamsaliti msaliti mwenzanke na kufuata ulaji CCM, huko nako 2025 atasomeshwa namba za kirumi na wenye chama chao.
Kamanda ungetuwekea na ushahidi ingekuaa vizuri sana. Hilo moja, pili, kama kuna kina kitila mkumbo pia katika hilo mbona matusi ni kwa zitto tu kila siku?!!!!!!!!!!!

Tatu, asiyemsaliti chadema ni nani?!!!!!
 
Yuko wapi Musiba yule aliyekuwa na nguvu sana?

Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!

Mkuu huwa unasoma maandishi ya wanachadema humu. JF sio Chama cha Siasa. Unaweza andika JF IMEWAKOSEA NINI WANACHAMA WA CHADEMA? Wewe umeandika kama mwana CHadema na Bahati mbaya Hakuna mahali ambapo umeona kabisa wanachama Wenzako wanatukana na kudhani kuwa wana hati miliki ya mawazo, ukawandikia uzi mrefu kama huu. Mnaogopana na mumeuza uhuru wenu.

Haki ya kuuliza unaipata wapi Mkuu. Onyesha kwanza hauko biased. Ukiona mwanachama mwenzako kaandika ujinga au matusi kosoa rekebisha. Anza KUTIBU HOME KWAKO THEN UJE NA HUU UZI.
 
Jamaa yuko biased vibaya mno, ni kweli Chadema ina mapungufu yake hata mimi nimekuwa nikiikosoa hapa JF, lakini ukosoaji wa jamaa kwenye hili suala la wabunge 19 umekaa kama ana kisasi ama hasira flani hivi,

umekosa objectivity ambayo ungeweza kuitegemea kutoka kwa mtu kama yeye
Lakini ndio hivyo ni uhuru wa maoni,

Tangu niingie humu kama mahali Pa kupass time mke Wangu akinizingua sijawahi ONA WANACHADEMA Wamekuwa unbiased. Matusi. Kkashfa Ndo maandiko yao. Sawa wewe umeona haya? Mnalazimisha uwingi kwa kujipanga na kupeana sifa hata kama hoja za kijinga ili Mradi Huyu Ni wa kwetu. Hamuwezi Ona kosa la mtu mpaka tu awe sio CHadema.
 
Mtoa mada ni mwana CCM mzuri, nadhani na yeye ni project, eti Leo anasifia Chadema, hakika Chadema Ina virus wa kutosha. Kamati Kuu ikikaa, Kuna watu wanaoandaa ukumbi wanaweka chip tu zina trans maongezi yote sekunde hiyohiyo.

Robo tatu ya kamati kuu ni CCM cadres
Niliachana na ccm Mei Mosi ya 1984
 
Mfuateni huko huko kwenye nyuzi zake mkamjibu kwa hoja na vifungu vya sheria na katiba. Mnamwacha kwenye nyuzi zake anatamba bila kujibiwa kwa hoja mnakimbilia kuanzisha nyuzi za kumponda yeye binafsi mnadhani hiyo inawasaidia? Majibu yenu kwenye nyuzi zake mostly ni matusi, na wewe personally unakimbilia kwenye ubaguzi wa kikabila utadhani ukabila ni sera itakayoisaidia chadema kuimarika!
Kumbe ikipondwa ccm ni sawa, ikipondwa chadema ni mkuki kwa nguruwe! You need to grow up as a real political party.
 
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!
Unaandika bandiko refu lakini unaogopa kumtaji huyo "mwandishi". Mtaje tu, si kila mtu anayajuwa hayo yake uliyoyasoma wewe huko "jukwa la intelijensia yakakuvutia".

Mwandishi kama ni Mtanzania ni haya machache yanayoweza kujibu swali lako;

1) wanampa vibahasha vyepesi kuliko anavyojidhania yeye kuwa anastahiki vibahasha vizito zaidi. Chadema wajitazame hapo.
2) Au Anawaponda chadema ili CCM wamuone wampe kazi.

3) Au vibahasha vya CCM ni vizito zaidi.

4) Au anawategemea wana CCM kupata kipato chake na hawezi kuwaandika chadomo asijiharibie ulaji wake.

5) Au Hajaona cha kumpendeza chadema.

6) Au kishagundua kuwa chadema (au viongozi wakuu) wa chadema ni feki wanatumiwa na CCM kuhadaa jamii na ulimwengu kuwa kuna upinzani. Akiuandika ukwelu ataiua kabisa chadema na ki "syste," chadema na vyama upinzani vinatakiwa viwepo, hususan vile feki.

7) Au yupo kwenye payroll ya CCM kwa kazi hiyo ya kuiponda chadomo.

Hakuna za zaidi ya hayo, labda aje mwenyewe kujibu siri zake.

* My Take; Kumbuka kuwa Tanzania chama cha upinzani na kiongozi wa upinzi

* My Take; Tanzania hakuna chama cha upinzani na kiongozi wa upinzani "genuine". Vyote na wote ni "feki" wachumia tumbo tu na uwepo wao unategemea huruma za CCM.

Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Jamaa yuko biased vibaya mno, ni kweli Chadema ina mapungufu yake hata mimi nimekuwa nikiikosoa hapa JF, lakini ukosoaji wa jamaa kwenye hili suala la wabunge 19 umekaa kama ana kisasi ama hasira flani hivi,

umekosa objectivity ambayo ungeweza kuitegemea kutoka kwa mtu kama yeye
Lakini ndio hivyo ni uhuru wa maoni,
Hiyo ndio demokrasia. Sasa hamtaki kukosolewa
 
Back
Top Bottom