Kuelekea 2025 CHADEMA imejiandaa vipi kukabiliana na engua engua?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,461
40,432
Salaam wanajukwaa,

Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo mazito pasipo woga wala ajizi.

Kwa muda mrefu sana CCM ikianzia kipindi cha JK hadi kufikia kwa Magufuli ilishafika ukingoni ki mbinu au kimkakati mbele ya boksi la kura.

Tuliokua karibu na corridors of power tuliwauma sikio sana ndugu zetu wa upinzani juu ya maandalizi ya uchaguzi wa 2020 maana taarifa zilionesha pamoja na sifa zoote zilizompamba magufuli na kuteka vyombo vyote vya habari asingeweza kutoboa 2020 hivyo the only way ilikua ni kutumia nguvu na dola kupora uchaguzi.

Baada ya Magufuli kufariki na mrithi wake Samia kukalia kiti cha enzi kukaanza vuguvugu tena ni kwa namna gani wanavuka kiunzi cha 2025... lakini baadae likaja tumaini kwamba kama hakuna katiba mpya basi CHADEMA haingeshiriki uchaguzi na hilo likawa tumaini kuu la Samia na mawakala wake.

Baada ya ngonjera za maridhiano kufikia ukingoni huku Samia na watu wake wakiwekeza sana kwenye kelele za wapinzani wasishiriki chaguzi bila tume huru wala katiba mpya ghafla kumeibuka madai ya CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu.

Uamuzi wa CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu umepeleka sleepless nights kwa Samia na watu wake na umebadili kabisa upepo wa siasa ndani ya serikali na CCM.

Hali hii imepelekea Samia kukatisha ziara nyingi za nje na kuingia field huko mikoani tofauti na awali alipowaachia viongozi wa CCM, waziri mkuu na VP! Kwa sasa ameshauriwa aingie field mwenyewe ili kujiandalia mazingira ya 2025!! Panic ni kubwa sana CCM!

Hoja kuu ikiwa ni vipi Samia atahimili vuguvugu la 2025 na hali ilivyo mtaani?

Njia pekee ambayo CCM wamebaki nayo kwa sasa ni engua engua tu! Na kwa sasa mlengwa mkuu wa 2025 ni Tundu Lissu anayeaminika kugombea urais 2025!!

Nguvu kubwa sana ya pesa inaelekezwa kupambana na CHADEMA hasa kupitia mikutano yao ya ndani ya kuchagua wagombea na ikishindikana kabisa ni engua engua inakuja kama ilivyotaka kutumika kwa TLS!

CHADEMA mmejiandaaje na hili? Maana joto ni kali sana kuelekea 2025 na njia pekee hawa watu wamebaki nayo ni hiyo.
 
Chadema wanajiaminisha kuwa kanda ya kaskazini ni yao ,maeneo mengi ni kujaribu kuokoteza tu ila mradi mzee Mbowe na kundi lake wanaendelea kukuza matumbo yao
 
Samia hana pumzi kuelekea 2025, mbinu pekee ni engua engua mfano hai ni Mwabukusi wa TLS
 
CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.

CHADEMA wajiandae kuendelea kuumia kama kawaida yao.
 
Hakuna kuumia wakijipanga!! Ukitaka kujua CCM ina hali gani uliza wanaoratibu ziara ya Samia Morogoro!!

Kuna mashinikizo mpaka taasisi binafsi watu wafunge ofisi saa sita wafanyajazi wakajaze uwanja wa Jamhuri!!
 
Chadema wanajiaminisha kuwa kanda ya kaskazini ni yao ,maeneo mengi ni kujaribu kuokoteza tu ila mradi mzee Mbowe na kundi lake wanaendelea kukuza matumbo yao
Punguza utoto dogo utakuja kupakatwa.
 
Back
Top Bottom