CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

Hapo ulipoandika hakuna aliewahi kupambana na asiejibu akashinda panafikirisha

Maana wafuasi wa Chadema mnaongoza kumtukana Magufuli huku mkijua hawezi kujibu kwasasa

All in all mengne watajibu wengine lakini la muhimu tukosoane kwa hoja sio vihoja.
Thibitisha kwa kuweka takwimu.

Halafu kuongea mabaya ya mtu sio kumtukana
 
BAVICHA katika kuendeleza udikteta. Wanachokisema wao wanaita “sauti ya umma”, wamejipachika cheo!
Mtu akiwa na maoni tofauti na wanavyopenda kusikia atakumbana na matusi na propaganda za kulazimisha kumchafua! Anayesemwa kwenye threads zake anawazidi hoja kwa mbal, ukisoma hoja za BAVICHA ni matusi tu na ujinga Mwingi.
Sasa wanatumia mbinu ya kuandaa threads za kumtisha na lawama lukuki. Alafu wanajiita chama cha demokrasia!
Hata wewe yakisemwa usiyopenda kuyasikia hua unatukana mbona
 
Jibuni hoja na sio kuyafanya mambo too personal, yuko na haki ya kueleza fikra zake, hamumjibu na hapa unafanya nini? eti "wengi", kila siku tunawaambia ingieni mtaani ili muwaine hao wengi ni akina nani...angekuwa anaongea uongo basi ungekuwa na hoja, kwa nini hamtaki watu wajue kwamba katiba yenu inazuia wanachama kwenda mahakamani kinyume na katiba ya nchi? kwa nini hampendi watu wajue ukweli kwamba taratibu zilikiukwa katika kuwaadhibu wabunge wenu? katiba yenu tu inawashinda ya nchi mtaweza kuilinda kweli?
Sawa kabisa mfuasi sugu wa hayati
 
Mkuu Mshana Jr jina sahihi ni Prince Bagenda na si Prince Bangeda kama ulivyoandika.

Kuhusu mada yako, kaka yangu na mtani wangu ameshahama kwenye mada chokonozi tangu alipojiunga na CCM na kutia nia na kuwemo kwenye mchakato wa ndani wa kugombea ubunge Kawe.

Mada zake siku hizi hazishangazi kwakuwa zina mwelekeo unaofahamika. Anatumikia chama chake. Maybe he is in a planned political agenda and strategy!
Pembe la ng'ombe halifichiki.Wapo wengi na yote ni njaa zao zinaishi kwenye vichwa ambavyo sisi tunavitumia kufikiri.
 
Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila siku uwepo wake ni kinyume cha miungu ile ya kuchonga ile inayoonekana kwa macho..... Hata haya macho na masikio na sauti zetu... Kuna macho na masikio ya kuonekana, kuna sauti za kusikika na kuna macho masikio na sauti vya rohoni.... Havionekani havisikiki lakini vipo na ndio asili na chanzo cha ulimwengu unaoonekana

Maslahi ya kiroho ninini? Ni yapi?
Maslahi ya kiroho ni ukamilifu wa jambo lolote baya ama zuri kwenye ulimwengu wa nyama, ulimwengu unaoonekana kwa macho ya kawaida
Kutokamilika kwa jambo husika, maslahi ya kiroho huwa shakani na katika mtanziko mkubwa kutokana na kushindwa kufanya ukamilifu... Hapa sasa chanzo na sababu za kushindwa hutafutwa!!!!
Kila kitu, kila jambo huanza na wazo, wazo halionekani, halishikiki halisikiki.. Hiki linaishi rohoni.. Ndio penye chanzo chake... Wazo huzaliwa na kupangwa kati ya mtu na mwenyewe ndani ya nafsi zake tatu kabla ya kushirikisha nafsi ya nje, nafsi ya nne...
Wazo hata bila kupangwa ndani ya mwenyewe linaweza kuwasilishwa nje ya nafsi kwa njia ya sauti, michoro, maandishi na hata vitendo.... Baraza la nafsi lenye wajumbe nafsi tatu ndio huamua aina ya uwakilishi husika
Baraza nafsi tatu ndani ya nafsi ni lipi?
Nafsi ya kwanza ni nafsi roho... Mwenyekiti
Nafsi ya pili ni nafsi ufahamu... Katibu
Nafsi ya tatu ni nafsi wajumbe/hadhira... Muunganiko wa nafsi roho na nafsi ufahamu vinavyozaa utambulisho....
Asili ya wazo hutoka kwa wote katika muunganiko wa umoja, nafsi ufahamu akiwa ndio mzizi...
Hapa wazo hufanyiwa kazi na kukubaliwa na baraza la nafsi kwa sauti moja.... Kama kukiwa kuna kusitasita basi tambua kwenye kikao cha baraza la nafsi kuna mmoja hajakubaliana na wazo... Na shida itaanzia hapa kama kutakuwa na kufeli baada ya matokeo ya kimwili kuwa tasa au kuharibika....
Unapopanga jambo lakini ukawa kila wakati uko kwenye mtanziko wa kulifanya ama kutolifanya tambua baraza lako la ufahamu halijakubaliana kwa sauti moja....
Maslahi ya kiroho daima huzingatia na hudai mrejesho kwa kila tendo lililokamilika kwenye matokeo ya kimwili
Kama matokeo ni chanya baraza hushangilia na kupata faraja.... Lakini kama matokeo ni hasi basi lazima kitafutwe chanzo ama sababu yake....
Hapa kuna sababu nje ya baraza... Hizi si muhimu sana na maslahi ya kiroho huwa hayazingatiii sana.. Sababu ya kushindwa kama inatokana na maamuzi ndani ya baraza la nafsi, ama maamuzi yaliyokuwa yanakinzana ama kupishana hapa hali huwa mbaya na maslahi ya kiroho ndani ya mamlaka ya baraza la nafsi huamua kujiadhibu....
Ni adhabu gani hizo basi....
Majuto yenye kukosesha furaha na amani
Vilio mfululizo
Mawazo mpaka kuugua ama kushindwa kula nk
Kujidhuru mwili kwa vileo, madawa nk
Hisia za kutaka kulisambaratisha baraza na mamlaka yake kwa kuamua kujitoa uhai..
Nknk

Tuna tabia ya kuwacheka wengine wanaopitia hizi hali bila kutambua kuwa sio wao bali ni matokeo ya kushindwa kimwili yale yote yaliyopangwa na maslahi ya kiroho kupitia baraza la nafsi.....

Nimeeleweka? [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence

Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha

Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo

Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine

Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi

Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti

Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa

Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni

Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania

Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema

Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni

Mungu ibariki CHADEMA...!!!
Huyu nguli mwanasheria na mwandishi mwenye CV isiyo na shaka asiyeona zuri kwa Chadema na mpaka sasa anamsimamo wa Mbowe ni gaidi kama alivyowahi kuandika kuhusu sauti iliyonaswa Mwanza na kusema kesi ilifutwa tu kwa huruma! Ni, ni PMmmmmmm.
 
Kumbe hapa kwa chadema na mwashi wao[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu
Rekebisha ni Kiraracha na si Kirachacha
 
Back
Top Bottom