chadema ikishindwa arumeru ....siasa basi

Usiwe na wasiwasi .Chadema kitashinda kwa kura nyingi maana ndiyo tumaini letu na Mungu siku zote yupo upande wanaotafuta haki yake
 
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku

Mkuu usichoke kazi ndio imeanza saa ya ukombozi imewdia, Kikubwa CCM wana Polisi, TISS, JWTZ, NEC etc. kwa hiyo wana support kubwa ukilinganisha na sisi wananchi wa kawaida...

Nachowashauri wana Areumerru, Arusha na maeneo ya kuzunguka Jimbo hilo wajitolee kuipigia CDM kura na Kuzilinda...

Ni chaguzi tatu CDM iko madarakani Karatu kwa mbinu hizo za kulinda kura usiku na mchana mpaka matokeo yatangazwe ndiyo watu wanatawanyika....

Make sure hakuna kukata tamaa daima tusonge mbele labda kama una miaka 70+ ndiyo utasema unasubiri kifo lakni kama wewe ni kujana hakuna haja ya kurudi nyuma...
 
Kwa Arumeru safari hii mtatafutana sisi tunaepata bahati ya kuzunguka vjiji mbalimbali tuna jua hali harisi ilivyo....

tell the MAGAMBAS,WAAMBIE wakusikie....waambie wasisubiri mikutano na picha za kuchakachua .TUPO LIVE AR HALI YA CCM NI TETE,TETE,TET,TET,kILA MAHALI NI mkombozi CHADEMA mama anapokea kanga na kitambaa akifika home ananing'iniza darini....KAULI MBIU KUU NI HII....''KULA CCM KURA CHADEMA'''...I'M 100% SERIOUS
 
crashwise sisi tulioko huku arusha tunajua nini kitatokea hawa magamba kwa sasa wanawaza kuhonga tu ..mimi nimeomba likizo ofisini na nipo arumeru maeneo ya tengeru na nimekuja kwa jukumu moja tu kura yangu ndo itaimaliza ccm...sasa kama kura haitalindwa kwa kweli hatutaelewana na nimeshahudhuria kampeni zote za vyama ccm ni kama wanasubiri kubebwa
 
mje tarehe 2.4.2012 mjitangaze hivyo kuwa nyie na chadema mkishindwa basi mnaachana na siasa, chadema kushindwa arumeru ni sawa na UJI NA MGONJWA halina ubishi.
Hasa wewe ni mgonjwa unahitaji uji upate nguvu maana unapepesuka, subiri kimbunga chaja utapeperushwa!!!!

Mimi kinachoniuma ni kitendo cha CDM kuingia katika uchaguzi bila NEC kurekebisha daftari la wapiga kura miaki miwili baada ya lile la mwanzo. Hawakutaka hata kutishia NYAU ya kufanya maandamano. Kila mtu anajua mtaji wa CDM ni vijana na wasomi ambao wanahama hama sana hivyo kutokuwa na sifa za kupiga kura, lakini chama kimetulia kama kondoo anayehitaji kuchinjwa. Hata mfanyabiashara asipojua aina ya wateja wa bidhaa yake atajikuta anafungua bar mtaa wa walokole au pemba. CDM ni lazima itafiti aina ya wapiga kura wanoiunga mkono na wawapiganie wapate haki yao ya kikatiba. Ccm wanajua kuwa wamebakiwa na wazee tu ndio maana tar moja utamsikia Bulaya anasema vituo vyote ni wazee wamejitokeza ili wizi wa kura uwe justified
 
crashwise sisi tulioko huku arusha tunajua nini kitatokea hawa magamba kwa sasa wanawaza kuhonga tu ..mimi nimeomba likizo ofisini na nipo arumeru maeneo ya tengeru na nimekuja kwa jukumu moja tu kura yangu ndo itaimaliza ccm...sasa kama kura haitalindwa kwa kweli hatutaelewana na nimeshahudhuria kampeni zote za vyama ccm ni kama wanasubiri kubebwa
Mkuu mimi nachukua likizo kesho kwaajili ya kulinda kura..mkuu usiongope tutapambana mpaka kieleweke na nashukru kama umeshukua likizo ili uje kupiga kura naweza kuona jinsi ulivyo ithamini kura yako moja kumbuka CCM wali tuchakachua kwa kura moja kule Shinyanga hivyo kura yako ina thamani kubwa sana kuliko wengi wanavyo dhania.......Endelea kuwa hamasisha nandugu jamaana marafiki kujitokeza kwenda kupiga kura taerehe 1.4.2012 kwani kati ya sehemu nilizo pita wasiwasi wao ni kuibiwa kura.....
 
Ni mjadala mzuri kupitisha muda !. Wangapi wanaenda kupiga kura miongoni mwa wachangiaji mada ??
 
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku

Kama kuha uhakika hivi wa ushindi kuna haja gani ya kuwasumbua watu kwenda kupanga foleni kupiga kura? Basi matokeo yatangazwe!
 
crashwise sisi tulioko huku arusha tunajua nini kitatokea hawa magamba kwa sasa wanawaza kuhonga tu ..mimi nimeomba likizo ofisini na nipo arumeru maeneo ya tengeru na nimekuja kwa jukumu moja tu kura yangu ndo itaimaliza ccm...sasa kama kura haitalindwa kwa kweli hatutaelewana na nimeshahudhuria kampeni zote za vyama ccm ni kama wanasubiri kubebwa
Hongera mwana jamii wa ukweli kushiriki vita ya kuondoa mafisadi Arumeru!!! Hao vijana unaowasiliana nao kama sikosei wako maeneo hayo kwenye hizo harakati wa pm muonane. Mungu akubariki kushiriki kiakamilifu kupambana na mafisadi kwenye baroti box!!!
 
Ni mjadala mzuri kupitisha muda !. Wangapi wanaenda kupiga kura miongoni mwa wachangiaji mada ??

sas magamba mnachangia nn humu kama mjadala ni kupoteza muda mbona kiongozi wako mwigulu hakosi kuchangia humu na sasa kaingia mitini kwani hali mbaya eti wanatafuta chopa wakakanushe propaganda wakati walisema chopa ni ufisadi si watumie mashangingi yao waende kukanusha....magamba kwisha kazi mmebaki kuzikwa tu tar 1 april ..sisi kazi yetu kulinda kura tuuu
 
wewe ni ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii unafikiri kwa kutumia masaburi

acha matumizi ya hii kitu
A S-smoking.gif
 
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku

imenoga hii ila nguvu ziongezwe kwa kupungua tano hadi moja ili kazi iwe nyepesi,la maana Nasar akishatangazwa mshindi maandamano yaanzie Arusha hadi makao makuu ya chama DAR lengo ni kuanziasha Azimio La Arusha ili iwe ngao ya ukombozi.
 
kweli mnapenda maandamano . hivi hamna kazi za kufanya ? shauri yako utakufa maskini kwa kufuata mkumbo.
 
kweli mnapenda maandamano . hivi hamna kazi za kufanya ? shauri yako utakufa maskini kwa kufuata mkumbo.

u wap wewe mwenye la kufanya?hapa tulipo ni kwa sababu ya watu kama wewe.we kwa kimya hivyo ndo itakavyokuwa,Azimio la Arusha-CHADEMA ndo mafuriko yatazomba mafisad wote
 
inabidi chadema ifanye kazi ya ziada,kura watapewa lakini wataweza kuzilinda??ngoja tuone
 
Ni kweli kushindwa au kushinda ni demokrasia lakini CCM haijawahi kushinda kwa haki siku za karibuni na chadema tumebaki watu wa kulalamika tu sasa safari hii hatuna sababu ya kulalamika kula tutazilinda kwa hali na mali na mapaka sasa CCM tumewakamata hawana pakutokea ni wanachadema kuongeza nguvu kwa namna yoyote ile ili hizi siku zilizo baki tumalize vizuri...hakika tunashinda...Michango ya fedha, mawazo na nk ni mhimu sana kwa sasa kuwasaidi makamanda waliko msitari wa mbele

Iwapo wenzenu wanaiba kura kwa nini na nyinyi msiibe?
 
Back
Top Bottom