Ushauri mzuri sana, nianze kukupa pole kwa matusi watakayokushushia.
Kile kitengo cha maafa ofisini kwa pinda ambayo ndiyo Serikali kuu Chini ya Chama 'Sikivu' cha Mizigo mmeshamaliza salio sasa mnataka kuisukumia CDM ambayo haina Dola??
Au mmeuwa kitengo cha Maafa??