unaonekana akili ni ndogo kwa unachouliza.swala la maafa liko chini ya ofisi ya waziri mkuu si chini ya cdm ndugu.viongozi wa cdm watatoa pole tu na huwezi kuwapangia lini watoe pole zao.kwa janga kama hili JK alitakiwa kuachana na ziara za kijinga nje.
Ushauri mzuri sana, nianze kukupa pole kwa matusi watakayokushushia.
Ipo siku tutasikia watu wanalalamika kwamba CHADEMA haijawalipa mishahara walimu wa shule za serikali!
Kila viongozi wa CHADEMA wanakoenda sijawahi ona kiongozi yeyote wa juu wa CHADEMA akifanya kazi za maendeleo kama vile kushiriki ujenzi wa madarasa,zahanati n.k Huwa nawaona tu wanashuka kwenye helikopta wanahutubia hotuba zilizojaa bla bla kibao halafu wanaingia kwenye helikopta na kutimulia vumbi watu inapoondoka na kwenda zao.
Hivi wao huduma za jamii mwiko kwao wakiwa safarini hizo za M4C? Ni kwenda kuuza maneno tu na kuchangisha watu sadaka na kutimua?
chadema wanazunguka nchi nzima kukusanya sadaka kwa wananchi wanyonge wakale bata dubai...! hawana muda na maendeleo ya jamii...
ccm imewafanyia nini wajawazito wanaolala chini mahospitalini huku mk.were akifikisha safari 400 na kila safari ni sawa na vitanda mia nne?Ni kweli hawana muda wa maendeleo ya jamii toka washike ni hotuba,maandamano,maswali bungeni,kugombea nafasi za uongozi basi kula posho za bungeni ,ruzuku na sadaka.Zaidi ya hapo hakuna kitu kingine ambacho CHADEMA wanajua kama Chama cha siasa kinawajibika kufanya nini kwa wananchi hata kama hakipo madarakani.Ni weupe kabisa halafu mwisho wa siku wanalamika wameshindwa chaguzi.Hawajui kuwa Chama hupimwa kwa kimewafanyia nini wananchi sio kimewasemea nini wananchi au kimewahutubia nini wananchi.Wasije piga yowe wakibwagwa 2015.
Kila viongozi wa CHADEMA wanakoenda sijawahi ona kiongozi yeyote wa juu wa CHADEMA akifanya kazi za maendeleo kama vile kushiriki ujenzi wa madarasa,zahanati n.k Huwa nawaona tu wanashuka kwenye helikopta wanahutubia hotuba zilizojaa bla bla kibao halafu wanaingia kwenye helikopta na kutimulia vumbi watu inapoondoka na kwenda zao.
Hivi wao huduma za jamii mwiko kwao wakiwa safarini hizo za M4C? Ni kwenda kuuza maneno tu na kuchangisha watu sadaka na kutimua?
ccm imewafanyia nini wajawazito wanaolala chini mahospitalini huku mk.were akifikisha safari 400 na kila safari ni sawa na vitanda mia nne?
Hiyo siyo kazi ya chama cha upinzani popote pale duniani. Leta mfano wa mahali popote chama cha upinzani kimejenga madarasa. Hiyo ni kazi ya serikali inayokusanya kodi zetu
Mtoa hoja anasema Chadema ina Chopa zenye kuweza kusaidia kusambaza misaada ya dharura, haya mjibu sasa.