Magufuli alikuwa hataki kukosolewa, wala mawazo mbadala.Alikuwa bingwa wa kutukana na kuumbua hadharani. Amekufa akiwa kajaa chuki na visasi moyoni mwake.Maana wafuasi wa Chadema mnaongoza kumtukana Magufuli huku mkijua hawezi kujibu kwasasa
[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827] Nadhani hizi ni tuhuma mpya zisizo na ithibati
Pasco bana au aliwapelekaea invoice hazikulipwa?Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence
Simhukumu vibaya lakini nadhani ana tatizo binafsi na CHADEMA kama ilivyokuwa kwa Prince Bagenda na Augustine Lyatonga Mrema mzee wa Kirachacha
Kuna mengi ya kusimuliwa kati ya wawili hawa.. Ya sirini na ya upenuni, Lakini yanayojulikana zaidi ni pale siasa za Mageuzi zilipoingia nchini mwaka 1992 na baadae Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo Lyatonga Mrema alipojivua nyazifa zake zote na kukiacha chama chake na kujiunga na NCCR-Mageuzi kilichokuwa chama kikuu cha upinzani wakati huo
Kujitoa kwa Mrema ccm kulikuwa na mtikisiko mkubwa sana kwakuwa kwa wakati huo ndio waziri pekee aliyekuwa na uthubutu uliorejesha nidhamu serikalini na kuwa tishio kwa wazembe., wala rushwa majambazi na wapiga dili wengine
Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu akasimama kugombea nafasi ya urais kupitia NCCR- Mageuzi chini ya timu ya Mabere Nyaucho Marando wakili msomi James Mbatia
Dr. Masumbuko Lamwai wakili msomi RIEP
Prince Bangeda mwandishi nguli na wengine wengi
Moto ule wa NCCR hiyo uliwatisha mno ccm na wakaona kitisho cha wazi kama wataiacha NCCR istawi, hivyo baada ya uchaguzi ule NCCR ilifitinishwa na kumeguka mapande mawili kila kundi likilishutumu lingine kwa usaliti
Baada ya hapo yalitokea mengi sana, lakini la kukumbukwa zaidi ni namna Prince Bangeda alivyotumika kumshambulia Mrema kupitia magazeti ya Rai na Mtanzani kwenye safu ya :Kalamu ya Bangeda' nadhani.. Yaani ilikuwa kama project maalum ya kumchafua mzee wa Kirachacha.. Prince Bagenda aliandika na kuandika na kuandika, aliandika mabaya tupu. Hakuna siku aliandika jema la Mrema na kwa baadhi ya mada akitoa ushauri wa kinafiki kabisa
Inawezekana pengine kuna siku Jenerali Ulimwengu atakuja kutuambia ule mradi ulikuwa wa nani na ulikuwa na lengo gani, lakini juu ya yote mwisho wa project hiyo ya Bangeda aliasisi gazeti lake na akiwa kwenye mchakato wa kuanzisha TV yake. Ofisi yake iliyokuwepo pale jengo la ushirika Lumumba iliwaka moto na kila kitu kikaishia pale.. Prince Bagenda hakuwahi kusimama tena na huku mzee wa Kirachacha ambaye hata mara moja hakuthubutu kumjibu Bagenda akidunda mpaka Leo hii na kigoli kaoa hivi karibuni
Nimeamua kutoa mfano huo baada ya kuona mwenendo wa mwandishi huyo kwa CHADEMA.. Hakauki kwa mada za kukisema vibaya hiki chama kinachotambulika kama kikuu cha upinzani Tanzania.. Ni mada za kukikosoa, kukisema vibaya kukiombea kifo tangu 2015 utadhani ndio chama pekee cha siasa Tanzania
Hakuna mtu aliwahi kupambana na sauti ya wengi akashinda.. Hakuna mtu aliyewahi kupambana na asiyejibu akashinda.. Kadiri unavyozidisha chuki na kukisema vibaya ndio kadiri unavyojimaliza.. Ukiweza BADILIKA SASA..La sivyo mwisho wako hauko mbali... Hakuna hata mmoja aliyewahi kutumika kisha akawa na mwisho mwema
Una jicho la tatu... Lifungue vema likuoneshe ya mbeleni
Mungu ibariki CHADEMA...!!!
SAFI kabisaMimi sina tatizo na Paskali kuiandika CDM vibaya maana ndio uhuru wa maoni. Na huenda kwenye kuisema vibaya huko baadhi ya mapungufu ya CDM yanaweza kurekebishwa. Ila ni kwanini Paskali anaisema vibaya CDM, hapo ndio kwenye mjadala.
- Paskali anaisema CDM kwakuwa ana wivu nayo kutokana na kuwa yeye ni mwanaccm, na CDM ina ushawishi mkubwa kwa umma bila kutumia vyombo vya dola. Inshort ana nongwa kubwa na CDM, hata akitoa ushauri sio wa nia njema, bali ni wa kinafiki zaidi.
- Paskali anapenda kutumia mitandao, na huku kwenye mitandao CCM haitambi kama ilivyo CDM, kwani huku mitandaoni hakuna vyombo vya dola vya kuibeba CCM na kuikomoa CDM. Hivyo Paskali anakutana na mashambulizi yanayomkera toka kwa wafuasi wa CDM, sasa anaandika kila mara kuhusu CDM maana anajua post yake itapata replies nyingi hata kama ni negative kwake, na ni sehemu ya kurelease stress zake kutokana na kejeli anazopewa na wafuasi wa CDM.
- Hili nadhani ni sehemu ya haya mabandiko yake ya sasa. Toka wakati wa Magufuli kuna mpango wa kuanzisha chama kingine ili kuchukua nafasi ya CDM, ndio hiki umoja party. Na namna pekee ilikuwa ni lazima CDM ife kwanza kisha kiingie chama kingine. CCM wanajua fika wameshapoteza mvuto, ila hawako tayari kuwaachia Cdm wachukue nchi kwa ajili ya usalama wa viongozi wake, hii ni kutokana na uhuni na wizi walioufanya. Sasa system wakatengeneza mpango wa kuanzisha chama kingine, lakini lazima CDM ife kwanza, kwani ndio yenye wafuasi wengi wa kweli kuliko ilivyo vyama vingine. Namna ya kuiua CDM ni pamoja na kutengeneza migogoro ndani ya CDM, kununua wanachama wake wenye ushawishi kwa nguvu au kwa ushawishi wa fedha na vyeo, kugoma kuwatangaza washindi kwenye chaguzi, kuwapora haki yako ya uchaguzi, kuwabambikia kesi, kuwaua, kuhujumu shughuli za kuwaingizia kipato viongozi wake, na hata kuchafua haiba yao kwenye jamii. Hii ya kuchafua haiba yao ndio akina Paskali wamepewa mchongo, ili wahakikishe CDM inachafuka, kisha itengenezwe justification ya kuwa kwanini CDM imekufa. Kwa sasa kuna mpango wa wazi wa kuifuta CDM, hivyo inatafutwa sababu ili umoja party iweze kuanzishwa na watanzania kushurutishwa kuikubali kwa faida ya CCM. CCM walifanikiwa huko nyuma kwa michezo hii michafu ya kuua vyama pendwa, je wataweza sasa kukiwa na kizazi kipya? Ngoja tuone hii kazi waliyopewa akina Paskali kama watatoboa.
Good analysisMimi sina tatizo na Paskali kuiandika CDM vibaya maana ndio uhuru wa maoni. Na huenda kwenye kuisema vibaya huko baadhi ya mapungufu ya CDM yanaweza kurekebishwa. Ila ni kwanini Paskali anaisema vibaya CDM, hapo ndio kwenye mjadala.
- Paskali anaisema CDM kwakuwa ana wivu nayo kutokana na kuwa yeye ni mwanaccm, na CDM ina ushawishi mkubwa kwa umma bila kutumia vyombo vya dola. Inshort ana nongwa kubwa na CDM, hata akitoa ushauri sio wa nia njema, bali ni wa kinafiki zaidi.
- Paskali anapenda kutumia mitandao, na huku kwenye mitandao CCM haitambi kama ilivyo CDM, kwani huku mitandaoni hakuna vyombo vya dola vya kuibeba CCM na kuikomoa CDM. Hivyo Paskali anakutana na mashambulizi yanayomkera toka kwa wafuasi wa CDM, sasa anaandika kila mara kuhusu CDM maana anajua post yake itapata replies nyingi hata kama ni negative kwake, na ni sehemu ya kurelease stress zake kutokana na kejeli anazopewa na wafuasi wa CDM.
- Hili nadhani ni sehemu ya haya mabandiko yake ya sasa. Toka wakati wa Magufuli kuna mpango wa kuanzisha chama kingine ili kuchukua nafasi ya CDM, ndio hiki umoja party. Na namna pekee ilikuwa ni lazima CDM ife kwanza kisha kiingie chama kingine. CCM wanajua fika wameshapoteza mvuto, ila hawako tayari kuwaachia Cdm wachukue nchi kwa ajili ya usalama wa viongozi wake, hii ni kutokana na uhuni na wizi walioufanya. Sasa system wakatengeneza mpango wa kuanzisha chama kingine, lakini lazima CDM ife kwanza, kwani ndio yenye wafuasi wengi wa kweli kuliko ilivyo vyama vingine. Namna ya kuiua CDM ni pamoja na kutengeneza migogoro ndani ya CDM, kununua wanachama wake wenye ushawishi kwa nguvu au kwa ushawishi wa fedha na vyeo, kugoma kuwatangaza washindi kwenye chaguzi, kuwapora haki yako ya uchaguzi, kuwabambikia kesi, kuwaua, kuhujumu shughuli za kuwaingizia kipato viongozi wake, na hata kuchafua haiba yao kwenye jamii. Hii ya kuchafua haiba yao ndio akina Paskali wamepewa mchongo, ili wahakikishe CDM inachafuka, kisha itengenezwe justification ya kuwa kwanini CDM imekufa. Kwa sasa kuna mpango wa wazi wa kuifuta CDM, hivyo inatafutwa sababu ili umoja party iweze kuanzishwa na watanzania kushurutishwa kuikubali kwa faida ya CCM. CCM walifanikiwa huko nyuma kwa michezo hii michafu ya kuua vyama pendwa, je wataweza sasa kukiwa na kizazi kipya? Ngoja tuone hii kazi waliyopewa akina Paskali kama watatoboa.
Thanks Tindo kwa uchambuzi wa kina uliobeba dhima ya uhalisia kwa kile kinachoendelea sasaMimi sina tatizo na Paskali kuiandika CDM vibaya maana ndio uhuru wa maoni. Na huenda kwenye kuisema vibaya huko baadhi ya mapungufu ya CDM yanaweza kurekebishwa. Ila ni kwanini Paskali anaisema vibaya CDM, hapo ndio kwenye mjadala.
- Paskali anaisema CDM kwakuwa ana wivu nayo kutokana na kuwa yeye ni mwanaccm, na CDM ina ushawishi mkubwa kwa umma bila kutumia vyombo vya dola. Inshort ana nongwa kubwa na CDM, hata akitoa ushauri sio wa nia njema, bali ni wa kinafiki zaidi.
- Paskali anapenda kutumia mitandao, na huku kwenye mitandao CCM haitambi kama ilivyo CDM, kwani huku mitandaoni hakuna vyombo vya dola vya kuibeba CCM na kuikomoa CDM. Hivyo Paskali anakutana na mashambulizi yanayomkera toka kwa wafuasi wa CDM, sasa anaandika kila mara kuhusu CDM maana anajua post yake itapata replies nyingi hata kama ni negative kwake, na ni sehemu ya kurelease stress zake kutokana na kejeli anazopewa na wafuasi wa CDM.
- Hili nadhani ni sehemu ya haya mabandiko yake ya sasa. Toka wakati wa Magufuli kuna mpango wa kuanzisha chama kingine ili kuchukua nafasi ya CDM, ndio hiki umoja party. Na namna pekee ilikuwa ni lazima CDM ife kwanza kisha kiingie chama kingine. CCM wanajua fika wameshapoteza mvuto, ila hawako tayari kuwaachia Cdm wachukue nchi kwa ajili ya usalama wa viongozi wake, hii ni kutokana na uhuni na wizi walioufanya. Sasa system wakatengeneza mpango wa kuanzisha chama kingine, lakini lazima CDM ife kwanza, kwani ndio yenye wafuasi wengi wa kweli kuliko ilivyo vyama vingine. Namna ya kuiua CDM ni pamoja na kutengeneza migogoro ndani ya CDM, kununua wanachama wake wenye ushawishi kwa nguvu au kwa ushawishi wa fedha na vyeo, kugoma kuwatangaza washindi kwenye chaguzi, kuwapora haki yako ya uchaguzi, kuwabambikia kesi, kuwaua, kuhujumu shughuli za kuwaingizia kipato viongozi wake, na hata kuchafua haiba yao kwenye jamii. Hii ya kuchafua haiba yao ndio akina Paskali wamepewa mchongo, ili wahakikishe CDM inachafuka, kisha itengenezwe justification ya kuwa kwanini CDM imekufa. Kwa sasa kuna mpango wa wazi wa kuifuta CDM, hivyo inatafutwa sababu ili umoja party iweze kuanzishwa na watanzania kushurutishwa kuikubali kwa faida ya CCM. CCM walifanikiwa huko nyuma kwa michezo hii michafu ya kuua vyama pendwa, je wataweza sasa kukiwa na kizazi kipya? Ngoja tuone hii kazi waliyopewa akina Paskali kama watatoboa.
Salut kwako monk😀Hahahaha mkuu hakuna kitu naheshimu kama MKE WA MTU labda sijui itokee dharura gani huko ama bahati gani mbaya..Lakini kwa hali ya kawaida kabisa kwangu hiyo ni haramu
Acha kumhusisha Mungu na mambo ya kijuhaKwa vile Chadema ni Chama cha Mungu , shetani hujidhihirisha mwenyewe
Lakini mama ni rais wako hadi 2030 utake usitakeWakati Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo wanapanga mapinduzi haram ndani ya Chadema ulikuwa darasa la ngapi? Unawajui MMM?
Jeshini adhabu ya Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo ni kifo tu hakuna mbadala.
Ona damu ya Usaliti huko ACT Kitila Mkumbo kamsaliti msaliti mwenzanke na kufuata ulaji CCM, huko nako 2025 atasomeshwa namba za kirumi na wenye chama chao.
Kwanza Sio WakiliHuyo mtu anajidai ni anaijua sheria, na aliifaulu vilivyo! Lakini huko anakodai alisoma, inajulikana muda ni miaka minne lakini alisoma zaidi ya miaka 7, ni kwa nini!?
Tunamjua nje ndani huyu mtu, tukimchimba na kumuanika atazimia…
Tabia hii ya mtu akikukosoa unamuona adui ni ya kipumbavu sana!Great sinker theorem
na pale alipominywa kengele Kisha kuitwa mjengoni Dodoma ndipo habari take ilipoishiaMkuu Mshana Jr jina sahihi ni Prince Bagenda na si Prince Bangeda kama ulivyoandika.
Kuhusu mada yako, kaka yangu na mtani wangu ameshahama kwenye mada chokonozi tangu alipojiunga na CCM na kutia nia na kuwemo kwenye mchakato wa ndani wa kugombea ubunge Kawe.
Mada zake siku hizi hazishangazi kwakuwa zina mwelekeo unaofahamika. Anatumikia chama chake. Maybe he is in a planned political agenda and strategy!
anakosoa kumshina Pascal Mayalla ?Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence