CHADEMA haya ya Morogoro nyie hayawahusu?

CHADEMA haya ya Morogoro nyie hayawahusu?

Serikali ni mkusanya kodi na mgawa kodi kwa watumiaji vikiwemo vyama vya upinzani kama CHADEMA
Kwa hiyo unachosema kazi ya ruzuku ambazo ni kodi za wananchi ambazo vyama vya upinzani vinapewa ni kwa ajili ya kuliwa na kuzurura nazo kwa kukodi helikopta siyo kusaidia kuchochea maendeleo ya jamii pia kwa kusaidia huduma za jamii?

Nemo dat quod non habet "Huwezi kutoa usichokuwa nacho"
 
Back
Top Bottom