hatujawasikia hata hao ccm wenyewe,licha ya wewe kuanza kuisakama cdm.Chopa zinazotumiwa na cdm huwa hazitumiki kwenye maafa kama hayo!pia naamini kitengo cha maafa hakijashindwa kuifanya hiyo kazi.Jambo jingine,Mbatia ni mtaalamu wa mambo ya maafa,mbona hujamwongelea?tatizo kwa mleta mada si Mafuriko bali Operesheni M4C Daima na hivyo kuhitaji CDM wa ahirishe kwa kisingizio hicho ili ccm wa buy time na kuvuruga mipango yao!