chadema ikishindwa arumeru ....siasa basi

crashwise sisi tulioko huku arusha tunajua nini kitatokea hawa magamba kwa sasa wanawaza kuhonga tu ..mimi nimeomba likizo ofisini na nipo arumeru maeneo ya tengeru na nimekuja kwa jukumu moja tu kura yangu ndo itaimaliza ccm...sasa kama kura haitalindwa kwa kweli hatutaelewana na nimeshahudhuria kampeni zote za vyama ccm ni kama wanasubiri kubebwa

Chadema ni sawa na mgonjwa aliye ICU akisubiri huruma za mwenyezi Mungu tu.
 
Back
Top Bottom